Maandamano yaliyotangazwa kupinga maamuzi ya Kamati Kuu ya Chadema ....

da magamba yanahangaika kweli, njia pekee ya kuishinda chadema ni kuwaletea wananchi maendeleo waliyowaahidi si kelele na maandamano feki, pia kuna mshikaji wangu yuko st augustine university cumpus ya tabora(amucta) kanambia kuwa kuna baadhi ya wanafunzi wa ccm watapelekwa kushiriki hayo maandamano.

lazima wahangaike.zitto zuberi kabwe alikuwa kete yao muhimu sana kwenye programme hii.imepigwa kombora kabla haijazaa matunda.wanacdm makini wanaangalia ccm watachomoka na programme ipi tena.ukanda ,udini,ukabila,ugaidi ,vitisho,mabomu, risasi za moto etc zote zimefeli.pesa na nguvu nyingi sana zinatumika.hizi pesa ni za ccm au ni kodi yetu?.tafakari.
 
Kwa kweli majanga inachekesha sana yaani aibu mchezo wa kijinga ccm wanafanya fujo baada ya maji kuwazidi kitu chochote
 
Mtakumbuka kuwa mtu anayeitwa Greyson Nyakarungu , alitoa tamko akiwa anajipa kuwa yeye ni Brigedia wa jeshi la waasi , na alitoa siku nne kuwa kama kamati kuu haitakaa na kurejea maamuzi yake ya awali basi yeye na jeshi lake wataitisha maandamano yasiyokoma kwa nchi nzima , leo ni siku ya Tisa tangu atoe tamko lake ....maandamano yako wapi?

Mtu anayeitwa Robert Gwanchere , akiwa mwanza alitoa siku nne kuwa kama kamati kuu haitatengua maamuzi yake basi wangeitisha maandamano yasiyokoma kwa nchi nzima , muda waliokuwa wametoa umeisha jana , hakuna maandamano wala lolote ambalo linaonekana kufanyika , nini kinaendelea ?

Tatu ,kuna jitihada za kufanyika kwa Maandamano kesho Mkoani Kigoma , ambapo leo vijana wa Pikipiki wameandikishwa majina yao na kupewa ahadi ya mafuta lita tano kesho na shilingi elfu 20 kwa kila mmoja kwa ajili ya kufanya maandamano ya pikipiki ya kupinga ziara ya Dr.Slaa Kigoma, maandamano hayo yana panga kufanyika Ujiji mpaka Mwandiga ,aidha zipo taarifa kuwa wanaoratibu ni vijana kutoka DSM na wengine ni ofisi ya CCM Mkoa wakiongozwa na M.kiti wa CCM Mkoa DR.Kaborou .

Nne , vijana wa UVCCM Taifa na Mkoa wa Kigoma , wapo kwenye maandalizi makubwa , na wengine wakiagiza T.shirt za Chadema kutoka Dar na Nyingine wanatengeneza ili mwisho wa siku wajionyeshe kuwa wao ni Chadema ndio ambao wanaoandamana .
zipo , jitihada za kuandaa bendera za Chadema zinaendelea Kariakoo kwa mtu anayeitwa Njia , nitawajuza zimeagizwa Bendera ngapi na zinachukuliwa na nani kwa ajili ya kwenda Kigoma .

more to come......

Siasa za mtandaoni zinaitafuna CHADOMO
 
ZZK nasikia mpaka sasa ameandaa mwanasheria wake ajiandae kwenda mahakamani baada ya kupokea ushauri kutoka CCM. Kwani CCM wanamhitaji sana ZZK wakati wa Bunge la katiba ili awasaidie.
 
NYAKARUNGU huna huo uwezo acha kutafuta pesa kwa kuyahadaa magamba.CDM haiwezi kutishwa na watu wapumbafu kama wewe na hao wanaokutuma.utahangaika sana na ziara ya dr.slaa na huna uwezo wa kuihujumu zaidi ya kuaibika wewe na waliokutuma.vp wale wa tanga umeshasikia kuwa wameomba cdm iwasamehe? NJOO NA HUKU BUNDA TUKUSHUGHURIKIE
 
Kwa kweli majanga inachekesha sana yaani aibu mchezo wa kijinga ccm wanafanya fujo baada ya maji kuwazidi kitu chochote

Nani kasema ni CCM? Chadema yakiwashinda ati CCM kwa lipi na kwa faida gani? ZZK na Kitila mmewachagua wenyewe hata CCM Hawakuwepo then unasema CCM?

