Maandamano yaliyotangazwa kupinga maamuzi ya Kamati Kuu ya Chadema ....

Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,780
3,208
image.jpg Mtakumbuka kuwa mtu anayeitwa Greyson Nyakarungu , alitoa tamko akiwa anajipa kuwa yeye ni Brigedia wa jeshi la waasi , na alitoa siku nne kuwa kama kamati kuu haitakaa na kurejea maamuzi yake ya awali basi yeye na jeshi lake wataitisha maandamano yasiyokoma kwa nchi nzima , leo ni siku ya Tisa tangu atoe tamko lake ....maandamano yako wapi?

Mtu anayeitwa Robert Gwanchere , akiwa mwanza alitoa siku nne kuwa kama kamati kuu haitatengua maamuzi yake basi wangeitisha maandamano yasiyokoma kwa nchi nzima , muda waliokuwa wametoa umeisha jana , hakuna maandamano wala lolote ambalo linaonekana kufanyika , nini kinaendelea ?

Tatu ,kuna jitihada za kufanyika kwa Maandamano kesho Mkoani Kigoma , ambapo leo vijana wa Pikipiki wameandikishwa majina yao na kupewa ahadi ya mafuta lita tano kesho na shilingi elfu 20 kwa kila mmoja kwa ajili ya kufanya maandamano ya pikipiki ya kupinga ziara ya Dr.Slaa Kigoma, maandamano hayo yana panga kufanyika Ujiji mpaka Mwandiga ,aidha zipo taarifa kuwa wanaoratibu ni vijana kutoka DSM na wengine ni ofisi ya CCM Mkoa wakiongozwa na M.kiti wa CCM Mkoa DR.Kaborou .

Nne , vijana wa UVCCM Taifa na Mkoa wa Kigoma , wapo kwenye maandalizi makubwa , na wengine wakiagiza T.shirt za Chadema kutoka Dar na Nyingine wanatengeneza ili mwisho wa siku wajionyeshe kuwa wao ni Chadema ndio ambao wanaoandamana .
zipo , jitihada za kuandaa bendera za Chadema zinaendelea Kariakoo kwa mtu anayeitwa Njia , nitawajuza zimeagizwa Bendera ngapi na zinachukuliwa na nani kwa ajili ya kwenda Kigoma .

Updates

Mara baada ya taarifa zao kuwa wazi hapa wameanza kvurugana kwa timu zote mbili za Maandalizi, nitawajuzaNdege itakayokuwa na baadhi ya Mizigo kutoka Dar, aidha nitawajuza atakayekuwa kwenye ndege hiyo .

Updates.

hii sio yangu ila ni kwa mujibu wa thread ya Jf

Nipo hapa Kigoma, naona gari la matangazo la CCM linapita linahamasisha maandamano ya kumpinga katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa asikanyage Kigoma mjini.

Tangazo liko hivi, nanukuu;
"Tangazo Tangazo Tangazo!! Kesho kutakuwa na maandamano makubwa yatakayofanyika hapa mjini Kigoma, Maandamano ya kumpinga Dr. Slaa asikanyage Kigoma mjini!! Wananchi wote mnaombwa kuhudhuria ya kumpinga Dr. Slaa, maandamano yataanza kesho kuanzia saa mbili na nusu, kwani kitendo cha kufanya hivyo itakuwa ni kumuunga mkono kijana wetu Zitto Kabwe!! Tuhakikishe kila mtu anahudhuria maandamano ya kesho. Dr. Slaa ameshakataliwa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, hivyo tuungane nao mkumpinga Dr. Slaa." Mwisho wa kunukuu
Hili gari la matangazo linatumiwa na viongozi wa ccm wilaya ya Kigoma.

Napita kwenye kijiwe kimoja maarufu hapa mjini nitawajulisha.
Last edited by Mkakati w Mabadiliko; Today at 04:00.

Updates......

ipo ndege ya shiriki moja la umma inadaiwa imekodiwa , imeenda Kigoma na ilitumwa saa mbili usiku, ina wapiga picha waliotolewa Dodoma wa magazeti ya Mwananchi, Citizen , wengine wa Dar ni kutoka Rai , Habari leo na Uhuru.....wa Tv wapo wa Star tv, TBC na CHanel ten , kwa ajili ya picha za kesho kuwekwa magazeti ya kesho kutwa.....wanalala Lake Hotel .....Malipo yamefanywa na shiriki moja ka umma .... Nitawajuza zaidi.....

