Maandamano Ubalozini: It’s shocking hakuna any statement from Foreign Affairs? Tumeamua kuingia mgogoro wa Kidiplomasia?

Hivi nani aliyetoa kibali cha CCM kuandamana kwenda kudai Ndege "yao" Ubalozi wa S.A?, Kama lengo ni kuandamana kisheria na kikatiba basi wangeandamana kwenda wizara ya katiba na sheria kudai haki za kikatiba za kisiasa, kutoa maoni, na utawala wa sheria uliosababisha ndege hiyo kukamatwa kwakutolipa madeni ya watu?

Tumeamua kulidhalilisha taifa letu mbele ya uso wa dunia kiasi hiki kweli? Yaani dunia sasa inaona live kwa Tanzania na watanzania hawataki utawala wa sheria (kuheshimu mahakama) na sasa tunadai ndege kama pombe za ngomani?

Kama kuna mtu anayewalisha ujinga hawa waandamanaji kuwa ndege itaachiwa kwa maandamano basi analichafua zaidi taifa letu, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Polisi Kanda, na vyombo vingine vya kiusalama, taifa letu ni muhimu kuliko hizi siasa nyepesi zinazofanyika hapa. Pelekeni wanasheria Afrika Kusini sio kuwajaza kwenye kesi za kisiasa Kisutu na Mahakama Kuu tu.

Tuheshimu utawala wa sheria kuepuka aibu hizi kwa taifa letu, Ubabe na ujuaji unaishia kwenye mipaka ya taifa letu tu, nje ya mipaka yetu hauna nafasi, sheria za kimataifa ziheshimiwe.

Kwamsio jua naomba niwafahamishe, hili tukio la leo kuvamia ubalozi huku polisi wakiwa mita 300 na Wizara ya Mambo ya Nje ikiwa across the st. ni serious diplomatic mess ever done tangu uhuru.

Serikali ina jukumu kwa mkataba wa Vienna kulinda mali na wanadiplomasia wote. Yaani hata Polisi haruhusiwi kukaribia geti la ubalozi wowote ule. Hata pale Mozambiq Tanzania Center for Foreign Relations ni no Go area.

Kitendo cha leo ni aibu na fedheha kubwa kwa diplomasia yetu. Yaani Waziri wa Mashauri ya Kigeni Kabudi ana hali mbaya sana. No One will take Tanzania diplomacy serious anymore. Its a blow and serious diplomats know about this. Yaani diplomats are not safe anymore.

Yaani hata kwenye facility za UN hapa Tanzania na kwingineko wale polisi wanaotoa ulinzi hawana access na zaidi ya geti kuu la kuingilia na labda tu kwenda chooni. Its very sensitive issue na RSA wont take that ni wananchi tu eti wameamua kuandamana.

Hao waandamanaji ukiwaangalia hata ndege hawajui mlango uko upande wa kulia au kushoto. Na its shocking hakuna any statement from Foreign Affairs maana the current set up is lacking experience on these issues! Diplomats wanaheshimu statements from Foreign Affairs tu!
We are used to take things for granted even for burning issues. as Nation we have displayed a bad image there fore the government has to refute on this as soon as possible
 
Tulia wewe kama hujuwi basi Sema uwambiwe. Wewe unafikiri mpango wakukamata ndege yetu haukupangwa? Hujuma hujibiwa kwa Hujuma just subiri tu inaonyesha taifa hili lina wasaliti. Wala sio watanzania nilifikiri ungekaa japo kimya kutunza heshima yako ila hata wewe Yeriko?
 
Tumeamua kulidhalilisha taifa letu mbele ya uso wa dunia kiasi hiki kweli? Yaani dunia sasa inaona live kwa Tanzania na watanzania hawataki utawala wa sheria (kuheshimu mahakama) na sasa tunadai ndege kama pombe za ngomani?
 
Jamani msiliangalie hill tukio kisiasa tu hili inaonyesha elimu duni tulionayo watanzania uwezo wetu wakuelewa mambo ni mdogo sana.sasa imefika wanaoshika uongozi hasa katika siasa wanaelimu duni au exposure zero,na wajanja wachache ndani ya vyama wanawapromote haraharaka ilikuwatumia kisiasa wewe ukionyesha weredi hawataki kukuona kabisa.Tunakokwenda tutahadhirika zaidi
 
Hivi nani aliyetoa kibali cha CCM kuandamana kwenda kudai Ndege "yao" Ubalozi wa S.A?, Kama lengo ni kuandamana kisheria na kikatiba basi wangeandamana kwenda wizara ya katiba na sheria kudai haki za kikatiba za kisiasa, kutoa maoni, na utawala wa sheria uliosababisha ndege hiyo kukamatwa kwakutolipa madeni ya watu?

