Maandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BIN BOR, Dec 29, 2010.

 1. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nilisikia kutakuwa na maandamano (CDM) ya kupinga kupanda kwa bei ya umeme mwakani. Kwa nini yasianze maandamano ya kushinikiza tumjue aliyetuingiza mkenge DOWANS aka RICHMOND. Na tukimjua tumgawane maana anazo......
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,489
  Likes Received: 81,784
  Trophy Points: 280
  Yanaweza pia kuwa maandamano ya kupinga malipo ya sh 185 bilioni kwa Dowans na pia upandishaji wa bei ya umeme. (2 in 1)
   
Loading...