Updates...........
Ndege ilitua Kigoma jana , Maandamano haya hayana Kibali cha Polisi, tunaendelea kufuatilia kwa makini kikao kinachoendelea cha Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa ofisin kwa RC ......We are very close following this tragedy.....

updates...
Hiz dio zile Pikipiki nilisema jana , dio maandamano ila wameshindwa kupata T.shirt na bendera baada ya mkakati wao kuthibitiwa na kikosi kazi maalum.....Sijui hawa utawaita Chadema ama ...

image.jpg
 
Mtakumbuka kuwa mtu anayeitwa Greyson Nyakarungu , alitoa tamko akiwa anajipa kuwa yeye ni Brigedia wa jeshi la waasi , na alitoa siku nne kuwa kama kamati kuu haitakaa na kurejea maamuzi yake ya awali basi yeye na jeshi lake wataitisha maandamano yasiyokoma kwa nchi nzima , leo ni siku ya Tisa tangu atoe tamko lake ....maandamano yako wapi?

Mtu anayeitwa Robert Gwanchere , akiwa mwanza alitoa siku nne kuwa kama kamati kuu haitatengua maamuzi yake basi wangeitisha maandamano yasiyokoma kwa nchi nzima , muda waliokuwa wametoa umeisha jana , hakuna maandamano wala lolote ambalo linaonekana kufanyika , nini kinaendelea ?

Tatu ,kuna jitihada za kufanyika kwa Maandamano kesho Mkoani Kigoma , ambapo leo vijana wa Pikipiki wameandikishwa majina yao na kupewa ahadi ya mafuta lita tano kesho na shilingi elfu 20 kwa kila mmoja kwa ajili ya kufanya maandamano ya pikipiki ya kupinga ziara ya Dr.Slaa Kigoma, maandamano hayo yana panga kufanyika Ujiji mpaka Mwandiga ,aidha zipo taarifa kuwa wanaoratibu ni vijana kutoka DSM na wengine ni ofisi ya CCM Mkoa wakiongozwa na M.kiti wa CCM Mkoa DR.Kaborou .

Nne , vijana wa UVCCM Taifa na Mkoa wa Kigoma , wapo kwenye maandalizi makubwa , na wengine wakiagiza T.shirt za Chadema kutoka Dar na Nyingine wanatengeneza ili mwisho wa siku wajionyeshe kuwa wao ni Chadema ndio ambao wanaoandamana .
zipo , jitihada za kuandaa bendera za Chadema zinaendelea Kariakoo kwa mtu anayeitwa Njia , nitawajuza zimeagizwa Bendera ngapi na zinachukuliwa na nani kwa ajili ya kwenda Kigoma .

more to come......

CHADEMA inakufa yenyewe wala asitafutwe mchawi.
 
Da magamba yanahangaika kweli, njia pekee ya kuishinda chadema ni kuwaletea wananchi maendeleo waliyowaahidi si kelele na maandamano feki, pia kuna mshikaji wangu yuko st augustine university cumpus ya tabora(amucta) kanambia kuwa kuna baadhi ya wanafunzi wa ccm watapelekwa kushiriki hayo maandamano.
 
Teh teh teh, ZITTO ni CCM? mbona CHADEMA mnakufa kifo cha kutapatapa kiasi hiki?
 
Kwanini wanalazimisha lkn? kubalini kufuata katiba, kubalini kushindwa ndivyo mtakapoheshimika.

Msikubali kununuliwa vijana. Mambo mengine achieni nature...
 
Nashauri red brigade iwe macho,tumekuwa wapole ila hatutaruhusu kutobolewa jicho ili kuendelea kuuthibitisha upole wetu,lazima tujil;inde dhidi ya hila za mwovu ccm na malaika zake masalia.Kama kuna mtu ataleta ushenzi achukuliwe hatua kali na za kisheria.
Pamoja na hilo,chama kiwakabidhi wanakigoma kijana wao,ambaye ameamua kuwasliti kwa vipande vya pesa ,Dr.awakabitdi rasmi
 
Back
Top Bottom