Maandamano ya nchi nzima

acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?
 
acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?

Vyombo gan? Takukuru hawa? Ile ni kundi mahalum kwaajili ya kupoza mambo ya siri kali we umewai kuona wamemwadhibu nani?
 
acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?

kakojoe ulale! Wacha wakubwa tu-discuss mambo ya muhimu!
Kwani hivyo vyombo vyenye mamlaka husika havijakuwepo cku zote?!
 
watanzania tu wabinafsi mno hawawezi andamana kwa kuwa hawana uelewa au ni wanufaika na huu mfumo.KAMA W ZAMBI MP WA MBOZI KAONGEA KWA HISIA KAPEWA KAJARIBIO KA KUSIGN KUTOKUWA NA IMAN NA PM UMEMWONA ALICHOKIFANYA?je wananchi wa mboz na tz yote ukiwaambia waandamane wataandamana?
 
Haki ya nani sijawahi shiriki maandamano safari hii nitaingia road, wameniumiza wamenigusd
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom