Maandamano yafanyika nchini Afrika kusini kupinga kauli ya Makonda kuhusu ushoga

Kuna kitu hakipo sawa katika vichwa vyetu watanzania, ivi hili suala lahitaji ushabiki wa kisiasa ? Inaweza kua lilivyoshughulikiwa kuna kasoro lakini haihalalishi ushoga ...kuna ishu zingine ushabiki utajatutokea puani...
 
View attachment 959993

Wananchi nchini Afrika Kusini wameandamana mpaka ubalozi wa Tanzania nchini humo, wakipinga kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kukataza vitendo vya ushoga na usagaji kwenye mkoa wake.

Wananchi hao ambao idadi yao haikujulikana kwa mara moja, pia wamemtaka Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kuingilia kati suala hilo, ikiwezakana awape kibali wananchi hao (mashoga) ambao wametajwa kuwa maisha yao yapo hatarini, waweze kuishi Afrika Kusini.

Rais Ramaphopsa, tunakuita ili utambue hali iliyopo sasa Tanzania, kunyanyaswa kwa haki za binadamu na uhuru wa binadamu, mwambie Makonda kuwa haukubali hiki kitu.

Tunakutaka uwape hifadhi watu hawa wa Tanzania, ambao wapo katika hatari ya kuporwa uhuru wao, tunakutaka uchukue hatua kama katiba yetu inavyosema na kitendo chako cha kutetea haki za binadamu” walisikika waandamanaji hao kwenye ujumbe wao.

Ikumbukwe kwamba hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alianzisha kampeni ya kukamata watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ili wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria za nchi, lakini kitendo hiko kimekuwa kikipingwa na makundi mbali mbali ya haki za binadamu, wakisema ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.

Source: South African Lobby Group Protests Tanzania's Anti-Gay Laws
Mkuu kwa hili ninaungana na mkuu wa mkoa wa Dar haiwezekani tukaruhusu uchafu huu.
 
Mimi nilishangaa zirobrain bashite kutangaza wazi kuwa hataki mambo ya kichoko mkoani mwake..alikosea sana..

Angetengeneza kikosikazi cha 'kuwafinya' kimyakimya na kukutwa vichakani au kwenye high bridge wamening'nizwa nadhani wangekimbia nchi bila kupenda.
Suala la ushoga tulifumbie macho.Duh!
 
Naoamba wakubwa mtupie kale ka clip cha Mh Makonda alivyopokelewa uwanja wa Taifa tarehe 30/Setemba mwaka huu katika mechi ya Simba na Yanga!kanaenda na haka kastory ka Afrika kusini!
 
Nikiri kwa mkono huu na akili yangu kuwa MAKONDA KATIKA HILI LA USHOGA kafanya vizuri na kila MTU anajua hilo ndani ya MOYO wake tatizo lnalowafanya watu kushadidia na kuona ni jambo baya alilofanya MAKONDA ni chuki walizonazo watz wengi juu ya mfumo au jinsi mambo yao mengine yalivyokwamishwa moja kwa moja au vinginevyo

Nishasikiaga wanafunzi wakigomea chakula shule na kufanya migomo na maandamano tatizo linakuwa siyo chakula ila wanakuwa na VISABABU VYAO VINGINE.
 
Hawa mashoga waliondamana hadi ubalozi wa Tz kupinga tu kauli ya RC hamkushangaa mnashangaa waliondamana kuhusu ndege
 
Back
Top Bottom