Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
msisahau kuiput kwenye vyombo vya habari ili nasi tufaidi kinachotokea huko dc.hasa vire vikubwa.
 
Tanzania inanuka nyie mliopo nje mkirudi hamtakuta chochote huku huyo ****** ameuza kila kitu.Madini na Mahoteli wamebadilishana na Suti.
 
Nchi inaongozwa Kishirikina,Kiswahiba matajiri wa nchi 96%wote Majambazi/Mafisadi Washirikina na wameshagawana rasilimali zote humu Tanzania,Nchi imekwisha na ijulikane Ushirikina unatupeleka kubaya sana huyu Smile Face anatumaliza.
 
Andikeni Bango kubwa "Tanzania bila Kikwete Inawezekana" lingine Wawekezaji tuhurumieni Madini na ardhi msilinganine thamani hiyo na Perfume na Nguo jamani.
 
vyombo vya habari vya nyumbani vimeshatangaza kuwa keshaondoka na sasa yuko njiani. Mkichelewa kila kitu kitacolapse. Shime ndg zetu tumuaibishe fisadi JK
 
Jamani hivi watanzania wanaoishi nje ya nchi ndiyo wana machungu makubwa na Tanzania kuliko watanzania walio Tanzania?. Ni yupi hasa (kati ya hawa wawili) anayejua hali halisi ilivyo?. Mtanzania anayeishi nje ya Tanzania anasoma katika mitandao na kusikia hadith, lakini kumbukeni kwamba tuna waandishi wa habari wengi ambao ni makanjanja na neno la kusikia linaweza kuongezwa ama kupunguzwa chumvi.
Ingekuwa vyema sana kama maandamano haya ya kumpinga Jakaya Kikwete yangefanyika ndani ya Tanzania kama kweli watanzania wamemchoka Jakaya. Ndiyo inawezekana kabisa kwamba Polisi wangetumika katika kuzima maandamano hayo ndani ya Tanzania lakini ujumbe ungekuwa umefika kwa wahusika. Tanzania ya leo siyo China kwamba hakuna demokrasia kiasi kwamba watu wanashindwa kufanya maandamano, mbona Chadema kila leo wanafanya maandamano?.
 
Walioko ndani ya Tanzania wengi ni mazuzu na akili yao bongolala. Hata kudai haki zao za kimsingi wanaogopa
 
Leta habari za vasco da gama wakuu! Vp mmefikia wapi na maandamano yenu mliyopanga?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom