Maaskari Polisi (wawili) wa Babati wanaokamata pikipiki (sanya/voda fasta) wamekuwa kero kwa rushwa

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
1,191
1,228
Habari zenu wakuu,poleni kwa makujumu,

Leo nimekuja hapa kuwapa Taarifa,Kazi ya Police ni pamoja ma kulinda usalama wa Raia, Nk. Katika hali isiyo ya kawaida kuna MAASIKARI police wanao tembea mitaani kwaajili ya kukamata pikipiki,maarufu km SANYA,Hawa asikali kwa Babati mjini wako 4 ,kwa kawaida wanatembea wakiwa wawili

Hawa jamaa wamekuwa kero hasa kwa kuchukua Shilingi Elfu 5-10 Kutoka kwa waendesha pikipiki. Hawa police wanapo mkamata mtu wanakagua pikipiki endapo ina makosa, Naendapo pikipiki haina makosa. Wanaangalia umevaaje , Lakini pia wakikosa makosa watakuuliza km una Mpira wa kufungia mzigo,km hauna umekwenda,Yani Faini inakuhusu
Yani hawakosi makosa.

Mbaya Zaidi wanapo kukamata hawakupeleki kituoni wanakupeleka POLICE MESI na sio kituoni. Na Kama sio Police Mesi wanakupeleka kona ya CCM mkoa,(uchochoroni) Huko /ukisha pelekwa huko Ni pesa tu ,mbaya Zaidi ukitowa hiyo hela hawatoi Risti. Mkuu wa kituo sijui km matukio haya hua anajua.

NB: Baada ya siku 7 Ntakuja na video zinazo onyesha .

Naomba waache huo mchezo maana wanaaibisha jeshi letu la police amabalo sisi wananchi tunalioenda na kuliamini.
Hawa jamaa kila baada ya dakika 10 wanakamata pikipiki sasa fanya hesabu wanaondoka na sh ngapi kwa siku
NDUGU ZANGU HII NI TAARIFA TU,MSINITAFUTE.
FANYENI UTAFITI MTGUNGUA.

ASANTENI.
 
Aiseee. Kweli bongo nyoso.

Vijana wamejiajiri baada serikali ku mute kwenye sakata la ajira...lkn haohao ndo kero kufilisi na kuangamiza hao vijana wanaojitafutia ridhiki. Hii haiko sawa kabisa.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom