Maasai Marathon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maasai Marathon

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Yona F. Maro, Apr 7, 2008.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Apr 7, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
 2. Killuminati

  Killuminati JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2008
  Joined: Apr 24, 2007
  Messages: 321
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ...nimeboreka already, yaani wamepewa press ya kudhalilisha huko UK, ingawa wengine wanafikiri ni fun!!Imagine mtu bado mpaka leo anadhani kuwa waafrica hawajui tofauti ya wanyama pori na wanyama wafugwao nyumbani na wanawaonya kuwa wakiwapo London wahakikishe kuwa hawawindi wanyama mara waonapo(Mbwa),ilihali wamasai ni wafugaji wakubwa and not only they are good hunters!! Mi nawaombea wafanikiwe kwenye hiyo run, ila moyoni imeniuma kuona my Masai brothers wanapewa bad press, by ignorant weupe!!
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 4. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2008
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  It makes me sick!!! OMG!!!
   
 5. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kweli hata mimi nimeudhika sana, nimesikia mwandishi wa BBC akiwauliza vijana hao wa kimasai ati itakuwaje watakapokuwa wanakimbia kwani wanafahamika kuwa huwa hawavai chupi! Basi masikini vijana wa watu wakajibu kuwa wana mwenyeji mzuri sana, amewatayarishia chupi tayari wamezikuta huku Uingereza na watazivaa siku ya tukio! Na kwamba wakishamaliza mbio hizo watazivua hizo chupi waendelee na maisha yao waliyozoea. Nafikiri haikuwa haki kuwauliza habari za vitu binafsi kama chupi, nadhani wamedhalilishwa. Na pia nadhani wametoa majibu katika hali ya kujisikia kulazimika, wako katika upande wa mnyonge anaekwenda kuomba hela za kuchimba kisima cha maji kijijini kwao. Hivi wakuu, si jambo la aibu na udhalilishaji kwa raia wa nchi huru kwenda kuomba hela za kuchimba KISIMA Ulaya? Kisima jamani? Hicho kimetushinda hadi tukaombe Ulaya? Yaani bora wangekuwa wanaomba kitu kikubwa zaidi ambacho serikali yao haiwezi! Huu ni udhalilishaji mara dufu! Au sijui ndio matunda ya ufisadi? Na mbunge wao sijui anasemaje, au bado ana hangover ya kutemwa u-PM? Nimeudhika sana.
   
 6. K

  Koba JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  Kweli hii mizungu haina akili kabisa,yani maswali ya kipuuzi kweli kweli,lakini ni kutokana na yenyewe haina exposure na hawajui chochote kuhusu watu wengine,mzungu mwenye akili na aliyesafiri hawezi kuuliza maswali ya kijinga nama hiyo...nachukulia tuu hao wazungu kama ignorant & misinformed,tuna watu kama hao hata kwetu ambao hawana idea na maisha ya watu wengine,anyway at the end of the day acha wajipatie wanachotaka wakasaidie jamii yao maana huu umaskini utatumaliza
   
 7. a

  andurusan Member

  #7
  Apr 12, 2008
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The donation so far is around GBP 26,000, not bad for the six warriors doing it for village water project..... enjoy

  The marathon is easy. There are no lions

  Six Maasai warriors will run the London Marathon tomorrow to raise money for a well in their village. Isaya, 24, is their chief. This is a diary of his week in London, the first time he has left Tanzania

  Fay Schlesinger
  Saturday April 12, 2008

  Guardian

  Friday April 4: arrival in London
  The plane was so big and frightening, and I closed my eyes. My family didn't want me to come to England because they never saw a plane before.

  Our elders told us we can do the marathon because we have been running all over, killing a lion and herding cattle. I sometimes run for two or three days with my cattle, and I have to protect them from lions. We can help the village by raising money to drill for clean water, so all of us have trained hard.

  Heathrow was very busy and it was difficult to walk on the floor because some of it moved. You're walking along and the next moment it's whooosh! It's difficult to get on and off but very good when you're on.

  Saturday April 5: a day out in Kent visiting a farm, training

  I miss meat and blood very much. Not vegetables because they are food for a woman. There is milk here but blood is better because it gives energy. English tea with sugar is good and we tried Coco Pops, but the nicest food is croissants.

  I wanted to see your cows because they are very important to us. But these were small. The horses were like a big zebra with strange metal feet.

  The weather here is strange. From a window it looks warm but outside it's very cold. It is better when we're running or in the shower. We heard about showers before, in a briefing about the country. It said be careful - when the shower is hot it is really hot, and when cold, really cold. This is true.

  Sunday April 6: interviews with local press, tour of Cooling, Kent

  Everybody in England is friendly and smiley. This is common in Maasai culture - the one difference is they are white. And here people depend on money, back home we don't buy food. People are very interested in us, always asking why we are here.

