tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
Wananchi wa Musoma mjini mkoani Mara sasa hivi wanaandamana kuelekea kwenye ofisi ya RPC kupinga mauaji yanayoendelea. Baadhi ya watu wamekuwa wakiuwawa kwa kukatwa vichwa ilihali jeshi la polisi halichukui hatua za kotosha kukomesha mauaji hayo.
Source: ITV/Radio One
Source: ITV/Radio One