Maandamano yaliyotangazwa kupinga maamuzi ya Kamati Kuu ya Chadema ....

Ni kweli mkuu ndiyo maana chadema kilianza na shetani kitamaliza na shetani make kwa sasa limebakia jina tu chadema kilishakufa.

CDM inazidi kushika kasi kuelekea 2015.hatuna wasiwasi na kurukaruka kwa maharage kwani ndio kuiva kwenyewe.
 
Kiboko anayelusha vijana wa CCM viroba na kuingia na mabango kisha wanaumbuka na kujieleza asili ya walikotoka?

KIFO CHANGU KIKITOKANA NA MKONO WA MTU , KWAO HATA PANYA HATABAKI-ZITTO alikuwa anamwambia nani?
 
Yaani wadhani mie nafanya mambo kama juha?

Naomba usiwe na haraka mradi tu dead line ilishapita,

Kwanza nakushauri uwe unasikiliza vizuri mtu anapoongea,

Kwanza mie sikutaja habari za kurejeshewa zitto na mkumbo nafasi zao, bali wewe masikio na akili yako ilijitega kusikia hayo,

Nilichoagiza ni kuwa viongozi wote wa mikoa na wilaya na kanda waliopenyezwa na kupachikwa ukaimu nafasi hizo wajiondoe haraka, na wale walioondolewa bila utaratibu warudi haraka kwenye nafasi zao,

Ukiwa mfuatliaji utagundua viongozi wa wilaya wawili wamejiondoa tangu last week huko mkioani kwa kisingizio cha kwenda masomoni na mwingine kuwa anamatatizo ya kifamilia,

Lakini ni lazima tuchukue hatua kama nilivyosema dead line ikipita tutangaza maamuzi wla sikusema tutaandamana kama unavyosema,

Siku yoyote kabla ya tarehe 15 tutatangaza operation kamili na namna itakavyokuwa,

N:B hao wanaojiandaa kuandamana umepata wapi taarifa za uhakika kuwa ni ccm? je kama ni ccm why cdm walipambane nao? KIVULI CHA MASALIA KITAKUTAFUNA NA UNAFIKI WAKO KIJANA!!!!
 
Nashauri red brigade iwe
macho,tumekuwa wapole ila hatutaruhusu kutobolewa jicho ili kuendelea
kuuthibitisha upole wetu,lazima tujil;inde dhidi ya hila za mwovu ccm na
malaika zake masalia.Kama kuna mtu ataleta ushenzi achukuliwe hatua
kali na za kisheria.
Pamoja na hilo,chama kiwakabidhi wanakigoma kijana wao,ambaye ameamua
kuwasliti kwa vipande vya pesa ,Dr.awakabitdi rasmi

haswaaa; umakini wa RED BRIGADE utasaidia
 
anawachapa CHADEMA mnao haha kutafuta suluhu, maji yakishwa mwagika yahazoleki, muwalaumu SLAA na BOWE kwa ukatili wao.

CDM itafute suluhu na nani? hao traitors? naona mh.Mbowe na dr.Slaa wanawapa tabu sana magamba.
 
CDM inazidi kushika kasi kuelekea 2015.hatuna wasiwasi na kurukaruka kwa maharage kwani ndio kuiva kwenyewe.

Mtakiona cha moto come 2015 maana hamtaamini kitakachowakuta! Tena safari hii mkipata kura 1000 bahati yenu!

Tumesha order ambulance kila kata kwa jiji la Arusha na Mbeya mjini kwa ajili ya huduma ya kwanza maana wengi watazimia! Chadema hamkatizi 2015
 
maandamano hamna lakini ZZK hawezi kutolewa CDM(kuvuliwa uanachama)

Kufukuzwa tayari amefukuzwa kilichobakia ni kikao kubariki. Heshima alioonyesha Zito imemharibia kila kitu. Pia itakuwa ni fezeha kubwa kwa CDM kumwacha Zito baada ya haya yote yaliyofanwa na ZZK na marafiki zake itaonekana kwamba wamemwogopa na hapo ndo mashambulizi ya kuwazodoa CDM yataanza.
 
CDM inazidi kushika kasi kuelekea 2015.hatuna wasiwasi na kurukaruka kwa maharage kwani ndio kuiva kwenyewe.
Kwa tarifa yako zitto anarudishiwa vyeo vyake vyote na kugombea uenyekiti sijui mtaishi wapi akishinda.
 
mtakumbuka kuwa mtu anayeitwa greyson nyakarungu , alitoa tamko akiwa anajipa kuwa yeye ni brigedia wa jeshi la waasi , na alitoa siku nne kuwa kama kamati kuu haitakaa na kurejea maamuzi yake ya awali basi yeye na jeshi lake wataitisha maandamano yasiyokoma kwa nchi nzima , leo ni siku ya tisa tangu atoe tamko lake ....maandamano yako wapi?

Mtu anayeitwa robert gwanchere , akiwa mwanza alitoa siku nne kuwa kama kamati kuu haitatengua maamuzi yake basi wangeitisha maandamano yasiyokoma kwa nchi nzima , muda waliokuwa wametoa umeisha jana , hakuna maandamano wala lolote ambalo linaonekana kufanyika , nini kinaendelea ?

Tatu ,kuna jitihada za kufanyika kwa maandamano kesho mkoani kigoma , ambapo leo vijana wa pikipiki wameandikishwa majina yao na kupewa ahadi ya mafuta lita tano kesho na shilingi elfu 20 kwa kila mmoja kwa ajili ya kufanya maandamano ya pikipiki ya kupinga ziara ya dr.slaa kigoma, maandamano hayo yana panga kufanyika ujiji mpaka mwandiga ,aidha zipo taarifa kuwa wanaoratibu ni vijana kutoka dsm na wengine ni ofisi ya ccm mkoa wakiongozwa na m.kiti wa ccm mkoa dr.kaborou .

Nne , vijana wa uvccm taifa na mkoa wa kigoma , wapo kwenye maandalizi makubwa , na wengine wakiagiza t.shirt za chadema kutoka dar na nyingine wanatengeneza ili mwisho wa siku wajionyeshe kuwa wao ni chadema ndio ambao wanaoandamana .
Zipo , jitihada za kuandaa bendera za chadema zinaendelea kariakoo kwa mtu anayeitwa njia , nitawajuza zimeagizwa bendera ngapi na zinachukuliwa na nani kwa ajili ya kwenda kigoma .

More to come......

hivi kweli kuna hitajika maandamano kujua kuwa maamuzi ya kamati kuu ni ya kijuha?
 
Back
Top Bottom