anacopy Rwanda kanchi ka watu mil5 wote wanajuanaCcm waliamini wakiimaliza chadema na wakina lissu basi hamna wakosoaji ndo kwanza wanaibuka wapya mjiandae kisaikolojia huwezi kuongoza watu zaid ya million 40 kama familia yako kila mmoja anawazo lake tofaut