Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

Uongozi maana yake ni kutoa maamuzi magumu hata kama mara nyngine inakula kwako. Afadhali kutoa maamuzi ukakosea kuliko kukaa kimya
 
Nyakati za kumwona mtu mwenye mawazo ya kisiasa tofauti na wewe kuwa ni adui wa nchi au ni hatari kwa usalama wa Taifa zimepita

I like the qoutation above. Hongera pia viongozi wa Chadema kwa msimamo huo- I can see the future of Tanzania in a positive way-I have joined the move and I will join u..
 
Asanteni sana Kamati KUU,kwa kweli mimi kwa ukumla wake haya maazimio nmeyapokea kwa asilimia 100 hasa kitendo cha kuwatimua hao madiwani wasaliti,kuhamia kwa Mgulu Nchemba jimboni kwake na wenzangu cjui mwaonaje lakn huyu kijana ana mbinu chafu zenye fitina kwa hyo kuhamia huko ni sahihi sana,kwa kweli nna Amani sana kua Mwanachama hai wa CDM na ntaendelea kukisemea mazuri popote niwapo
 
Tunataka viongozi wa aina hii wanaojua kutoa majibu/ suluhisho timely. sio kama Chama Cha Magamba hawajaweza kuvua hata gamba moja mpaka leo. Wao kila siku kutoa kauli tu ambazo hawajawahi kutekeleza hata moja, lini walifukuza hata mwenyekiti wa shina toka watangaze operesheni yao ya kujivua gamba, unafiki tu wa akina nape. Ni vizuri CDM kujitaza kila wakati ili kutoa mapandikizi, wasaliti, wazandiki, wapenda madaraka, na wezi wote ili yasitokea kama ya CCM manake CCM hawakawii kupandikiza wezi, wehu, wasaliti na wala makombo ya ufisadi wengine ili kuchafua jina zuri la CDM kwa sasa. wamejaza wehu kama nchemba na Lusinde eti ndio viongozi aliokuwa anajidai nao sita, poleee! CDM mwendo mdundo mpaka kieleweke 2015. Kwa dhati tunaipongeza kamati kuu kwa kuonyeesha UKOMAVU wa kisiasa na sasa tunaamini kwa utaratibu huu bila shaka ikulu hiyooooooooooooooo 2015.
 
attachment.php


Again, Zitto was not in the meeting!

Zitto ni mwana CCM (TISS) unategemea vipi yeye kuwepo kwenye vikao vya kamati kuu? Wanachema hilo mnalijua. alikuwa na TISS wakipanga namna ya kuzuia M4C na mbowe asipate Urais.
 
wenye digital receivers (decoder au receiver za dish za kawaida) mni-PM niwaelekeze jinsi ya ku-delete channel maana nilijifunzia wakati nai-delete TBC1 na TBC2 kutoka kwenye Startimes Decoder na receiver ya dish sebuleni kwangu kama miezi 8 iliyopita.
 
ni maamuzi mazuri lakini ya kuwavua madaraka madiwani bado sijakubaliana nayo
nadhani walipaswa wapewe onyo kama wamekosea
pia wawe chini ya uangalizi kwa muda fulani
lakini hata hivyo sina uhakika kama wamepewa muda wa kujitetea
 
Big up kamati kuu, hayo maazimio swadakta kabisa, hiyo list yote iliyotajwa, wasipojiuzuru wenyewe na bosi wao JK akakataa kuwawajibisha, ni dhahiri tutakuwa tumepata jawabu la kauli ya Kamuhanda kule Iringa, aliposema analazimika kuwazuia Chadema wasifanye shughuli za siasa, kwa kuwa bado anaipenda kazi yake na asingependa kustaafu vibaya! Sasa kwa kuwa Kamuhanda ameshindwa kutumia akili za mbayuwayu, za kuambiwa na zake mwenyewe. Sasa ni lazima naye akaburuzwa mahakamani, kwa kuamrisha mauaji, huko mahakamani, naye atamtaja aliyempa hilo agizo la kuua mwanahabari!
 
Zitto ni mwana CCM (TISS) unategemea vipi yeye kuwepo kwenye vikao vya kamati kuu? Wanachema hilo mnalijua. alikuwa na TISS wakipanga namna ya kuzuia M4C na mbowe asipate Urais.
Hilo linajulikana muda mrefu sana...
 
Mie naangaliaga TBC alhamisi kwa sababu ya Ze komedi kopi na kupest zaidi ya hapo hata wakiifunga kabisa poa tu.

Mkuu karibu STAR TV ni ya ukwel ndo maana hata BBC wanaiaminia kwa kurusha kipnd chao cha dira ya dunia startv......halafu kuna komedi moja ya ukwel inaoneshwaga evry monday kuanzia saa 3 ucku.
UKIANGALIA TBC UNAWEZA KUVUNJAVUNJA SCREEN YA TV YAKO BURE MKUU KWA HASIRA. Achen wakina Tendewa waiangalie wenyewe
 
very strong decision ,ngoja tusikie upande wa pili msajili wa vyama anasemaje anakuwa msajili halafu ni mshabiki wa ccm .
 
Mkuu karibu STAR TV ni ya ukwel ndo maana hata BBC wanaiaminia kwa kurusha kipnd chao cha dira ya dunia startv......halafu kuna komedi moja ya ukwel inaoneshwaga evry monday kuanzia saa 3 ucku.
UKIANGALIA TBC UNAWEZA KUVUNJAVUNJA SCREEN YA TV YAKO BURE MKUU KWA HASIRA. Achen wakina Tendewa waiangalie wenyewe

Telo, ayie Kodi. Jogo andhoga. Ere kaka giloko gir piny margi giwegi. Jogi biro kelonwa lweny e thurwani. Wan Jonam waikuru Bunde. Nitie jowuotwa malaro aboro ka, manyalo loso piny tanganyika ni. Wariwre huru jotelo
 
Back
Top Bottom