ERIC JOSEPH
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 567
- 55
TUNDUMA:Jamani wana Tunduma tufanyeje ili kuyaondoa madarakani haya mafisadi?jana tulipanga kuandamana ili kushinikiza yaondoke tumezuiliwa kwamfano hili lakutoka mwaka kati mwakajana lilituhumiwa kutafuna michango ya ujenzi wa r/m/manga tukasema hatuna imaninalo wakalilinda,sasa yamezuka mengine tumepanga maandamano ya amani wanatuletea f.f.u waje kutulipua mabomu?inaniuma pale ninapo sikia mamilioni yanatafunwa halafu tunadaiwa kufanya majukumu ambayo yalitakiwa yafanywe na serikali zaidi sana tatizo tulilonalo la uhaba wa maji.