Maandamano ya wanawake kumpinga Donald Trump yanaendelea muda huu Marekani

Mndwyika.wetu

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
652
829
Maandamano makubwa sana ya wanawake ya kumpinga Raisi Trump yanafanyika katika miji mingi sana mda huu huko DC, Boston n.k

Mbona sioni police wakipiga watu?
Je Trump anaweza kusema huu UJINGA WA AJABU KWAMBA SIASA NI MPAKA 2021 au Walioshinda tu ndio wafanye siasa,


AU UPUMBAVU HUU TUNAFANYIANA nchi za kiafrica tuu, KWELI BADO TUKO MBALI SANA NA USTAARABU
 
Wanalindwa na katiba yao ni sio KWA MATAMKO YA TRUMP

Amendment I. Congress shall make no law respecting an establishment of religion, or prohibiting the free exercise thereof; or abridging the freedom of speech, or of the press; or the right of the people peaceably to assemble, and to petition the government for a redress of grievances.
 
Tupe chanzo(sources)!
AU kapicha habari itakuwa imekuwa sawa .


Umeitoa Taarifa ukachomekea na Siasa za bongo!!!

Btw Tuna safari ndefu kufiko huko,,hii ndiyo dunia ya Tatu Mkuu usihifo subiri tunakuja watu wa kazi na uzalendo wa asilimiaa nyingi mno achana na Chadema na Ccm na Act na baadhi ya hovyo-hovyo!! Omba uzima
 
Trump ana kazi kubwa ya kuiunganisha marekani iwe na umoja kabla ya kuifanya kuwa great again.
 
Walikamatwa hao waandamanaji 20 wakakutwa 7 tu ndiyo waliopiga kura.

Tunajua utawala huu wa Trump utaandamwa na maandamano hewa yatakayokuwa yanaasisiwa na agents wa zamani wa CIA na wengine ambao wako ofisini kimkakati, Pia vikundi vya kigaidi vitaundwa na wamarekani wenyewe kwa nia ya kumtikisa Trump ila naamini hawatamuweza labda wamuue.
 
Walikamatwa hao waandamanaji 20 wakakutwa 7 tu ndiyo waliopiga kura.

Tunajua utawala huu wa Trump utaandamwa na maandamano hewa yatakayokuwa yanaasisiwa na agents wa zamani wa CIA na wengine ambao wako ofisini kimkakati, Pia vikundi vya kigaidi vitaundwa na wamarekani wenyewe kwa nia ya kumtikisa Trump ila naamini hawatamuweza labda wamuue.
Mkuu kuna ujumbe ambao aliyeandika hii thread anataka ufike ukiachana na nia ya hao waandamanaji
 
Walianza Kuandamana tangu alipochaguliwa,Kwahiyo hakuna effect yeyote! Trump Ni Raisi wa US Imoooooooooooooooooo!
 
JAMANI NAOMBA TUELEWE HAPA TUNAONGELEA "UHURU WA KUONGEA NA KUKUSANYIKA" ambao hapa Tanzania ni ndoto
Unalinganisha Marekani yenye miaka 200 na Tanzania yenye miaka 50, sometimes tuwe tunakaa kimya, huwezi panda mahindi leo na kuyavuna leo hiyo hiyo.
 
Haitasaidi lakini wanao uhuru wa kuongea na kufanya maandamando ya amani, SIO KUA WATUMWA WA KAULI ZA MTU MMOJA
Piga picha uhuru huo ungekuwa hapa Tanzania na hayo maandamano yangekuwa hapa Tanzania ama nchi ingine ya kiafrika - unaweza kutathimini pressure ambayo hio ingepata kutoka mataifa hayo hayo ikiwemo Marekani na ndugu zake wakitaka huyo Trump wa hio nchi ya kiafrika aachie ngazi?
 
Hao wanawake watakuwa Lesbians, hakuna mke mwenye ndoa na mwanaume.
Lesbian ni mama yako mzazi, wanawake 250,000 wote hawawezi kuwa Lesbians kiazi mviringo wewe.
Hata Kama wangekuwa Lesbians lakini bado wana haki ya kikatiba ya kuandamana.
Unadhani huko kuna green devils wa kukandamiza Uhuru wa watu? go to hell Kama imekuuma.
 
Back
Top Bottom