Maaskofu: Mungu amejibu maombi, wampongeza rais Magufuli

ujanja mwingi mbele giza .mwambieni mtu wenu huyo

ng'ombe wa nyuma huchapwa kwa sababu tu yupo karibu na mchungaji lakini anaechelewesha msafara ni ng'ombe wa mbele
 
Katika maisha binadamu kaumbiwa changamoto nyingi kumfikishia malengo yake,

Kwa sasa naona Magufuli anapitia changamoto nyingi, hili ni pamoja na wananchi wake wenyew kutwa kumpigia kelele, lakini ukweli utajulikana baadae,

Wengi wa wananchi wanaopiga kelele ni wale wasioweza kufanya lolote zaidi ya kulaumu, mi nawaita "Losers" kuna makosa yalifanyika katika utawala zilizopita lakini, tujiulize jitihada gani zinafanyika sasa kuyarekebisha, wengi wetu tunalamikia vitu vilivyopo kweny hisia lakin tunashindwa kuangalia ukweli wa mambo,

Swala la ACACIA lilitakiwa kuangaliwa upya kutokana na mikataba chakavu iliyokuwepo, lakini watu hao hao, Leo ii wanalalamika kuona serikali inakurupuka, na kingine wanaweka vikwazo, muheshimiwa asishinde, lakin ivo ni vikwazo tu vya watu wasioweza kufanya chochote,
...sikuzote lawama haiui,ila fedhea, kwa iyo Magufuli kazi kazi, ii nchi ilikua imekwisha,.. Watu wanaitafuna wanavotaka, sasa wamekosa pa kushika, kazi kuweka vikwazo ili uonekane mbaya,...Watanzania wengi ni kama wafu, wanapelekwa na mihemko ya matukio mapya, kwa iyo usivunjike moyo kaza buti,sisi tunaona kazi yako, kuitengeneza nchi upya inaitaji nguvu na juhudi ya ziada, utuondoe maskini kwenye hili wingu jeusi lililotanda juu yetu,..tunakuamini Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, Tutazidi kukuombea. MUNGU AKUBALIKI

Kama kweli Mheshimiwa raisi ni mtu mwenye utu na hana doa la damu ya mtu basi Mungu ambariki.
Ila kama yupo kinyume basi maombi yetu ni bure
 
Katika maisha binadamu kaumbiwa changamoto nyingi kumfikishia malengo yake,

Kwa sasa naona Magufuli anapitia changamoto nyingi, hili ni pamoja na wananchi wake wenyew kutwa kumpigia kelele, lakini ukweli utajulikana baadae,

Wengi wa wananchi wanaopiga kelele ni wale wasioweza kufanya lolote zaidi ya kulaumu, mi nawaita "Losers" kuna makosa yalifanyika katika utawala zilizopita lakini, tujiulize jitihada gani zinafanyika sasa kuyarekebisha, wengi wetu tunalamikia vitu vilivyopo kweny hisia lakin tunashindwa kuangalia ukweli wa mambo,

Swala la ACACIA lilitakiwa kuangaliwa upya kutokana na mikataba chakavu iliyokuwepo, lakini watu hao hao, Leo ii wanalalamika kuona serikali inakurupuka, na kingine wanaweka vikwazo, muheshimiwa asishinde, lakin ivo ni vikwazo tu vya watu wasioweza kufanya chochote,
...sikuzote lawama haiui,ila fedhea, kwa iyo Magufuli kazi kazi, ii nchi ilikua imekwisha,.. Watu wanaitafuna wanavotaka, sasa wamekosa pa kushika, kazi kuweka vikwazo ili uonekane mbaya,...Watanzania wengi ni kama wafu, wanapelekwa na mihemko ya matukio mapya, kwa iyo usivunjike moyo kaza buti,sisi tunaona kazi yako, kuitengeneza nchi upya inaitaji nguvu na juhudi ya ziada, utuondoe maskini kwenye hili wingu jeusi lililotanda juu yetu,..tunakuamini Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, Tutazidi kukuombea. MUNGU AKUBALIKI
Usihamishe magoli tuko kwenye diabomba
 
Wewe ni mlamba viatu. Ni aina ya watu ambao mpo tayari kulipwa mtetee ujinga. Hujui hasira zetu wananchi na watumishi kwa utawala wa sasa. Wapo kuyafanya maisha ya watanzania kuwa magumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM anajitengenezea yeye mwenyewe mazingira magumu,

Kila mahali kuna chuki,

1. Ndani ya CCM wanachuki naye

2. Wapinzani wanachuki naye

3. Wasio na vyama wanamchukia

4. Wafanyakazi wanamchukia

4. Wanachuo wanamchukia

5. Wafanya biashara wanamchukia

Wanaojifanya kumpenda ni wale wanafiki wachumia tumbo wasiotaka kumwambia ukweli.

