Maandamano ya CDM yanayoendelea yamechochewa na bunge kuwa kuhadi wa ufisadi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya CDM yanayoendelea yamechochewa na bunge kuwa kuhadi wa ufisadi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Mar 2, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Katika siku za hivi karibuni, wabunge kwa tiketi ya CCM walikutana chini ya wenyekiti wa JK, katika kile walichoita semina elekezi, ili kuweka mkakati wa kuzima jitihada za CDM za kuhimiza uwajibikaji katika utendaji wa serikali. Mkakati huo ulianza kutekelezwa rasmi katika bunge lililopita ambapo spika siyo tu aliwaruhusu wabunge wa ccm kuwadhalilisha wabunge wenzao wa CDM, bali alihakikisha ya kuwa wabunge hao hawapewi fursa ya kuwasilisha hoja zao kwa uhuru na bila ya kuingiliwa visivyo halali. Kutoka na hali hiyo, CDM hivi sasa imeamua kuwasilisha hoja zao moja kwa moja kwa wananchi. CCM na serikali yake baada ya kuona wamezidiwa kete hivi sasa wanahaha kuona ni kwa njinsi gani watazima moto huo.:decision::blah:
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Yes..ukijua ya huko...mimi najua ya huku!..Jino kwa Jino.
   
 3. CPU

  CPU JF Gold Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Waende basi ma majimboni wakazomee CDM . . .
   
Loading...