Maandamano nchini Algeria yasababisha kifo na kujeruhi kadhaa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,515
2,000
Maandamano kupinga rais Abdelaziz Boudeflika kuwania kiti cha urais kwa muhula wa 5 Algeria
Watu zaidi ya 180 wajeruhiwa na mmoja afariki katika maandamano ya kupinga rais Abdelaziz Bouteflika kuwania kiti cha urais kwa muhula wa tano Algeria.

Maadamano makubwa ya kupinga rais Abdelaziz Bouteflika kuwania kiti cha urais kwa muhula wa tano nchini Algeria yamefanyika katika miji tofauti nchini Algeria.

Watu zaidi ya 180 wameripotiwa kujeruhiwa katika maandamano hayo ambayo yaliotolewa wito katika mitandao ya kijamii.

Mtu mmoja ameripotiwa kufariki katika maandamanı yaliofanyika Jumamosi mjini Alger.

Maandamano makubwa yalifanyika Ijumaa majira ya mchana , waandamanaji wakipinga rais Abdelaliz Bouteflika kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu unatarajiwa kufayaika nchini humo ifikapo Aprili.

Rais Abdelaziz Bouteflika ana umri wa miaka 82 na yupo madarakani tangu mwaka 1999.

Rais wa Algeria amekuwa mara kwa mara akisumbuliwa na maradhi huku msimamizi wake wa masuala ya afy aakifahamisha kuwa rais Bouteflika atakuwa na afya nje hivyo basi kumpa fursa nyingine kuongoza taifa.

Mapema Jumapili maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Algeria wameripotiwa kuandamana kupinga hatua hiyo wakidai kuwa rais amekuwa makamu.

TRT
 
Nyaka-One

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
3,588

Sijaelewa aya mbili za mwisho. Mimi ni mmoja wa wale wagumu wa kuelewa.
 
pye Chang shen

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
6,316
2,000
Za kuambiwa changanya Na zako
Hivi Kama ni mgonjwa kiasi hicho anawezaje kuchukua form na kufanya kampeni? Nadhani Kuna watu wanamtumia huyu mzee kwa maslahi yao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom