Maandamano US ni matokeo ya ukata uliosababishwa na COVID19

inspectorbenja

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
495
417
Nimejaribu kufuatilia hali inavyoendelea huko ughaibuni U.S, mfululizo wa maandamano watu wakipinga mfululizo wa mauaji ya polisi dhidi ya watu weusi. Lakini maandamano haya yamechukua sura mpya baada ya waandamaji kuwa wanavamia biashara, majengo, magari, kuchoma moto na kufanya uporaji.

Kitu ninachokiona uporaji umeshamiri sana, nimegundua watu wana hali ngumu sana kutoka na lockdown. Hivyo wanatumia mwanya wa maandamano kupora ili kupata ahueni ya maisha.
 
maandamano yaliosababishwa na mauaji yakibaguzi yatafichua mengi sana
-Njaa Us Ipo yakutosha kabisa japokua pia maendeleo yao yapojuu sana jamaa tatizo lao wabinafsi wanamfumo wahovyo hovyo sana matajiri naweupe(WAZUNGU) ndio wanaonekana wamaana kuliko watu wengine
-Jamaa wanahaki yakudai haki zao maana wamenyanyaswa wananyanyaswa nawashanyanyaswa vyakutosha mpaka imekua toomuch sasa
-maandamano yadumu walau miezi minne ili tupate kuelewa kama kweli wanademokrasia wanayoipigia chapuo ama wanapiga kelele tu wakiongozwa na media zao nazamajirani zao !


Us ubaguzi utawagharimu sana hata kama sio safari hii maana watu weusi nawengine wanao baguliwa kutokea kule ASIA itafikia kipindi watasema inatosha hapa ndio tutaelewana nahisi.....
 
Back
Top Bottom