Maandamano yafanyika nchini Afrika kusini kupinga kauli ya Makonda kuhusu ushoga

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
1544256590140.png

Wananchi nchini Afrika Kusini wameandamana mpaka ubalozi wa Tanzania nchini humo, wakipinga kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kukataza vitendo vya ushoga na usagaji kwenye mkoa wake.

Wananchi hao ambao idadi yao haikujulikana kwa mara moja, pia wamemtaka Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kuingilia kati suala hilo, ikiwezakana awape kibali wananchi hao (mashoga) ambao wametajwa kuwa maisha yao yapo hatarini, waweze kuishi Afrika Kusini.

Rais Ramaphopsa, tunakuita ili utambue hali iliyopo sasa Tanzania, kunyanyaswa kwa haki za binadamu na uhuru wa binadamu, mwambie Makonda kuwa haukubali hiki kitu.

Tunakutaka uwape hifadhi watu hawa wa Tanzania, ambao wapo katika hatari ya kuporwa uhuru wao, tunakutaka uchukue hatua kama katiba yetu inavyosema na kitendo chako cha kutetea haki za binadamu” walisikika waandamanaji hao kwenye ujumbe wao.

Ikumbukwe kwamba hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alianzisha kampeni ya kukamata watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ili wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria za nchi, lakini kitendo hiko kimekuwa kikipingwa na makundi mbali mbali ya haki za binadamu, wakisema ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.

Source: South African Lobby Group Protests Tanzania's Anti-Gay Laws
 
Hiyo lugha Makonda anaielewa?
 
View attachment 959993

Rais Ramaphopsa, tunakuita ili utambue hali iliyopo sasa Tanzania, kunyanyaswa kwa haki za binadamu na uhuru wa binadamu, mwambie Makonda kuwa haukubali hiki kitu, tunakutaka uwape hifadhi watu hawa wa Tanzania, ambao wapo katika hatari ya kuporwa uhuru wao, tunakutaka uchukue hatua kama katiba yetu inavyosema na kitendo chako cha kutetea haki za binadamu”, walisikika waandamani hao kwenye ujumbe wao.

Ikumbukwe kwamba hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alianzisha kampeni ya kukamata watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ili wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria za nchi, lakini kitendo hiko kimekuwa kikipingwa na makundi mbali mbali ya haki za binadamu, wakisema ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.

Source: South African Lobby Group Protests Tanzania's Anti-Gay Laws
Hahahaa....... Ghafla Makonda amekuwa wa kimataifa zaidi jina lake likitajwa dunia nzima!
Ingekuwa ni bongo mngesema kiki!
 
Mimi nilishangaa zirobrain bashite kutangaza wazi kuwa hataki mambo ya kichoko mkoani mwake..alikosea sana..

Angetengeneza kikosikazi cha 'kuwafinya' kimyakimya na kukutwa vichakani au kwenye high bridge wamening'nizwa nadhani wangekimbia nchi bila kupenda.
 
View attachment 959993

Wananchi nchini Afrika Kusini wameandamana mpaka ubalozi wa Tanzania nchini humo, wakipinga kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kukataza vitendo vya ushoga na usagaji kwenye mkoa wake.

Wananchi hao ambao idadi yao haikujulikana kwa mara moja, pia wamemtaka Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kuingilia kati suala hilo, ikiwezakana awape kibali wananchi hao (mashoga) ambao wametajwa kuwa maisha yao yapo hatarini, waweze kuishi Afrika Kusini.

Rais Ramaphopsa, tunakuita ili utambue hali iliyopo sasa Tanzania, kunyanyaswa kwa haki za binadamu na uhuru wa binadamu, mwambie Makonda kuwa haukubali hiki kitu.

Tunakutaka uwape hifadhi watu hawa wa Tanzania, ambao wapo katika hatari ya kuporwa uhuru wao, tunakutaka uchukue hatua kama katiba yetu inavyosema na kitendo chako cha kutetea haki za binadamu” walisikika waandamanaji hao kwenye ujumbe wao.

Ikumbukwe kwamba hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alianzisha kampeni ya kukamata watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ili wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria za nchi, lakini kitendo hiko kimekuwa kikipingwa na makundi mbali mbali ya haki za binadamu, wakisema ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.

Source: South African Lobby Group Protests Tanzania's Anti-Gay Laws
Nenda kajiunge nao.
 
Back
Top Bottom