Maandamano ya tarehe 4/4 yaliishia wapi? Mbona hatukupata updates?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Kwanza Niwashukuru enyi vijana wa BAVICHA maana sasa mmekua na uelewa wa mambo mbalimbali ukilinganisha na hapo awali ambapo mlikua mnachapika kwa ajili ya viongozi wenu. Mfano mzuri ni hii ya hivi karibuni iliyotokea katika gereza la Segerea mliwaacha viongozi wenu wakachapika wenyewe tofauti na hapo mwanzo wao walikua katika V8 zao huku wakiwa wamevaa miwani mikubwa kuficha makengeza yao....

Hata walipopanga kuwa kuna maandamano yamekua yakishindwa hii inaonesha kuimarika kwa fikra za vijana waliokua wanatumika hapo awali ambao kwa sasa wamekataa kuwa watumwa wa wanasiasa.

Mwisho nawaasa hata wakati wa uchaguzi mkuu muwe hivi hivi kwani kwa sasa viongozi wenu wamechangia kukiharibu chama na kukosa mvuto uchaguzi mzuri wa kujipanga ni 2025 Kwa inavyoonekana kwa CHADEMA kuvuna Viti hata 7 vya Ubunge itakua ni mafanikio makubwa kwa mwaka 2020.
 
Wewe ambaye unategemea jeshi la mkoloni ili uweze kutawala!!wewe ambaye unanunua watu wa upinzani!! Wewe ambaye mahakama,bunge,rais ni vyombo vyako vya propaganda
 
Attachments

  • IMG_20200301_124256.jpg
    IMG_20200301_124256.jpg
    83.8 KB · Views: 1
Tuko kwenye maombi jamaa yangu, hii krarezima tujitahidi kuombea wenzetu na kujiombea wenyewe juu ya huyu adui Corona.
 
Hujui hata unachokisema unatia kinyaa. Lol. Aliyekuambia palikuwa na maandamano tarehe 4/4 ni nani? Ilikuwa mikutano sio maandamano!
Kama makengeza ni kilema mbona kuna wengine wanapandwa na vichaa kabisa na kuanza kufurusha mawe kwenye mapaa ya ikulu.
Swali. NANI ALIMPA SUMU MANGULA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maandamano yashaanza? Nahitaj kushiriki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza Niwashukuru enyi vijana wa BAVICHA maana sasa mmekua na uelewa wa mambo mbalimbali ukilinganisha na hapo awali ambapo mlikua mnachapika kwa ajili ya viongozi wenu. Mfano mzuri ni hii ya hivi karibuni iliyotokea katika gereza la Segerea mliwaacha viongozi wenu wakachapika wenyewe tofauti na hapo mwanzo wao walikua katika V8 zao huku wakiwa wamevaa miwani mikubwa kuficha makengeza yao....

Hata walipopanga kuwa kuna maandamano yamekua yakishindwa hii inaonesha kuimarika kwa fikra za vijana waliokua wanatumika hapo awali ambao kwa sasa wamekataa kuwa watumwa wa wanasiasa.

Mwisho nawaasa hata wakati wa uchaguzi mkuu muwe hivi hivi kwani kwa sasa viongozi wenu wamechangia kukiharibu chama na kukosa mvuto uchaguzi mzuri wa kujipanga ni 2025 Kwa inavyoonekana kwa CHADEMA kuvuna Viti hata 7 vya Ubunge itakua ni mafanikio makubwa kwa mwaka 2020.
Ulikuwa umekufa ndio umefufuka.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui hata unachokisema unatia kinyaa. Lol. Aliyekuambia palikuwa na maandamano tarehe 4/4 ni nani? Ilikuwa mikutano sio maandamano!

Kama makengeza ni kilema mbona kuna wengine wanapandwa na vichaa kabisa na kuanza kufurusha mawe kwenye mapaa ya ikulu.
Swali. NANI ALIMPA SUMU MANGULA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitoke nje ya mada basi ilikuwa kuandamana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom