Maandamano udsm-video | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano udsm-video

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kitungi, Feb 4, 2011.

 1. kitungi

  kitungi Senior Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. kitungi

  kitungi Senior Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hapo utapata habazi za kitaifa(itv) !
   
 3. kitungi

  kitungi Senior Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  nimesikia kesho kutakuwa na kongamano litakalo onyeshwa ITV, litakuwepo saa ngapi?
   
 4. c

  cray Senior Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 172
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  lmeahirishwa, wanadai hali pale chuo kikuu si nzuri, wanasubiri mpaka hali itaporejea kwenye hali yake ya kawaida kisha watatujuza mkuu. lakini kingine ninachoona ITV na Channel ten hawajaonyesha tukio hilo la maandamano ya wanafunzi chuo kikuu, ila wametoa tu tamko bila kulionyesha katika taarifa yao. Nini kinaendelea hapa ITV na Channel 10?, mbona nilikuwa nawaamini sana hawa jamaa?


   
 5. kitungi

  kitungi Senior Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nadhani ni uchakachuaji wa Taarifa kamili si unaona issue ya Tunisia na Egypt?
   
 6. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #6
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ni lini serekalia yetu itaelewa hitaji la wanafunzi??
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Mpama cku mtakapo kwenda ikulu mkiwa uchi. Mkwere ni sharobaro mwanzo mwisho!
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  ahhaahha!! manjui anadai tsh 1???????????????????
   
Loading...