Maandamano ya CCM Arusha

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
nimekutana na maandamano ya magari na Toyo mida hii ila wamedorora sana hakuna surport kabisa na watu wanawashangaa tu...
 
Nani ashangilie majizi?. Wezi wanashangiliwa na wezi wenzake.
 
naona wamekodi waendesha Toyo wachache maana wanajua wakiwa wengi wataona cha mtemakuni.
 
yeah..jana walipita kila kona watu kimya...utadhani ilikuwa harusi fulani hivi....
 
walipita kwenye shina moja la chadema kitu walichopewa na hayo maandamano yakaishia hapohapo,kona ya december bar hapo hata Andengenye anapafahamu na vijana wake pia wanapafahamu vizuri,huo upumbavu wa kushangilia wezi Arachuga hakunaga wala hatupendagi na hat hauvumilikagi,
 
Back
Top Bottom