Maandamo ya kuikomboa Tanzania kutoka kwa CCM ni sasa

Hakuna sababu yakumchoma sindano ya sumu mgonjwa mahututi ili afe wakati tayari iziraili mtoa roho yuko njiani kumuendea.Bado kitambo kidogo sana mgonjwa wetu aende marikiti kwa hiyari yake.Kwahiyo ngoja kwanza tuone kama ana ubavu wakupambana na iziraeli.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
😅😅😅ila kweli
 
View attachment 2052722
Hiyo ni Sudan juzi. Watu HALISI wanadai haki zao. Nimeandika HALISI kwa herufi kubwa kwa sababu asilimia kubwa ya "wanaotaka ukombozi wa Tanzania kutoka kwa CCM" wamejificha kwenye fake IDs. Ndo maana Lissu alipoitisha maandamano Novemba 2 mwaka jana, hakuna aliyetokea, kama ambavyo hakuna aliyetokea kwenye maandamano ya Mange.

Ofkoz, naelewa kwanini watu wanalazimika kutumia fake IDs. Wanachelea matokeo.

Na kwa upande mwingine, inahitaji moyo mgumu kutumia jina halisi mtandaoni katika zama hizi za matusi na kudhalilisha watu. May be ukombozi uanzie katika level ya mtu binafsi kisha ndo kufanyike collective efforts.
Unaongelea hao wasaka tonge? Shame on you. Tutapambana humo humo CCM na tutawaondoa wapende wasipende. Siwezi kuwa mshabiki wa chama cha ukoo. Ukoo wenyewe wa panya.
 
Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.

CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!

Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
Suzy, lianzishe tutakuja kukuunga mkono. Kuitisha mandamano na kuingia mitini kama mr #dishlimetilt hatutaki. Anayeitisha mandamano awe tayari kuwa frontline.
 
Angalia unachoandika. Hii ni Tanzania nchi yenye taasisi imara za dola. Fanya kazi jenga familia yako na Taifa mengine fuata sheria!
Taasisi imara za dola zilimuacha sabaya atambe atakavyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom