Maandishi ya Lugha ya Kiingereza Kwene Fulana zetu

drunk.jpg

Mambo ya keroroooooooooo.....
 
Haruuu! Umenikumbusha mbali sana na Tshirt zenye maandishi ya kizungu. Miaka ya nyuma nikiwa sekondari nilivaa Tshirt iliyoandikwa HERE COMES TROUBLE, kipindihicho niko sekondari ya SONGEA BOYS FORM ONE, basi wale form TWO waliniandama kwa mateke wakisema nina watisha mimi kama NJUKA (form one). Kwakweli wangejua, wangeniacha tu kwasababu nilikuwa sijui hata maana ya maneno hayo kwa wakati ule. So sometime people do not know the meaning of the word on their clothes but happy to have their clothes written
 
Tatizo kisomo mtu anaona maashi ya kawaida kumbe matusi." chakuwasidia ndugu zetu ikiwa p1 na kuwashauri ni kwenda darasani tu!
hua nina tabia ya kupenda kusoma soma sana hasa maandishi ya kwene fulana; nilishawahi kukutana na maandishi ambayo mengi ni matusi au hayana maana kwa mvaaji; mfano ninayoweza kuyakumbuka fasta fasta hapa ni pamoja na haya hapa;

* i bleed green (imevaliwa na kijana wa kiume)
* do me please halafu nyuma ikaandikwa do me again please ( imevaliwa na kijana wa kiume)
* leave me a message, i am out of my mind
* give a man a fish, he will lie for a day, teach him to fish and he will lie for a life time
na nyingine nyingi tu, sasa point yangu ni kuwa, je hakuna namna ambayo tungeweza kuwasaidia ndugu zetu wasivae vitu ambavyo kwa mazingira yetu vinaleta maana inayokanganya? Waweza kuweka maandishi mengine unayokumbuka pia
 
Jana kwenye malumbano ya hoja itv jamaa kavaa tshirt imeandikwa ALCOHOL
 
Kaka Kayanza yeye alivaaga ya Vodacom na Kaka Alfani nimeona kavaa ya Rockside
 
Miaka ya nyuma kulikua na T-shirt maarufu zenye maneno haya, "School of Hard Knocks"...
 
Back
Top Bottom