Maandamano ya amani kupigania taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya amani kupigania taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SOKON 1, Jan 21, 2011.

 1. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Vijana wa chadema wa vyuo vikuu vya Dodoma kesho watakuwa na maandamano ya amani kulaani mauaji ya raia kule Arusha, kupinga kulipwa kwa Dowans na pia kuongezeka gharama za umeme.

  Shughuli nzima itaongozwa na vijana huku wakiwasubiria mpaka jioni hii kujua ni viongozi gani wa juu watakao wapa nguvu baada ya ile kesi kule Arusha kuairishwa.

  Wana JF huu ni mfano mzuri kwa wasomi wa mikoa mingine kuungana kwa pamoja na kutetea taifa letu. Mi nawapongeza kwa hilo.
  PEOPLE'S POWER
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  una maana BAVICHA ...? au kuna chombo kipya cha wanachuo wa CDM kimeanzishwa

  SOURCE
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Source ni muhimu ikawwekwa, otherwise we may jump to conclusion for a blank thread!...huh!
   
 4. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ninamaanisha umoja wao kwa kuunganisha nguvu zao pamoja kutetea taifa kwani uku Dodoma kama unavyoelewa ni ngome ya ccm kwa iyo wakaamua kuamasisha vijana wa uku Dodoma pamoja na wazee kuachana na mawazo mgando ndio maana wakaandaa maandamano apo kesho .
  source: Kutoka kwa viongozi wa chadema mkoa wa Dodoma ambao wengi wao ni wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma.
   
 5. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Sio chama kipya nilikuwa nimekosea ktk kuandika jinsi ulivyomaanisha
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Source???????????
   
 7. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,826
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  It's a good move....nawapongeza sana kwa mpango huu na ninawaombea hayo maandamano yafanikiwe!
   
 8. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Imekuwaje tena chuo cha kata!! Hongereni sana.
   
 9. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #9
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  UDOM au chuo kingine? hivi kumbe UDOM kuna wana mageuzi wa kweli? HONGERA SANA UDOM
   
 10. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana-"Intelijensia" wameafiki?
   
 11. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Go boys go. Tuko pamoja
   
 12. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  ndugu wanajf.
  kesho saa 4 asbh maandamano ya kulaani mauaji ya arusha yatafanyika hapa dodoma.l
  yamepata baraka zote za polisi na yataanzia makao ya chadema mkoa dodoma kuelekea viwanja vya barafu ambapo tamko litasomwa.tamko limezingatia maoni ya wanajf na limeconc kwenye agenda na kudharau kujingiza kwenye mipasho na uvccm.
  bwana ben kigaila dir wa org wa chadema ni mgeni rasmi na teyari ashatua dodoma.lllllll
  tamko nutalipost mara lisomwapooo kwa sababu za kiinteligensia!
  karibuni wote! ila ni ajabu ?na jinsi walalahoi wanavyojitolea kufinance msndalizu!
  kweli ooipoz pawaaaaqw
   
 13. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  gud.
   
 14. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  go vijana goooooooooooo, nyie ndio wa kuikomboa nchi yetu. na muwahamasishe wengi waandamane na kuacha amaswli mengi, imekuwaje ngome ya ccm kunani?
   
 15. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Viva :peace::msela:

  Mungu awabariki na kuwalinda :amen:
   
 16. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0


  Katiba ni SHERIA MAMA ambapo sheria zote za nchi hupatikana na kufanyiwa kazi.

  Wakati sheria za kawaida hutungwa na wawakilishi wa wananchi kwa maana ya Wabunge kule bungeni Dodoma, Katiba ni sheria mama yenye UPEKEE KATIKA JAMII HUSIKA ambapo utungaji wake ni JUKUMU LA RAIA WOTE katika nchi.

  Sasa Ugomvi mkubwa kati ya vyama vya upinzani na Wanaharakati, kwa upande mmoja, dhidi ya CCM ni katika kusema kwamba NI HAKI YA KILA MTANZANIA KUSHIRIKI MOJA KWA MOJA katika kutekeleza wajibu wao kutunga Katiba Mpya.

  Lakini wao CCM wakiongozwa na Mafisadi wao wanasema Rais ANATOSHA KUTUTUNGIA TU KATIBA KWA KUSHIRIKIANA NA LOWASA, CHENGE na akina ROSTAM AZIZI kututungia tu katiba hiyo kupitia KIKUNDI CHA MADALALI WAO KWA JINA LA WATAALAM WALIOBOBEA KWENYE SHERIA.

  Sasa swali hapa ni kwamba; tangu lini Watanzania tukasikia KIKUNDI CHA Mi-FISI wakatunga sheria murua ya kulinda maslahi ya SWALA jangwani???

  UWEZO TUNAO, haki hapewi mtu bali ni kwamba haki hufuatwa na kuchukuliwa. Kazi inaendelea kila kona ya nchi kwa watu tunaojali maslahi ya taifa letu. Hakuna kulala!!!
   
 17. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wameafiki na yataanza saa nne asubuhi mpaka viwanja vya jamuhuri
   
 18. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #18
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wazalendo mliopo Dodoma,
  hongereni sana, hii ni move muhimu katika kuamsha moyo wa kizalendo ili kuikomboa nchi yetu kutoka chama cha mafisadi
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  tatizo ni kuwa kulaani pekee yake hakutoshi...........................................kinachotakiwa kufanyika ni kulishinikiza Bunge limfute kazi JK.........vinginevyo atabuni ufisadi mwingine.....................na mwingine..............................................na mwingine...................
   
 20. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,826
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Tujuzeni basi yanayojiri huko,au uzushi?
   
Loading...