Maandamano ya nchi nzima

acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?

ifanye kazi yake ipi maana ni siku nyingi imeshindwa na kama ikishindwa si vibaya ikisaidiwa na wanananchi kwa kuwashinikiza waachie madara
 
Habari wana Jf
kama kesho kutakuwa hakuna mabadiliko yoyote ktk baraza la mawaziri ,wanainchi tutumie haki yetu kikatiba kuandamana kushinikiza mabadiliko.

Kwanza hata hivyo hii hoja imekuja kwa kuchelewa sana maana hawa watu sasa wametula na kutuacha na mbavu tu,kiukweli nami nipo ndani ya hoja mwli mzima
 
Jukwaa la katiba vipi? Deus K huko wapi? Mama Nkya Activist vp? Mama B-Lion(Bisimba) wapi? Malcus wapi?
 
Ingekuwa Vizuri Vasco Daga akirudi akute watu wanamsubiri kuanzia Airport mpka magogoni
 
acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?

hivyo vyombo vipo wapi na vinafanya kazi gani katika nchi ipi kwa maslahi ya nani?
NB;(
if u cannot change M4C will command u 2 change)
 
INGEKUA CHINA SASA HV TUNGEKUWA TULISHA KUWA HATUNA HAO MAWZIRI NA TAYARI WAMENYONGWA!!!!! BUT NOW MAIGIZO TU,WAPI HOJA YA MADAKTARI YAKUTAKA MWZIRI WA WIZARA YA AFYA WAACHIE NGAZI!!!!! daaaah this country bwana is very poor!!!!!
 
Habari wana Jf
kama kesho kutakuwa hakuna mabadiliko yoyote ktk baraza la mawaziri ,wanainchi tutumie haki yetu kikatiba kuandamana kushinikiza mabadiliko.

Bado bunge lina nafasi nyingine ya kulifanyia kazi, maandamano ni kinyume na taratibu za nchi na ni kukiuka Katiba yetu, Tuheshimu mamlaka zilizopo kama Bunge.
 
INGEKUA CHINA SASA HV TUNGEKUWA TULISHA KUWA HATUNA HAO MAWZIRI NA TAYARI WAMENYONGWA!!!!! BUT NOW MAIGIZO TU,WAPI HOJA YA MADAKTARI YAKUTAKA MWZIRI WA WIZARA YA AFYA WAACHIE NGAZI!!!!! daaaah this country bwana is very poor!!!!!

Ndiyo maana umesema ingekuwa China, inawezekana Katiba yao inaruhusu. Tutoe maoni kwenye katiba mpya ya kuwanyonga watu kama hao, kwa sasa tutakuwa hatuwatendei haki tukiwachukulia hatua ambazo ni kinyume na katiba yetu.
 
acheni serikari ifanye kazi yake, kama kuna rushwa c vyombo vipo vyenye mamlaka hayo?

Unazungumzia serikali gani??? Hii inayotumia takukuru kukamata wezi wa dagaa na kuwaacha akina Mkulo wakinenepa mtaani??? Acha kudiscourage watu, kama hauwezi kaa kando...sisi tunasonga mbele....kesho hadi kieleweke...
 
hivyo vyombo vipo wapi na vinafanya kazi gani katika nchi ipi kwa maslahi ya nani?
NB;(
if u cannot change M4C will command u 2 change)
Mkuu bunge nalo ni chombo au bado hujakubali kazi iliyofanywa na chombo hicho? Tatizo watanzania tunapenda kutoa changamoto kwa mamlaka zetu pale zinapofanyakazi nzuri, kwani kabla ya ZITTO kutoa hoja bungeni tulikuwa wapi kuandamana? Tuache bunge liendelee na juhudi lililozianzisha.
 
We bado unafikiri Laptop tu ndiyo inakufanya ubrowse?
Zipo potable accessories popote unatuma habari!
Tunaingia msituni na habari inafika we vipi Ritz!
Unaunga mkono huku umejificha nyuma ya Laptop wabongo bana.
 
We bado unafikiri Laptop tu ndiyo inakufanya ubrowse?
Zipo potable accessories popote unatuma habari!
Tunaingia msituni na habari inafika we vipi Ritz!
Najua kuna accessories nyingi kuna iPad, kuna Simu kutoka kwa Hu Jintao...ndio mtakuwa mmejificha kwenye hizo accessories?
 
kiukweli hata mimi ntaandamana namchukua wife na machalii wangu woote tunaingia road. inakera inaudhi yani nahisi hata kutapika sababu ya hivi viyuko vya magamba, mi natamani hata kusikia huyu mkwwere kandege atakakopanda kameishiwa mafuta angani.
 
Back
Top Bottom