Kwa hali hii nani atamsaidia?

Ajirekebishe akishindwa aibu yake inakuja.
Tutaona 2020
 
Peleka upumbavu wako kwenye ofisi za ccm kule ndio watakupigia mpaka makofi.
359ac93cf93f08e4a9f8514438bf4ae0.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
A guy doesn't have medulla oblongata!!!
 
BARAZA Kuu la Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT) limetoa tamko la kumpongeza Rais, Dk John Magufuli kutokana na kupigania rasilimali za nchi ambazo ziliumbwa na Mungu.

“Kama Maaskofu tukasema tusikae kimya lazima tuseme kitu kwa ajili ya shujaa na jemedari huyo anayesemea Watanzania. Mungu ametupatia mtu wa muhimu sana,” lilisema sehemu ya tamko hilo.

Katika tamko lao lililosomwa juzi na Askofu Peter Konki mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige, limesema hakika Tanzania imepata kiongozi kutokana na maombi mazito yaliyofanywa na viongozi wa dini na waumini na sasa rasilimali za nchi zinakwenda kukombolewa ili ziwanufaishe Watanzania wote.

Akisoma, Askofu Konki alisema baraza lilipokaa liliona si busara kukaa kimya kutokana na kuwa na tukio kubwa hapa nchini na kuamua kutoa tamko la kumpongeza Rais Magufuli juu ya uponyaji wa maliasili za nchi ambazo zimeumbwa na Mungu.

“Rais Magufuli kwa muda mfupi aliokaa madarakani amefanya mambo mengi, Rais ni mvumilivu na anajua cha kufanya ameleta mageuzi makubwa nchini amewaona wenye vyeti feki na watumishi hewa na kuwaondoa kwenye utumishi wa umma,” alisema.

Pia alisema katika suala la madini, Rais amefanya kazi kubwa na kugundua rasilimali ya nchi ilivyokuwa ikitoroshwa huku ikiwaacha Watanzania wakiwa masikini. Alisema Rais Magufuli ni kiongozi shujaa ambaye anatakiwa kupongezwa kutokana na kazi kubwa anayofanya.

“Serikali ijue Wapentekoste wana dhamira na serikali na wako nyuma ya Serikali, tunajua Rais anajeruhiwa na maneno mengi Sisi CPCT siku zote tunaunga mkono Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tunaona juhudi katika utendaji kazi,” alisema.

Askofu Konki alisema katika kikao cha kawaida walichokaa Mjini Dodoma walijadili juhudi za Serikali na wamejionea jinsi serikali ya awamu ya tano tangu iingie madarakani imejitanabaisha katika kupambanua na matendo ya kifisadi na hayo ni majibu ya kanisa kutoka kwa Mungu.

“Uongozi uliotukuka, hali ya utukufu na amani ni zawadi kutoka kwa Mungu na tunamrudishia sifa na shukrani kwa kutuonesha ni kwa namna gani madini yetu yalikuwa yakiporwa,” alisema.

Alisema kama maaskofu wanamuahidi Rais Magufuli kuendelea kumuombea na kumuunga mkono kama jemedari wa taifa na aendelee na kazi ya kunyoosha nchi kwani ameweza kudhibiti matumizi ya serikali na kuongeza juhudi katika ukusanyaji kodi.

Alisema kama kanisa wataendelea kumuombea Rais Magufuli, Mungu ampe afya njema, hekima na busara wakati anatekeleza majukumu yake. “Tunawaombea na viongozi wa nchi Mungu awape hekima, busara na uaminifu bila kuathiriwa na matamanio ya muda mfupi yatokanayo na maslahi ya kisiasa,” alisema.

Naye Mwigulu Nchemba alisema uchaguzi wa mwaka 2015 ni uchaguzi ulioombewa sana na walikuwa wakiomba Mungu awape Rais mwenye roho ya pekee na kazi alizofanya zimekuwa na utukufu.