Tumeamua kulidhalilisha taifa letu mbele ya uso wa dunia kiasi hiki kweli? Yaani dunia sasa inaona live kwa Tanzania na watanzania hawataki utawala wa sheria (kuheshimu mahakama) na sasa tunadai ndege kama pombe za ngomani?

Kama kuna mtu anayewalisha ujinga hawa waandamanaji kuwa ndege itaachiwa kwa maandamano basi analichafua zaidi taifa letu, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Polisi Kanda, na vyombo vingine vya kiusalama, taifa letu ni muhimu kuliko hizi siasa nyepesi zinazofanyika hapa. Pelekeni wanasheria Afrika Kusini sio kuwajaza kwenye kesi za kisiasa Kisutu na Mahakama Kuu tu.

Tuheshimu utawala wa sheria kuepuka aibu hizi kwa taifa letu, Ubabe na ujuaji unaishia kwenye mipaka ya taifa letu tu, nje ya mipaka yetu hauna nafasi, sheria za kimataifa ziheshimiwe.

Kwamsio jua naomba niwafahamishe, hili tukio la leo kuvamia ubalozi huku polisi wakiwa mita 300 na Wizara ya Mambo ya Nje ikiwa across the st. ni serious diplomatic mess ever done tangu uhuru.

Serikali ina jukumu kwa mkataba wa Vienna kulinda mali na wanadiplomasia wote. Yaani hata Polisi haruhusiwi kukaribia geti la ubalozi wowote ule. Hata pale Mozambiq Tanzania Center for Foreign Relations ni no Go area.

Kitendo cha leo ni aibu na fedheha kubwa kwa diplomasia yetu. Yaani Waziri wa Mashauri ya Kigeni Kabudi ana hali mbaya sana. No One will take Tanzania diplomacy serious anymore. Its a blow and serious diplomats know about this. Yaani diplomats are not safe anymore.

Yaani hata kwenye facility za UN hapa Tanzania na kwingineko wale polisi wanaotoa ulinzi hawana access na zaidi ya geti kuu la kuingilia na labda tu kwenda chooni. Its very sensitive issue na RSA wont take that ni wananchi tu eti wameamua kuandamana.

Hao waandamanaji ukiwaangalia hata ndege hawajui mlango uko upande wa kulia au kushoto. Na its shocking hakuna any statement from Foreign Affairs maana the current set up is lacking experience on these issues! Diplomats wanaheshimu statements from Foreign Affairs tu!

Watu wanachukulia hili jambo kimzaamzaa tu kama vile policcm wanavyovamia ofisi za CHADEMA. Hawajui kuwa ubalozi ni nchi, na hii inamaana watanzania wamevamia na kuleta vurugu katika nchi ya S.A.
Sasa ili kuleta maelewano, viongozi/mawaziri na mabalozi husika inabidi wakae wazungumzie hili jambo.

Ili ujue hawatambui hili tatizo, mpaka sasa waziri wa mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa hajatoa kauli yeyote.
 
Haya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
Unamshangaa huyo ??

Sio unaopenda bongo maana hata jamaa yenu mkubwa ni kichaaa na mnamshangilia ...
 
Tukio lolote lile la kimkakati linapaswa kuandaliwa na akili kubwa. Ni lazima waweze ku "assess the impacts" kwanza. Siyo kwenda kichwa kichwa tu, kutiana aibu kidiplomasia. Kwa yanayoendelea ktk matukio yaliyojiri hivi karibuni, ni dhahiri kabisa hakukuwa na "succession plan" ktk kukabidhiana vitengo. Wazee wamestaafu na ujuzi na uzeefu wai, huku vijana wenye mamlaka wakiwa wana "practice" kwa ku "cut & paste" ktk Wikipedia ama simulizi za vijiweni. You can even guess, who was behind this business.
 
Jamani msiliangalie hill tukio kisiasa tu hili inaonyesha elimu duni tulionayo watanzania uwezo wetu wakuelewa mambo ni mdogo sana.sasa imefika wanaoshika uongozi hasa katika siasa wanaelimu duni au exposure zero,na wajanja wachache ndani ya vyama wanawapromote haraharaka ilikuwatumia kisiasa wewe ukionyesha weredi hawataki kukuona kabisa.Tunakokwenda tutahadhirika zaidi
Tanzania ni Taifa la waliologwa! Ajabu ni kwamba hata Maprofesa wakipewa Ugali wanaanza kujidhalilisha kwa kusema Wameokotwa Jalalani.
 
