Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

First they came for the Socialists, and I did not speak out—
Because I was not a Socialist.

Then they came for the Trade Unionists, and I did not speak out—
Because I was not a Trade Unionist.

Then they came for the Jews, and I did not speak out—
Because I was not a Jew.
 
Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Shame on you, tuache kumzungumzia Ben tumzungumzie mamako? Au tumzungumzie huyo primitive minded wenu wa magogoni?
Maandishi ya Ben Saanane

Mwisho wa kumnukuu

Je, huenda post hii ndio ilikuwa sababu ya kutoonekana kwake hadi leo?
 
Hii post Kali sana imeandikwa kwa makini sana wale wasiojua kusoma hata "A" tena wazalendo wa nchi hawawezi kukubali ukweli huu
 
Dah! jamaa alikuwa kichwa, nadhani hawakuwa na namana nyengine ya kukabiliana nae Ma prof wote chali hawana hoja.
 
Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Siyo rahisi hivyo kusahaulika, Ben na Lissu ni mwiba mbaya kabisa. Trust me.

Those is what we call “gross mistakes”, they will hunt you forever! Trust me!
 
Back
Top Bottom