maandamano ya waisilamu ya hapo kesho na kesho kutwa.......jijini dar es salaam

Status
Not open for further replies.
Sina lengo la kukashifu dini ya mtu ila kuna hii hali nimeiona katika jamii ya kikristo... hawa ndugu zetu linapoongelewa jambo linalogusa imani ya watu (DINI) basi akili zao hushuka kwenye masaburi (samahani lakini)... hawatumii akili kabisa wanabaki kufuata tu! Humu ukitoa bandiko la kueleza jambo baya linalohusiana na uislam basi wata coment kwa nguvu bila kujiuliza hili ni kweli au uongo usio na msingi. (angalia mabandiko ya maandamano ya waislam, waislam kuficha silaha misikitini nk)

Ushahidi zaidi wa hoja yangu tukumbuke babu wa loliondo alivyowapeleka kwa jina la DINI, DECI ilivyowatenda kwa jina la DINI, hapa juzi tu, mchungaji Gamanywa kawatia ujinga eti anaweza kumfufua mfu!
 
Sasa si uende mahakamani? Povu la nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom