Maandamano ya Amani- Wafanyakazi wote.

Hili lilipaswa kuanza na wananchama wapya wanaojiunga sasa. Lakini kwa wale wa zamani mkataba wao ulipaswa kuachwa jinsi ulivo, au kuwalipa chao then wajiunge upya kwa mkataba huu mpya wa kusubiri mpaka ukaribie kufa ndio wakupe chako

Ni sheria ya kipumbavu haifai period, sio kwa sasa wala kwa baadae wala juzi.
 
Wakuu Naombeni tujimobilise. Tucta na wengine watakuja baadae.

Mkuu Tucta ipi unayoisema ya huyu Mgaya ambaye alishachukua akili zake akachanganya na za Mbayuwayu
Dhaifu? si unaona alivyo kimya wala hakutuambia wakati hii sheria inaandaliwa,japo na wao waliijadili na
kukubaliana kabla haijaenda Bungeni.Mgaya wa sasa siyo yule,wa sasa hivi ni R.I.P Mgaya.
 
Hivi ninyi wafanyakazi alie waambia mpigie kura ccm ni nani? na Jk alishasema hata msipompigia kura hajali, mnadhani anaweza akajali na maandamano yenu? ni kupoteza wakati bure, jifunzeni next time kufanya chaguo linalolinda maslahi yenu
 
Back
Top Bottom