Maaskofu/Mashehe Toeni Tamko Kwa Serikali Bila Upendeleo

Kuntakint

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,767
1,525
Katika haya yanayotokea Kila siku katika nchi yetu Maaskofu na Mashehe mnatakiwa kutoa kauli Kali kwa serikali hi ya Kikwete ambayo imeshindwa kulinda Amani ya raia wake. Mnapokaa kimya bila kuzikemea tabia hizi wakati zinavunjwa kwa makusudi hamuwatendei haki waumini wenu. Mnahubiri Amani makanisani misikitini mnashindwa nini kuikemea serikali? Acheni uoga nyie ni watumishi wa mungu inabidi mseme ukweli Daima hata Kama serikali itachukia ni wajibu wenu. Inatakiwa kuirekebisha serikali Kama inaenda mrama sio kuisifia tu. Waumini watawalaumu Kama mataacha hii hali na raia kuangamia. Yametokea Mtwara na Kila kona ya Tanzania lakini hamjatoa kauli yoyote kwa waumini wala serikali. Mtahubiri vipi Amani makanisani misikitini wakati Serikali inaua raia wake na ushahidi upo au nyie hamwoni wala kusikia. TOENI KAULI KATIKA KUIOKOA NCHI YETU MSIKAE KIMYA NI WAJIBU WENU.
 
Hawajaguswa na hili!... Wakiguswa makanisani na misikitini utawasikia wakiibuka kama vile wana mgogoro na serikali kwa miaka mingi.
 
Katika haya yanayotokea Kila siku katika nchi yetu Maaskofu na Mashehe mnatakiwa kutoa kauli Kali kwa serikali hi ya Kikwete ambayo imeshindwa kulinda Amani ya raia wake. Mnapokaa kimya bila kuzikemea tabia hizi wakati zinavunjwa kwa makusudi hamuwatendei haki waumini wenu. Mnahubiri Amani makanisani misikitini mnashindwa nini kuikemea serikali? Acheni uoga nyie ni watumishi wa mungu inabidi mseme ukweli Daima hata Kama serikali itachukia ni wajibu wenu. Inatakiwa kuirekebisha serikali Kama inaenda mrama sio kuisifia tu. Waumini watawalaumu Kama mataacha hii hali na raia kuangamia. Yametokea Mtwara na Kila kona ya Tanzania lakini hamjatoa kauli yoyote kwa waumini wala serikali. Mtahubiri vipi Amani makanisani misikitini wakati Serikali inaua raia wake na ushahidi upo au nyie hamwoni wala kusikia. TOENI KAULI KATIKA KUIOKOA NCHI YETU MSIKAE KIMYA NI WAJIBU WENU.

Nimeona viongozi wa dini wanaonyeshwa kwenye kipindi maalumu usiku huu wakiwa na Saidi mwema kujadili amani wanaongea utadhani wanaona mambo yote ni shwari.
 
Hicho kipindi sidhani Kama ni live itakuwa ya muda mrefu ni propaganda ya serikali/polisi kwa wananchi ili ionekane polisi wakishirikiana na Maaskofu /Mashehe wako pamoja.
 
Nijuavyo Maaskofu watatoa TAMKO la kulaani kwa kuwa tukio limetokea ARUSHA kama walivyofanya mwanzo. Lingekuwa tukio limetokea MTWARA au PEMBA au TANGA tamko lingetolewa la kuwasifu POLISI kwa kazi nzuri (Hata jiwe ni silaha).

Kwa masheikh sidhani kama watatoa TAMKO. Sababu Waislamu wamekuwa ni wahanga wakubwa kwa kuonewa na vyombo vya DOLA kwa maelekezo ya Kanisa. Lakini pia Rais ni Mwenzao na watamuoneya kidogo haya.

Haya ni mawazo yangu na ni ukweli halisi.
 
Nimeona viongozi wa dini wanaonyeshwa kwenye kipindi maalumu usiku huu wakiwa na Saidi mwema kujadili amani wanaongea utadhani wanaona mambo yote ni shwari.
Kama ni kweli, basi huo utakuwa ni unafiki wa hali ya juu. Polisi wanachotakiwa kukifanya polisi ni kuwakamata wahalifu na si kujadili au kuomba ushauri kwa viongozi wa dini!!
 
Bomu la olasiti liliua na kujeruhi waumini wenu.lilipeleka usumbufu na adha kubwa sana kwa familia nyingi,sasa kumetokea bomu la soweto.hakuna sababu yoyote ya kuua watu.watu wanaomboleza wanauawa kwa silaha za kivita.mkikaa kimya hamtaeleweka!!!
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa Leo limetokea Arusha ndio unataka Masheikh watoe tamko? mbona yalipotokea Pemba huko watu wakapigwa , wanaume wakakimbia familia zao, nyumba zikachomwa moto wanawake na watoto wa kike wakabakwa! sikusikia maaslofu wakikemea na zaidi kimoyomoyo wanafurahi, ni juzi tu hapa humu JF watu walikuwa wakifurahi sana wazaznibar wakipigwa kwa sababu tu wanatetea nchi yao mkasema uone hao wala urojo ! leo mnataka tamko gani? ha ha ha ha ama kweli mkuki kwa nguruwe ! leo binadamu amepigwa wato mayowe huku na huko! mnatakiwa mjifunze kuwa na huruma binadamu yeyote anapoonewa iwe na serikali au kitu chochote ! ili kuwe na umoja! tuishi kwa umoja ! sio leo akipigwa muislamu mnafurahi na kejeli nyingii humu JF na kesho akipigwa maprotestants mlaia lia mnataka masheikh watoe tamko!
 
Katika haya yanayotokea Kila siku katika nchi yetu Maaskofu na Mashehe mnatakiwa kutoa kauli Kali kwa serikali hi ya Kikwete ambayo imeshindwa kulinda Amani ya raia wake. Mnapokaa kimya bila kuzikemea tabia hizi wakati zinavunjwa kwa makusudi hamuwatendei haki waumini wenu. Mnahubiri Amani makanisani misikitini mnashindwa nini kuikemea serikali? Acheni uoga nyie ni watumishi wa mungu inabidi mseme ukweli Daima hata Kama serikali itachukia ni wajibu wenu. Inatakiwa kuirekebisha serikali Kama inaenda mrama sio kuisifia tu. Waumini watawalaumu Kama mataacha hii hali na raia kuangamia. Yametokea Mtwara na Kila kona ya Tanzania lakini hamjatoa kauli yoyote kwa waumini wala serikali. Mtahubiri vipi Amani makanisani misikitini wakati Serikali inaua raia wake na ushahidi upo au nyie hamwoni wala kusikia. TOENI KAULI KATIKA KUIOKOA NCHI YETU MSIKAE KIMYA NI WAJIBU WENU.

Wakiuliwa chadema mnataka kauli! Waislamu waliouliwa Mwembechai 1998 na Zanzibar 2001mlitaka kauli au kumlaani Mkapa? acheni unafiki na kubagua damu za Wa TZ!!!

Tamko halitasaidia,kwan matamko mangapi yamwshatolewa mpaka sasa na mambo yanajirudia??,cha muhim ni kuacha mchezo mchafu wa kuingiza siasa hadi katika uhai wa watu
 
Back
Top Bottom