Wananchi sumbuwanga mjini wanaandaa mandamano ya kumulaan Mbunge wao kwa Matumizi ya Silaha Igunda.Wanapanga kuandamana Leo
Uzinzi kwenda mbeleduh, kuna % ya ukweli kwenye hayo uliyoyoandika mkuu, ila nashangaa saa nane za usiku mbunge wa kiume na mbunge wa viti maalum mpo wapi? baa, gest, mkutano wa dharura au kwenye kampeni? watu wanatafakari mustakabari wa nchi nyie bado mnazurura igunga?
aisee hii ni nomaaa....
Hivi kweli na nyinyi watu wa Sumbawanga yaani bado mnajisifia kwamba mna Mbunge!!!???. Kwanini msifanye maamuzi magumu. Kwenye hayo maandamano amueni moja, fuateni utaratibu kisha mpeleke barua kwa Spika wa Bunge kuhusu maamuzi yenu magumu pia kwenye tume ya uchaguzi.Source! Mimi niko Sumbawanga shz. Hata hivyo, huyo mbunge mbona kilaza tu fisadi mkubwa, mimi nimesoma naye primary Jangwani akafeli darasa la saba ila baba yake mzee Hilaly alifanya mambo yake akafanikiwa kumwingiza huyo Aishi na dada yake anaitwa Jamila Mazwi sekondari 1990, jamaa alikuwa boya hasa, mwaka 1992 huyo Aishi alifukuzwa na wenzake 7 yeye alikuwa mfadhiri wa hao waliofukuzwa nao, kilikuwa ni kikundi cha wabakaji, walevi na wavuta bangi, wenzake wote waliendelea na shule za binafsi na kwa sababu tu ya ukilaza wake ndo maana hata baba yake hakuangaika kumpeleka tena shule yoyote hata dada yake aliambulia zero fomu 4, baada ya kufukuzwa shule aliendeleza uchafu wake, mfanyabiashara maarufu hapa Sumbawanga Said Bus aliamua kumtumia katika biashara ya kuvusha sukari toka Zambia kuleta Tanzania, na kwa kiasi kikubwa biashara aliyokuwaakifanya ni magendo, ni kipindi hicho kwa magendo hayo akajipatia vijisenti vya kifisadi, mwaka 2007 akajiingiza CCM na kwakuwa viongozi wa CCm wilaya ya Sumbawanga akina mzee Kabanga, Tung'ombe, mama Maufi na Matete nao njaa kali wakampamba na kumwandalia mazingiara ya kugombea ubunge kwani aliwajaza mapesa ya kifisadi wakajaa wakalewa hadi wakasaliti imani yao ya dini, hadi walishafungiwa kusali.Azima yao ilitimia na kuhakikisha anapita ubunge na hatimaye mtoto wa mkulima aliingiza kwenye mkumbo akatumia kura ya veto, habari toka watu wa uhakika mtoto wa mkulima alishiriki uchakachukuzi wa matokeo ya sumbawanga mjini.Zaidi ya yote Aishi anatuhuma nzito za udhalilishaji na ubakaji, uwezo wa kujenga hoja hana, elimu ndo hivyo tena, anachokifanya ni kutumia umasikini wa wanasumbuanga kwa kugawa vijisent vidogo vidogo na viunifomu vya magamba! Kwa hiyo sishangai kwenda Igunga kufanya vituko vya kijinga, ni kilaza namba one!
duh, kuna % ya ukweli kwenye hayo uliyoyoandika mkuu, ila nashangaa saa nane za usiku mbunge wa kiume na mbunge wa viti maalum mpo wapi? baa, gest, mkutano wa dharura au kwenye kampeni? watu wanatafakari mustakabari wa nchi nyie bado mnazurura igunga?
aisee hii ni nomaaa....