“Kwenye uchaguzi uliopita kama si maombi nchi hii ingebadilika lakini wacha Mungu kwa maombi yao uchaguzi ukapita salama. Mungu alisikia mambo na akajibu sawa sawa na mapenzi yake tuendelee kumuombea Rais Magufuli afanye kazi yake ili sifa na utukufu vimrudie Mungu,” alisema.

Alisema kama kiongozi anaiona nia njema aliyonayo Rais kwa Watanzania. “Tumuombee Rais wengine wanasema mbona Rais anakuwa mkali ni lini uovu ukaondoka kwa upole, mnatambua mapepo yapo halafu unasema shetani toka basi, huwezi kubembeleza pepo hata siku moja,” alisema.

Alisema hata Yesu kwa mambo ya kibinadamu alipoona pepo akasema kwa ukali shetani toka. Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige alisema alisema tamko la kumpongeza Rais ni zuri kwani anastahili kupongezwa kutokana na kazi kubwa anayofanya.

“Ufisadi uliogundulika ni kiasi kidogo sana lazima tuambiwe vile vitofali vya dhahabu vilizalishwa vingapi na vina thamani gani hapa tunazungumzia mchanga tufike na kule kwenye vitofali,” alisema.

Chanzo: Habari leo
Maaskofu wengi tanzania hii ni wanafiki wakubwa kabisaa na ni waongo wenye kujipendekeza na ni aibu kuwa na viongozi wa dini wapuuzi kabisa.
 
Mijinga yote hiyo unapongeza mtu anayelitia hasara taifa hili,viongozi gani wa dini matumbo wazi kama hao..!!
 
Katika maisha binadamu kaumbiwa changamoto nyingi kumfikishia malengo yake,

Kwa sasa naona Magufuli anapitia changamoto nyingi, hili ni pamoja na wananchi wake wenyew kutwa kumpigia kelele, lakini ukweli utajulikana baadae,

Wengi wa wananchi wanaopiga kelele ni wale wasioweza kufanya lolote zaidi ya kulaumu, mi nawaita "Losers" kuna makosa yalifanyika katika utawala zilizopita lakini, tujiulize jitihada gani zinafanyika sasa kuyarekebisha, wengi wetu tunalamikia vitu vilivyopo kweny hisia lakin tunashindwa kuangalia ukweli wa mambo,

Swala la ACACIA lilitakiwa kuangaliwa upya kutokana na mikataba chakavu iliyokuwepo, lakini watu hao hao, Leo ii wanalalamika kuona serikali inakurupuka, na kingine wanaweka vikwazo, muheshimiwa asishinde, lakin ivo ni vikwazo tu vya watu wasioweza kufanya chochote,
...sikuzote lawama haiui,ila fedhea, kwa iyo Magufuli kazi kazi, ii nchi ilikua imekwisha,.. Watu wanaitafuna wanavotaka, sasa wamekosa pa kushika, kazi kuweka vikwazo ili uonekane mbaya,...wanapelekwa na mihemko ya matukio mapya, kwa iyo usivunjike moyo kaza buti,sisi tunaona kazi yako, kuitengeneza nchi upya inaitaji nguvu na juhudi ya ziada, utuondoe maskini kwenye hili wingu jeusi lililotanda juu yetu,..tunakuamini Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, Tutazidi kukuombea. MUNGU AKUBALIKI
Weupe wanaposema weusi ni advanced chimps wanaangalia watu kama wewe

Nini cha maana alichokifanya tangu aingie madarakani kustahili sifa mnazo MPA ?
Kuwaweka watu ndani kwa kuwafungulia mashtaka ambayo kesi zake hazina dhamana tena kuwafungulia kwenye mahakama isiyokuwa na uwezo wa kuzisiliza ili wasote rumande huku mahakama iliyoanzishwa kwa mbwembwe ikikosa wateja ndiko mnaona ni utendaji uliotukuka ?
Ni rasilimali zipi ambazo amewahi kuzipigania au anapigania sasa ili astahili hizo pongezi

Aliwakamata wavuvi wa kichina kwa kutaka sifa mkalipa kwa kodi zrnu bado mnaona anapigania rasilimali
Sasa mnalipa mabilioni ya mkandarasi ambayo kwa wenye akili pungufu mlimsifia akivunja mkataba wake
Yote mauozo hayo bado kuna watu mnasimama juu bila soni kuona kuna uwajibikaji kwa MTU anayetuhujumu kama taifa

Pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom