Maaskofu wangu kwa hili la kudhalilisha mimbari lazima tuwaseme

mcoloo

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
918
1,401
Majuzi niliangalia kwa umaskini kitendo Cha viongozi wa dini walivyo dhalilisha madhabahu na kuigeuza sehemu ya kutolea rushwa, inawapasa viongozi wa dini kuwa makini hasa ktk kipindi tunapo elekea uchaguzi mkuu, watakuja wanasiasa kwa kisingizio kuja kuomba mlifanyie taifa maombi, jibu lenu liwe moja tu kwamba kila inapo itwa Leo hakuna siku ambayo hamkuliombea taifa letu Amani, umoja na mshikamano.

Acheni tabia ya kila kiongozi anaye ingia kanisani mna mkabidhi mimbari.

Mbona wao mnapo watembelea maofini mwao huwa hawaachii viti na meza zao ili mtoe matamko yenu ya kidini.

Msinajisi maene matakatifu. Inawapasa mkatubu.
 
Back
Top Bottom