wangekua werevu wsingechagua jambaziheko Wananchi werevu huyo ni jambazi wa CCM
sasa ilikuaje mkamchagua huku mkijua yote hayo kama sio ukilaza na umbumbumbu wenu?............. inaonyesha watu wa huko vilaza kuliko mbunge waoSource! Mimi niko Sumbawanga shz. Hata hivyo, huyo mbunge mbona kilaza tu fisadi mkubwa, mimi nimesoma naye primary Jangwani akafeli darasa la saba ila baba yake mzee Hilaly alifanya mambo yake akafanikiwa kumwingiza huyo Aishi na dada yake anaitwa Jamila Mazwi sekondari 1990, jamaa alikuwa boya hasa, mwaka 1992 huyo Aishi alifukuzwa na wenzake 7 yeye alikuwa mfadhiri wa hao waliofukuzwa nao, kilikuwa ni kikundi cha wabakaji, walevi na wavuta bangi, wenzake wote waliendelea na shule za binafsi na kwa sababu tu ya ukilaza wake ndo maana hata baba yake hakuangaika kumpeleka tena shule yoyote hata dada yake aliambulia zero fomu 4, baada ya kufukuzwa shule aliendeleza uchafu wake, mfanyabiashara maarufu hapa Sumbawanga Said Bus aliamua kumtumia katika biashara ya kuvusha sukari toka Zambia kuleta Tanzania, na kwa kiasi kikubwa biashara aliyokuwaakifanya ni magendo, ni kipindi hicho kwa magendo hayo akajipatia vijisenti vya kifisadi, mwaka 2007 akajiingiza CCM na kwakuwa viongozi wa CCm wilaya ya Sumbawanga akina mzee Kabanga, Tung'ombe, mama Maufi na Matete nao njaa kali wakampamba na kumwandalia mazingiara ya kugombea ubunge kwani aliwajaza mapesa ya kifisadi wakajaa wakalewa hadi wakasaliti imani yao ya dini, hadi walishafungiwa kusali.Azima yao ilitimia na kuhakikisha anapita ubunge na hatimaye mtoto wa mkulima aliingiza kwenye mkumbo akatumia kura ya veto, habari toka watu wa uhakika mtoto wa mkulima alishiriki uchakachukuzi wa matokeo ya sumbawanga mjini.Zaidi ya yote Aishi anatuhuma nzito za udhalilishaji na ubakaji, uwezo wa kujenga hoja hana, elimu ndo hivyo tena, anachokifanya ni kutumia umasikini wa wanasumbuanga kwa kugawa vijisent vidogo vidogo na viunifomu vya magamba! Kwa hiyo sishangai kwenda Igunga kufanya vituko vya kijinga, ni kilaza namba one!
sasa ilikuaje mkamchagua huku mkijua yote hayo kama sio ukilaza na umbumbumbu wenu?............. inaonyesha watu wa huko vilaza kuliko mbunge wao
aisee
MTM heshima mkuu! Si vyema kuwatukana wananchi wa Sumbawanga, heri uulize kilichotokea. Huyo Aeshi hakushinda kwa kura hata kidogo, watu walijumlisha kura kituo hadi kituo na CHADEMA ilishinda kwa tofauti ya kura 100. Pinda aliiitisha kikao na msimamizi wa uchaguzi na akamuamuru achakachue, jambo hilo liliwaudhi watu wengi hadi mzee Mzindakaya akataka amkunje Pinda. Hakuna aliyemtaka huyu jamaa. Usiwatukane watu wa Sumbawanga, walitimiza wajibu wao, wakachagua headmaster (kutoka CHADEMA) aliyemfukuza shule Aeshi miaka ya nyuma!sasa ilikuaje mkamchagua huku mkijua yote hayo kama sio ukilaza na umbumbumbu wenu?............. inaonyesha watu wa huko vilaza kuliko mbunge wao
aisee
MTM heshima mkuu! Si vyema kuwatukana wananchi wa Sumbawanga, heri uulize kilichotokea. Huyo Aeshi hakushinda kwa kura hata kidogo, watu walijumlisha kura kituo hadi kituo na CHADEMA ilishinda kwa tofauti ya kura 100. Pinda aliiitisha kikao na msimamizi wa uchaguzi na akamuamuru achakachue, jambo hilo liliwaudhi watu wengi hadi mzee Mzindakaya akataka amkunje Pinda. Hakuna aliyemtaka huyu jamaa. Usiwatukane watu wa Sumbawanga, walitimiza wajibu wao, wakachagua headmaster (kutoka CHADEMA) aliyemfukuza shule Aeshi miaka ya nyuma!
Thanks Babkey na Jabulani... ninaheshimu sana mawazo yenu ila kinachonishangaza mbona hakuna appeal??MTM heshima mkuu! Si vyema kuwatukana wananchi wa Sumbawanga, heri uulize kilichotokea. Huyo Aeshi hakushinda kwa kura hata kidogo, watu walijumlisha kura kituo hadi kituo na CHADEMA ilishinda kwa tofauti ya kura 100. Pinda aliiitisha kikao na msimamizi wa uchaguzi na akamuamuru achakachue, jambo hilo liliwaudhi watu wengi hadi mzee Mzindakaya akataka amkunje Pinda. Hakuna aliyemtaka huyu jamaa. Usiwatukane watu wa Sumbawanga, walitimiza wajibu wao, wakachagua headmaster (kutoka CHADEMA) aliyemfukuza shule Aeshi miaka ya nyuma!
vipi partner keshapona?Ukiona maneno mengi ujue mlishindwa kihalali, hakuna hoja hapo !