Maandamano yaendelea kushika kazi Afrika Kusini kufuatia kukamatwa kwa Jacob Zuma

Zuma kwa hakika aliacha legacy kwa wanyonge wa taifa lake, legacy inayojitetea na kujilinda. Ndiyo maana Zuma anapofanyiwa wasiyo yaelewa na vigogo wenzake wanaliamsha dude.

Legacy ya Zuma hailazimishwi kama ya "yule" fulani katika taifa fulani. Hatuoni watu wakiliamsha dude kumtetea anaponangwa na vigogo.

Hii inathibitisha kwamba ya yule siyo legacy bali ni kiini macho ama maigizo ya legacy.
 
Zuma huyu ambae katika kipindi chake chote cha urais amesababisha uchumi wa south Africa kuyumba vibaya mno . South Africa ya Thabo Mbeki ilikuepo na uchumi imara. South ya sasa imeyumba Sana kiuchumi

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Lkn angalia baada ya kuwekwa kizuizini nchi haikaliki, haitawaliki na panachimbika. Soon ataachiwa.
 
Labda una Nia nzuri ya kufikisha ujumbe fulani ila mfano uliotumia sidhani kama unafit. Wasouth wanashida nyingi sana na wakipata chance tu ya kuloot na kufanya vurugu, they take it. Haohao wanaoandama kwaajili ya Zuma ndio haohao kipindi yuko rais walilalamika anawazingua.
Vurugu za South ni sababu ya ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira na sio legacy
 
Wanasikitisha sana...
Yaani wanataka kumutetea MTU mwizi na fisadi wa kutupwa! Tangu Afrika kusini ipate Uhuru hali ya Waafrika walio wengi imebaki vile vile wanaogelea kwenye lindi LA umaskini, bado wengi wao wanaishi kwenye shanks/ramshackle - Winne Mandela aliwahi kumshutumu mumewe kwamba hakufanya lolote la kuwainua waswahili wenzake kutoka kwenye umasikini badala yake aliishia kukumbatia Wazungu na kuhachia status quo iendelee kama kawa - come Jacob Zuma huyu kajiingiza kwenye ufisadi ulio kubuhu na kujijali yeye, distant relatives na marafiki wake was karibu - kawasahu kabisa walio pigania Uhuru!! Leo hii baadhi ya uwaafrika kusini wenye akili fyatu wanaingia barabarani kutetea MTU kama huyo.
 
Lkn angalia baada ya kuwekwa kizuizini nchi haikaliki, haitawaliki na panachimbika. Soon ataachiwa.
Ukweli wa mambo ni kwamba wengi wa RAIA wa Afrika Kusini hawajitambui - hukuna binadamu mwenye akili timamu anaweza kumtetea Jacob Zuma hata kidogo.
 
Yaani mtu unakosa kutii amri rahisi tu ya korti, alikuwa anatarajia nini huyo Zuma? 🤬 Alafu hao wa SA wanatuaibisha sisi kama Waafrika! Pambaff!!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom