Maandamano ya central london vs mwamko wa watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya central london vs mwamko wa watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by howard, Mar 27, 2011.

 1. howard

  howard Senior Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani wanajamii nilikuwa naangalia kwenye skynews reaction za watu mjini london kuhusu "spending cuts" nikawaza na ikaniuma sana nikilinganisha na Tanzanaia yetu hapa:
  1. watu wanaoutufadhili wanapoona kuna jambo ambalo litawaongezea gharama wao za kimaisha na kupoteza kazi huwa wanaongea kwa kwenda barabarani ila Tanzania vingapi vimetokea ninyi wenyewe mnajua watu wanaishia kuongea kwenye TV Kwisha habari yake.
  2. Watanzania lini tutabadilika na kuona kwamba watawala si wenye nchi wenye nchi ni sisi wenyewe wananchi na tunaweza kufanya chochote kwenye nchi yetu mradi hatuvunji sheria na amani na viongozi hawa wanawajibika kwetu si kwa vikundi fulani tu vya mafisadi na ndio maana mpk leo Tanzania viongozi ni viburi mno kwa kuwa hawawajibiki kwetu wanaona nchi ni ya kwao na familia zao na rafiki zao wa karibu. Hii nchi keki ya taifa haigawanywi sawa, inasikitisha na kutia hasira mno.
  3. hasira zangu zinanipelekea kusema ningekuwa nimesomea ukomandoo ningefanya mambo ya ajabu likiwemo kuwamaliza viongozi wote mbofumbofu,watu kama akina rostam nahisi ndio ningeanza nao wale.
  4. Swali linakuja hapa Tanzania mfano kitu kimetokea na serikali imefanya maamuzi kwa faida yao na si ya wananchi, hivi najiuliza kama mnataka kupinga mnaanzaje kuita maandamano?wanajamii niambieni kitu kwenye hili maana wenzetu sijajua ni muiundo mbinu inachangia kama improved technology au miundo mbinu bora huwa wanakuwa faster kweli kwenye reaction utawaona mara hao barabarani, walio nje ya nchi hapa mnaweza kutusaidia.
  Jamani mimi huwa napata hasira sana nikisikia watu wanavyotunyonya ndani ya nchi yetu keki ya taifa wanagawana wachache,nikisoma mwanahalisi na Tanzania daima ya jumatano huwa napagawa kabisa kuna wakati niliacha kusoma nijipunguzie stress. siwazi maisha yangu klwa sasa nawaza maisha ya watoto wetu na wajukuu yatakuwaje 20 years to come kama ccm na serikali yake wataendelea kutuchukulia rasilimali zetu na kugawa kwa wengine wakati na sisi tupo na hatuoni matunda yake. Namkumbuka mwalimu mkuu wa watu huwa anasema watakufa "Vinywa wazi"
  Hili linatoka moyoni kabisa kwa kuwa ni mzalendo ndani ya nchi yangu ila sijivunii viongozi wangu mb** kabisa hawa.
   
 2. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,146
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Wanakuna matumbo badala ya vichwa ili kutuletea maendeleo.
  Ndio maana viongozi wa kiafrika wanaongoza kwa "VITAMBI"kuliko hao "WAFADHILI" wao.
   
 3. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  viongozi wa afrika waliamka wanakuna mapumbu baada ya kichwa ,,,maana yake anawaza atapata mwanamke mzuri na watoto linii tena,,,

  Tatizo la watanzania ni wanakifi tu,,,sis watanzania siasa ndio imetufanya tuwe wanafiki,,kwa sababu munapomuona mtanzania mwenzetu anaongelea kitu kwa maslahi yetu basi munaanza kumchambuua kisiasa na katoka chama ganii,,wakati tunatakiwa tuangalia maslahi yetu kwa wote na nini anaongea,,,siasa ya africa ndio iliyowafanya watu vichwa majiii,,,,

  Ikiwa munataka mulete maendeleo basi kila penye mwanya au problems basi tushikamaneni tuingie uwanjani tulikee sio kuleta usiasa na udini,ndio yaliopo hapa ulaya,,siasa zipo kapuniii,,

  Mfano
  Zanzibar vyama vya siasa vimeungana ili kuweza kumaliza tatizo la kisiasa kwa sababu wananchi wameathirika kisiasa na hii ndio ilichangia kiasi kukubwa maendeleo ya nchii hiyo ya zanzibar kuzorota,,,njia ilyotumia kutumia vyama vya siasa ili kuwa let down wananchi na kuwaondoa uhasama baina yao ,,,mungu ametusaidia hilo tumemaliza,na ndio ukaona sasa watu wanazikana,,,sasa mambo kama haya ni ya jamiii na imeleta hatua kubwa sana.

  LAKINI wenzetu bara,,watanganyika ni chadema wamekja juu,,eti cuf hawana upinzani tena,,,hivi munafurahi sisi tuuwanee ? Wakati watu wanatetea maslahi yaoo ? Na nyie teteeni maslahi yetu,,daini nchi yenuu,,tanganyika ipo mtamfuteni rais wake,,tafuteni bunge lake,,muone ,,,
  munafikiri kazi ndogoo..

  Ikiwa tunataka to move on,,,basi siasa kwanza tuimalize kama walivyoimaliza zanzibar,ilisha tushikamane tuangalie maslahi ya nchi na wananchi kama zanzibar,,tujifunzeni tusiende mbali uk hapa hapa tanzania,,,tujifunzee

  TUACHENI UKIRINDIMBA WA KISIASA,
   
Loading...