Haya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
Walikuwa wanavamia balozi za nchi nyingine kwa maandamano na kuua raia wao au walikuwa wanawaua mtaani ?

Unafahamu kuvamia ubalozi ni sawa na unavamia nchi yenye ubalozi huo ?

Mngepigwa risasi leo mngemlaumu nani ?
 
Hivi nani aliyetoa kibali cha CCM kuandamana kwenda kudai Ndege "yao" Ubalozi wa S.A?, Kama lengo ni kuandamana kisheria na kikatiba basi wangeandamana kwenda wizara ya katiba na sheria kudai haki za kikatiba za kisiasa, kutoa maoni, na utawala wa sheria uliosababisha ndege hiyo kukamatwa kwakutolipa madeni ya watu?

Tumeamua kulidhalilisha taifa letu mbele ya uso wa dunia kiasi hiki kweli? Yaani dunia sasa inaona live kwa Tanzania na watanzania hawataki utawala wa sheria (kuheshimu mahakama) na sasa tunadai ndege kama pombe za ngomani?

Kama kuna mtu anayewalisha ujinga hawa waandamanaji kuwa ndege itaachiwa kwa maandamano basi analichafua zaidi taifa letu, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Polisi Kanda, na vyombo vingine vya kiusalama, taifa letu ni muhimu kuliko hizi siasa nyepesi zinazofanyika hapa. Pelekeni wanasheria Afrika Kusini sio kuwajaza kwenye kesi za kisiasa Kisutu na Mahakama Kuu tu.

Tuheshimu utawala wa sheria kuepuka aibu hizi kwa taifa letu, Ubabe na ujuaji unaishia kwenye mipaka ya taifa letu tu, nje ya mipaka yetu hauna nafasi, sheria za kimataifa ziheshimiwe.

Kwamsio jua naomba niwafahamishe, hili tukio la leo kuvamia ubalozi huku polisi wakiwa mita 300 na Wizara ya Mambo ya Nje ikiwa across the st. ni serious diplomatic mess ever done tangu uhuru.

Serikali ina jukumu kwa mkataba wa Vienna kulinda mali na wanadiplomasia wote. Yaani hata Polisi haruhusiwi kukaribia geti la ubalozi wowote ule. Hata pale Mozambiq Tanzania Center for Foreign Relations ni no Go area.

Kitendo cha leo ni aibu na fedheha kubwa kwa diplomasia yetu. Yaani Waziri wa Mashauri ya Kigeni Kabudi ana hali mbaya sana. No One will take Tanzania diplomacy serious anymore. Its a blow and serious diplomats know about this. Yaani diplomats are not safe anymore.

Yaani hata kwenye facility za UN hapa Tanzania na kwingineko wale polisi wanaotoa ulinzi hawana access na zaidi ya geti kuu la kuingilia na labda tu kwenda chooni. Its very sensitive issue na RSA wont take that ni wananchi tu eti wameamua kuandamana.

Hao waandamanaji ukiwaangalia hata ndege hawajui mlango uko upande wa kulia au kushoto. Na its shocking hakuna any statement from Foreign Affairs maana the current set up is lacking experience on these issues! Diplomats wanaheshimu statements from Foreign Affairs tu!
Zero brain Bashite ndo mtengenezaji wa propaganda awamu hii, ndio thinktank, yyte akitaka achomolewa betr kiranja mkuu anaweka sahihi.
 
Haya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
Senseless song,hata aìbu huna kututolea ushuzi wako hadharan?Stop advertising your foolishness
 
Hao walevi wa kimpumu na kibuku mbona hawakwenda ubarozi wa Canada kudai ile ingine? Na ni bora kwanza hata zipo hizo properties zinarandaranda huko wanazikwapua.

Serikali isipolipa madeni ya watu, au isipotumia ustaraabu na kuwamanage wanaotudai ipo siku magufuri atajichanganya kwenda hata hapo Kenya tu na watamkamata kwa amri ya mahakama mpaka tulipe madeni ya watu.
Hilo analijua ndiyo maana kachimbia kichwa kama mbuni.
 
Hapo kuna maelfu nje ya balozi ya US tena na polisi wamewasindikiza.

Mie naona aliendaa maandamano ni shujaa sema akuyaratibu vizuri tu.
 
Back
Top Bottom