Maandamano Ubalozini: It’s shocking hakuna any statement from Foreign Affairs? Tumeamua kuingia mgogoro wa Kidiplomasia?

Tulia wewe kama hujuwi basi Sema uwambiwe. Wewe unafikiri mpango wakukamata ndege yetu haukupangwa? Hujuma hujibiwa kwa Hujuma just subiri tu inaonyesha taifa hili lina wasaliti. Wala sio watanzania nilifikiri ungekaa japo kimya kutunza heshima yako ila hata wewe Yeriko?
Dawa ya deni kulipa hayo madege yatakamatwa had I mtakapomaliza lipa Madeni na mtakapobadili Tabia ya ubabe hadi hekima msaidieni jiwe kimawazo kwani anapenda sifa matokeo yake aibu kuu na fedheha
 
Yaani huyu jasusi wa kigamboni bana
Tumeshindwa kuingia mgogoro wa kidiplomasia baada ya ile joint statement ya uk na us..leo kuandamana tu tena ubalozi wa SA. Ye tu aseme anafurahia ndege kukamatwa
Haya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
 
Heeeee makubwa kudhalilisha kkwa kipi hasa kwa kipi hasa. Na hawakusema ukweli tyhe way we suffered kwa ajili yao?!?!? Hamna udhalilishaji wowote. I wish Ml. Nyerere angekuwepo aliyetufundisha umaskini jeuri . Kuogopa ogo[pa kwa nini ?!?!?! If I was in DSM for sure ningeandamana. Au maanadamano ya kumpokea Lisu ndioyo ya ujasiri?!??!?
 
RsA hawatochukua hatua yoyote ile kwenye ilo swala, inshort hawawezi react kwa ilo, linapokuja swala kama hili kwa mtu alielipitia anajua kama ni drafti hatuna pa kutokea,tuombe tu huko ufanyike wepesi waingie makubaliano mazuri yenye unafuu kwa kila mmoja, ikiwamo mwenye kesi asizidi kutupa hasara zaidi ya iyo ndege yetu kuwa benchi
 
Hivi nani aliyetoa kibali cha CCM kuandamana kwenda kudai Ndege "yao" Ubalozi wa S.A?, Kama lengo ni kuandamana kisheria na kikatiba basi wangeandamana kwenda wizara ya katiba na sheria kudai haki za kikatiba za kisiasa, kutoa maoni, na utawala wa sheria uliosababisha ndege hiyo kukamatwa kwakutolipa madeni ya watu?

Tumeamua kulidhalilisha taifa letu mbele ya uso wa dunia kiasi hiki kweli? Yaani dunia sasa inaona live kwa Tanzania na watanzania hawataki utawala wa sheria (kuheshimu mahakama) na sasa tunadai ndege kama pombe za ngomani?

Kama kuna mtu anayewalisha ujinga hawa waandamanaji kuwa ndege itaachiwa kwa maandamano basi analichafua zaidi taifa letu, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Polisi Kanda, na vyombo vingine vya kiusalama, taifa letu ni muhimu kuliko hizi siasa nyepesi zinazofanyika hapa. Pelekeni wanasheria Afrika Kusini sio kuwajaza kwenye kesi za kisiasa Kisutu na Mahakama Kuu tu.

Tuheshimu utawala wa sheria kuepuka aibu hizi kwa taifa letu, Ubabe na ujuaji unaishia kwenye mipaka ya taifa letu tu, nje ya mipaka yetu hauna nafasi, sheria za kimataifa ziheshimiwe.

Kwamsio jua naomba niwafahamishe, hili tukio la leo kuvamia ubalozi huku polisi wakiwa mita 300 na Wizara ya Mambo ya Nje ikiwa across the st. ni serious diplomatic mess ever done tangu uhuru.

Serikali ina jukumu kwa mkataba wa Vienna kulinda mali na wanadiplomasia wote. Yaani hata Polisi haruhusiwi kukaribia geti la ubalozi wowote ule. Hata pale Mozambiq Tanzania Center for Foreign Relations ni no Go area.

Kitendo cha leo ni aibu na fedheha kubwa kwa diplomasia yetu. Yaani Waziri wa Mashauri ya Kigeni Kabudi ana hali mbaya sana. No One will take Tanzania diplomacy serious anymore. Its a blow and serious diplomats know about this. Yaani diplomats are not safe anymore.

Yaani hata kwenye facility za UN hapa Tanzania na kwingineko wale polisi wanaotoa ulinzi hawana access na zaidi ya geti kuu la kuingilia na labda tu kwenda chooni. Its very sensitive issue na RSA wont take that ni wananchi tu eti wameamua kuandamana.

Hao waandamanaji ukiwaangalia hata ndege hawajui mlango uko upande wa kulia au kushoto. Na its shocking hakuna any statement from Foreign Affairs maana the current set up is lacking experience on these issues! Diplomats wanaheshimu statements from Foreign Affairs tu!
View attachment 1192603
Wee mpumbavu kaa kimya.
Mwaka 2017 wasouth africa waliandamana ubalozi wa Tanzania pale Pretoria, uhusiano ulivunjika? Toa ujinga wako hapa peleka kijijini kwenu huko Sitimbi
 
Wewe andamana huko kwenye wizara ya katiba na sheria.....hujazuiawa.
 
Back
Top Bottom