  Monday April 7: national and international press in Trafalgar Square

  All journalists ask the same questions. They ask why you have the strange shoes and shields, about blood, about lions. In Trafalgar Square, they asked: "What do you think about the bronze lion over there?" But what can I say? It's not a real lion. I don't mind because we are interesting to them but I am not here to be a show, an exhibition.

  Tuesday April 8: changing of the guard at Buckingham Palace, visit to the Houses of Parliament

  Everyone took photos of us, not the soldiers and horses. We are looking at one culture, and everyone is looking at us.

  The Houses of Parliament are the best buildings in London. They use very strong materials. We hoped to see the Queen in London very much, but she is never there.

  Wednesday April 9: dance at the opening of the London Marathon show, visit the Barclays tower

  We will dance and sing when we run the marathon. We won't drink water, we eat and then go. Maybe we'll do the marathon in four hours, not very fast. I do not think it will be difficult for us - our shoes are made of car tyres and they are very comfortable. We have trained three days a week and we run for about 13 miles. My younger brother, Nguvu, has a very good speed and I run after him.

  Thursday April 10: London Eye, carousel, horse riding in Surrey

  The horses that go around were amazing and we couldn't believe how fast. We rode a real horse for the first time too. It is amazing that people can talk to them, tell them where to go and they do it.

  Friday April 11: Tower of London

  I prefer my home in Tanzania to here. It's a more natural life without all these buildings. This is more western, we can live in the west but I miss the village.

  Saturday April 12: rest in Kent

  I am excited to get the marathon done and get clean water to save lives. We have a dam that we share with wild animals so every morning the children go to get water, it's dangerous for them. Some have lost their lives. Next week we will drill and get clean water for the top life. Then I would like to study community development in America so I can be a great chief to my people.
   
 8. K

  Koba JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  Glad wamefanikiwa na wamepata zaidi ya 130mTSH hadi sasa na inawezekana zikaongezeka nina uhakika hao wazungu waliofanikisha wakimbie marathon watawasaidia sasa kutumia hizo pesa vizuri ili wajipatie maji na maendeleo mengine...big up to 3 masai brothers & good Britons friends!
   
 9. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Wameitangazia Tanzania pia. Kwenye treni siku hizi mbili tatu nimesikia watu wengi wanaongelea Tanzania na wamasai.
   
 10. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2008
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,503
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  NASHANGAA SANA MTU ANAPOUDHIKA KWA AJILI YA UPUUZI. MTU YEYOTE MPUUZI LAZIMA ANAKUWA ANASUFFER FEELINGS OF INFERIORITY AU SUPERIORITY COMPLEX. SASA HIZI MTU HUWA HAWEZI KUWA NAZO, UNLESS AMEPUNGUKIWA KTU! DHARAU NI MOJAWAPO YA VITU AMBAVYO HUWA VINAMDEFINE MTU NI KWA KIASI GANI ANA MAPUNGUFU KATIKA UWANJA FULANI. A NEUTRAL REACTION TO A "DHARAU MAN" HUWA INA REPUCCATIONS KWAKE ZAIDI, KUJISKIA VIBAYA YEYE MWENYEWE. NAWASHAURI WATU WOTE WANAO-BOTHER DHARAU ZA WENZET HUKO JUU WARUDI NYUMBANI KAMA HAWAWEZI KUWITHSTAND NA KUUNG'AMUA UJINGA WA WATU AMBAO EITHER WAKO INFERIOR AU SUPERIOR KUTOKANA NA MAPUNGUFU YAO WANAOYAJUA!
  TUSIHANGAIKE NA NEGATIVE IDEAS ZA WATU AMBAO PIA WAO WENYEWE WANAJIPERCEIVE NEGATIVELY. SIJAANDIKA SKU NYINGI ILA KWA HILI IMEBIDI!
   
 11. a

  andurusan Member

  #11
  Apr 16, 2008
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Four out of six Maasai managed to reach the finish line of London Marathorn. Certainly it is obvious the run was not as easy as chasing a lion. Sadly, Isaya, their leader felt sick after few miles and was taken to hospital. The good news is, they have raised at least GBP 63,0000, more than the target. It is not bad showing off your culture and contribute to a great cause of bringing clean water to people in need.


   
 12. O

  Ogah JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  .......you are very right Mkuu makanyaga
   
 13. PastorPetro

  PastorPetro Senior Member

  #13
  Apr 16, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yaani kweli hiyo issue ya chupi ni njia ya kuonyesha wamaasai kama 'savages'. Kuvaa chupi manake wako civilized!
   
 14. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mkuu makanyaga umenigusa kinoma(nina maana umenigusa Ubongoni..eeeh) ni kweli ukiona mutu kakuzarau ujue anajistukia,Mimi mara ya kwanza nilivyoenda Uchinani na kuona jamaa wanakunyanyapaa mno nikaanza kupandwa na mimori lakini baada ya kuja gundua ni aina gani ya watu nikagundua ni wale wasio na mbele wala nyuma,mtu mwenye confidence atataka kutumia uzaifu wako kukutumia na sio kuanza kukuzarau ovyoovyo
   
Loading...