MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,415
- 4,881
+ the lunatics heading our nation"Eti" is a correct word to be used to address the self declared dustbin professor.
+ the lunatics heading our nation"Eti" is a correct word to be used to address the self declared dustbin professor.
Afya ya akili inaonekana haipo sawa.Hoja inapotolewa na mtoa hoja muokota makopo lazima tumzungumzie. BTW mimi ni mkulima na siyo Prof. Hakuna kitu kama mtu ''kujitahidi'' kufanya ujinga duniani na hatuwezi kupongeza eti fulani ''kajitahidi'' kufanya ujinga! Hili ni ajabu jingine linalopatikana kwa ''vichwa nyumbu'' tu!
unaitetea kwan wewe ni Mtetea?Ndiyo nilikuwepo kuitetea nchi yangu! Uliza kingine?
Mbali na uduni wa elimu kwenye ukanda wetu huwezi kuta watu wameandamana kuelekea wizara ya elimu kwa kudanganywa elimu bure.Jamani msiliangalie hill tukio kisiasa tu hili inaonyesha elimu duni tulionayo watanzania uwezo wetu wakuelewa mambo ni mdogo sana.sasa imefika wanaoshika uongozi hasa katika siasa wanaelimu duni au exposure zero,na wajanja wachache ndani ya vyama wanawapromote haraharaka ilikuwatumia kisiasa wewe ukionyesha weredi hawataki kukuona kabisa.Tunakokwenda tutahadhirika zaidi
Hoja inapotolewa na mtoa hoja muokota makopo lazima tumzungumzie. BTW mimi ni mkulima na siyo Prof. Hakuna kitu kama mtu ''kujitahidi'' kufanya ujinga duniani na hatuwezi kupongeza eti fulani ''kajitahidi'' kufanya ujinga! Hili ni ajabu jingine linalopatikana kwa ''vichwa nyumbu'' tu!
Ndiyo nilikuwepo kuitetea nchi yangu! Uliza kingine?
Mlikuwepo na hamkuandamana! Au kwenu uzalendo ni kwenye vitu tu na uhai Wa wenzenu hauna maana? Au SA hawakuwa na ubalozi nchini? Ifiche hii aibu basi angalau usiwe na akili Kama za musiba!Haya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
Wanasubiri order toka Magogoni waseme nini.Hivi nani aliyetoa kibali cha CCM kuandamana kwenda kudai Ndege "yao" Ubalozi wa S.A?, Kama lengo ni kuandamana kisheria na kikatiba basi wangeandamana kwenda wizara ya katiba na sheria kudai haki za kikatiba za kisiasa, kutoa maoni, na utawala wa sheria uliosababisha ndege hiyo kukamatwa kwakutolipa madeni ya watu?
Tumeamua kulidhalilisha taifa letu mbele ya uso wa dunia kiasi hiki kweli? Yaani dunia sasa inaona live kwa Tanzania na watanzania hawataki utawala wa sheria (kuheshimu mahakama) na sasa tunadai ndege kama pombe za ngomani?
Kama kuna mtu anayewalisha ujinga hawa waandamanaji kuwa ndege itaachiwa kwa maandamano basi analichafua zaidi taifa letu, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Polisi Kanda, na vyombo vingine vya kiusalama, taifa letu ni muhimu kuliko hizi siasa nyepesi zinazofanyika hapa. Pelekeni wanasheria Afrika Kusini sio kuwajaza kwenye kesi za kisiasa Kisutu na Mahakama Kuu tu.
Tuheshimu utawala wa sheria kuepuka aibu hizi kwa taifa letu, Ubabe na ujuaji unaishia kwenye mipaka ya taifa letu tu, nje ya mipaka yetu hauna nafasi, sheria za kimataifa ziheshimiwe.
Kwamsio jua naomba niwafahamishe, hili tukio la leo kuvamia ubalozi huku polisi wakiwa mita 300 na Wizara ya Mambo ya Nje ikiwa across the st. ni serious diplomatic mess ever done tangu uhuru.
Serikali ina jukumu kwa mkataba wa Vienna kulinda mali na wanadiplomasia wote. Yaani hata Polisi haruhusiwi kukaribia geti la ubalozi wowote ule. Hata pale Mozambiq Tanzania Center for Foreign Relations ni no Go area.
Kitendo cha leo ni aibu na fedheha kubwa kwa diplomasia yetu. Yaani Waziri wa Mashauri ya Kigeni Kabudi ana hali mbaya sana. No One will take Tanzania diplomacy serious anymore. Its a blow and serious diplomats know about this. Yaani diplomats are not safe anymore.
Yaani hata kwenye facility za UN hapa Tanzania na kwingineko wale polisi wanaotoa ulinzi hawana access na zaidi ya geti kuu la kuingilia na labda tu kwenda chooni. Its very sensitive issue na RSA wont take that ni wananchi tu eti wameamua kuandamana.
Hao waandamanaji ukiwaangalia hata ndege hawajui mlango uko upande wa kulia au kushoto. Na its shocking hakuna any statement from Foreign Affairs maana the current set up is lacking experience on these issues! Diplomats wanaheshimu statements from Foreign Affairs tu!
Yale maambiko waliomfanyia nyerere ndiyo wametutia ujinga hivi.mishara kwawana sisa ipunguzwe tuongeze mishahara kwa professionals hii mishahara na marupurupu kwa wanasisa inawatia uchizi watu wanatupa degree na kutumikia ujingaTanzania ni Taifa la waliologwa! Ajabu ni kwamba hata Maprofesa wakipewa Ugali wanaanza kujidhalilisha kwa kusema Wameokotwa Jalalani.
MUOKOTA MAKOPO KAZI HALALI KBSHaya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
Itakuwa walitumwa na ANC,Haya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
Uvccm ni vilaza kabsa ssasa kwani Serikali ya Africa kusini ndio imezuia hiyo ndege hadi waende ubalozini ?Una la kuongeza? Mkiambiwa mafisiem ni wapumbavu mnarusha risasiView attachment 1192471