Maandamano ya CUF na ya CHADEMA!!!!!! Nini tumejifunza watz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya CUF na ya CHADEMA!!!!!! Nini tumejifunza watz?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chidide, Jan 6, 2011.

 1. c

  chidide Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani mpaka sasa watanzania tutakuwa tumejua ukweli kuhusu nani ni mpinzani wa kweli kati ya cdm na cuf.
  Maandamano ya CUF hayakuwa na kibali chochote, but yalifanyika na polisi waliyasindikiza mpaka mwisho wa safari yake. Pamoja na ushirikiano huu wa cuf na polisi but viongozi wake wakuu hawakutaka kushiriki zaidi ya kujificha na kutuma misukule yao.
  Maandamano ya cdm yalikuwa na kibali cha maandishi, cha kushangaza Said Mwema akayaingilia na kuyafuta kwa mdomo, kinachonishangaza ni kwa nini alishindwa kupeleka barua ofisi ya cdm kinondoni but akaweza kuwaita waandishi wa habari ofisini kwake na kuwapa taarifa hiyo. Kipi ni rahisi, kumuita mwanahabari wa mwananchi atoke tabata mpaka mjini au kutuma mtu apeleke barua ofisini kinondoni(CDM)?
  Halafu kwenye maandamano ya CUF ambayo hayakuwa na kibali chochote hata cha kuchonga mbona hatujamsikia Mwema akisema chochote na hakuna aliyeshtakiwa mpaka leo?
  Mwema namuweka kwenye kundi la Wauaji, maana aliuwa wafungwa Mbeya wakati alipokuwa RPC kule miaka ya nyuma.
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM = CUF of course ni katika hali ya simba kumlea swala watamtafuna baadae
   
 3. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wle walipangwa kufanya vile ili,ili polisi walivyofanya kama jana wananchi waone ni kawaida tu,ila wananchi wa sasa sio wale wanaowadhania wakuwadanganya kirahisi,hapa lazima shinikizo liwekwe Mwema ajiuzuru na kufunguliwa mashitaka.....
   
Loading...