Basi zaidi ya 75% ya kamati kuu ya CDM ni CCM! Ndio maana maamuzi yote ni ya CCM!

Hata Dr Slaa ni Mwana CCM! Yupo CDM kwa kazi Maalum! Ukweli ndio huo!
 
Wajinga hao. Wanajisumbua bure.

Hizo rasilimali wanazopoteza wangalizitumia katika kuzalisha mali, wao na familia zao wangekuwa mbali sana.
 
Mtakumbuka kuwa mtu anayeitwa Greyson Nyakarungu , alitoa tamko akiwa anajipa kuwa yeye ni Brigedia wa jeshi la waasi , na alitoa siku nne kuwa kama kamati kuu haitakaa na kurejea maamuzi yake ya awali basi yeye na jeshi lake wataitisha maandamano yasiyokoma kwa nchi nzima , leo ni siku ya Tisa tangu atoe tamko lake ....maandamano yako wapi?

Mtu anayeitwa Robert Gwanchere , akiwa mwanza alitoa siku nne kuwa kama kamati kuu haitatengua maamuzi yake basi wangeitisha maandamano yasiyokoma kwa nchi nzima , muda waliokuwa wametoa umeisha jana , hakuna maandamano wala lolote ambalo linaonekana kufanyika , nini kinaendelea ?

Tatu ,kuna jitihada za kufanyika kwa Maandamano kesho Mkoani Kigoma , ambapo leo vijana wa Pikipiki wameandikishwa majina yao na kupewa ahadi ya mafuta lita tano kesho na shilingi elfu 20 kwa kila mmoja kwa ajili ya kufanya maandamano ya pikipiki ya kupinga ziara ya Dr.Slaa Kigoma, maandamano hayo yana panga kufanyika Ujiji mpaka Mwandiga ,aidha zipo taarifa kuwa wanaoratibu ni vijana kutoka DSM na wengine ni ofisi ya CCM Mkoa wakiongozwa na M.kiti wa CCM Mkoa DR.Kaborou .

Nne , vijana wa UVCCM Taifa na Mkoa wa Kigoma , wapo kwenye maandalizi makubwa , na wengine wakiagiza T.shirt za Chadema kutoka Dar na Nyingine wanatengeneza ili mwisho wa siku wajionyeshe kuwa wao ni Chadema ndio ambao wanaoandamana .
zipo , jitihada za kuandaa bendera za Chadema zinaendelea Kariakoo kwa mtu anayeitwa Njia , nitawajuza zimeagizwa Bendera ngapi na zinachukuliwa na nani kwa ajili ya kwenda Kigoma .

more to come......

Wewe hujui kinachoendelea, ni sawa na usiku wa giza. Piga simu sasa hivi MAKAO MAKUU YA CHADEMA uulizie mkutano unaoendelea pale chini ya BAREGU, SAFARI na MARANDO ni wa nini kama siyo MBOWE Na SLAA kuwa hoi?
 
ameshakuwa cherewa huyo! tena wamechelewa mno kutupa hiyo taka kwenye dustbin hadi harufu imefika uswazi!
Taka? BAREGU, SAFARI na MARANDU wako kwenye kikao hivi sasa kutafuta suluhi tena kwa ombi la MBOWE na SLAA baada ya kuona maji ya shingo.
 
Hii mada ni ya kujadiliwa na watoto sio watu wazima. Nashangaa mods kuacha uchafu huu jukwaani
 
lazima wahangaike.zitto zuberi kabwe alikuwa kete yao muhimu sana kwenye programme hii.imepigwa kombora kabla haijazaa matunda.wanacdm makini wanaangalia ccm watachomoka na programme ipi tena.ukanda ,udini,ukabila,ugaidi ,vitisho,mabomu, risasi za moto etc zote zimefeli.pesa na nguvu nyingi sana zinatumika.hizi pesa ni za ccm au ni kodi yetu?.tafakari.

BAREGU, MABERE MARANDU na PROF. SAFARI wako kwenye kikao sasa hivi kusuluhisha, kwa masharti kuwa ZITTO arudushiwe madaraka yake na aruhusiwe kugombea nafasi ya Mwenyekiti. BADO mnasema ZITTO hafai? suluhu ya nini?
 
Back
Top Bottom