Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,991
- 144,326
Dada yetu yule ametumiwa clip yenye form ambayo itatumika kuoredhesha majina ya madereva wa Bodaboda wa wilya ya fulani katika mkoa fulani watakaokuwa tayari kuandamana kumuunga mkono bwana fulani.
Katika maelezo yalimo kwenye hiyo clip iliyotumwa kwa mwanadada huyo maderava hao wamedai kuahidiwa chochote na wao wanasema watashiriki ili kupata chochote.
Hiyo clip inaonekana kutumwa na vijana hao wa bodaboda ambao ndio wanaonekana kujirekodi.
Tusubiri hiyo Jumamosi kuona kama kweli kutakuwa na hayo maandamano ingawa hawasema ni Jumamosi ipi hasa ila huenda ni hii ya kesho.
My take:
Kama hayao madai ni ya kweli,basi wajue tu watu watakuwa wanaandamana kwasababu ya kitu fulani lakini miyoni mwao wako tofauti kabisa na kwakweli hizi zitakuwa siasa za kishamba sana na zilizokosa ustaarabu.
Nilichogundua ni kuwa hawa mabwana wanafanya kampeni ya makusudi ya kisaikolojia kujaribu kuhamasisha watu wamkubali bwana fulani na si vinginevyo(kampeni za kabla ya wakati).