Maandamano nchi nzima Jumamosi, tuandamane au tusiandamane?

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
693
212
Suala la kuandamana nchi nzima Jumamosi hii litakuwa na tija kama usalama wa watu na mali utazingatiwa. Hoja kama tuandamane au tusiandamane ni lazima kuwa makini, ili kufikia malengo yaliyokusudiwa. Usalama kwanza.
 
Umenena mkuu hili ndio la muhimu
Suala la kuandamana nchi nzima Jumamosi hii litakuwa na tija kama usalama wa watu na mali utazingatiwa. Hoja kama tuandamane au tusiandamane ni lazima kuwa makini, ili kufikia malengo yaliyokusudiwa. Usalama kwanza.
 
Maandamano yasiyoingiliwa na polisi hayajawahi kuleta uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali. kumbuka:

1. Maandamano ya Arusha yalileta uvunjifu wa amani na uharibifu na mpaka kupoteza maisha ya watu kwasababu tu polisi waliyaingilia kisiasa.

2. Maandamano ya Mwanza hayakuwa na tatizo baada ya polisi kukaa pembeni na kulinda amani.

Mimi naamini maandamano huwa hayana matatizo iwapo polisi watafanya kazi ya ulinzi wa waandamanaji na mali za wananchi na siyo ulinzi wa kuhakikisha watu hawaisemi vibaya serikali ya CCM.
 
Ni bora usalama wa nchi ukawa kapuni ili watz wengi wapate hauweni, kuliko ilivyo sasa dada zetu wanaongezeka kuj--za ili wajipatie basic needs, this is terbo bwana wa2 wanagombana na familia zao kisa maisha yako juu hela haitoshi wakt mafsad wana enjoi the ze butful land of tz!!uciangalie upande mmoja bro kila m2 anataka aman but this is too much wa2 wanasoma mpaka chuo then
akuna ajira, hakuna optunty hakuna improvment kwa in servce,hakuna anae jali then unatangaza aman.watch out.nakuheshmu cjui kama cam anakujua!
 
Suala la kuandamana nchi nzima Jumamosi hii litakuwa na tija kama usalama wa watu na mali utazingatiwa. Hoja kama tuandamane au tusiandamane ni lazima kuwa makini, ili kufikia malengo yaliyokusudiwa. Usalama kwanza.
Hakuna tija yoyote, maandamano ya nini wakati rais amekubali mazungumzo?nendeni muwape polisi mazoezi na nafasi ya kutesti mabomu yaliyo expire kama yale ya uganda halafu mje mlaumu
 
Mie napita tu.............

............Nimepata tetesi FFU wameletewa vifaa vipya ambavyo wanahitaji kuvijaribu ..
 
Maandamano yapo palepale, suala la rais kuongea na cdm mjue wanaoratibu haya maandamo sio chadema, tutajua hii nchi ya nani!kama ana nia ya dhati na nchi asingetoa hotuba ya vitisho na vijembe!civil disobidience must be praised on 26112011!
 
ni wananchi wangapi wanajua haya?
ni polisi wangapi wanajua haya?
ni wanasiasa wangapi wanajua haya?
na kama kweli wanajua (maana ni rahisi sana) ni kwa nini wanakataa ukweli ...au hawajui kuwa kukataa ukweli ni kuchelewesha maendeleo na mafanikio!!!!!?
Maandamano yasiyoingiliwa na polisi hayajawahi kuleta uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali. kumbuka:

1. Maandamano ya Arusha yalileta uvunjifu wa amani na uharibifu na mpaka kupoteza maisha ya watu kwasababu tu polisi waliyaingilia kisiasa.

2. Maandamano ya Mwanza hayakuwa na tatizo baada ya polisi kukaa pembeni na kulinda amani.

Mimi naamini maandamano huwa hayana matatizo iwapo polisi watafanya kazi ya ulinzi wa waandamanaji na mali za wananchi na siyo ulinzi wa kuhakikisha watu hawaisemi vibaya serikali ya CCM.
 
Hakuna tija yoyote, maandamano ya nini wakati rais amekubali mazungumzo?nendeni muwape polisi mazoezi na nafasi ya kutesti mabomu yaliyo expire kama yale ya uganda halafu mje mlaumu

kati ya wajinga na NDINA wewe ni nambari wani.nani alikwambi jukwaa lakatiba na chadema ni kitu kimoja? rais anakutana na chadema ...maandamano yameitishwa na jukwaa la katiba ....wa wapi wewe???
 
Kuandamana sio dhambi, lakini tunaviomba vyombo vya dola vitumie busara badala ya nguvu endapo vitahitajika, kwani nchi nyingi zimeingia kwenye matatizo yaliyosababishwa na askari kutumia nguvu. Lakini pia maandamano yamekuwa chanzo cha watu kutorudi majumbani mwao mpaka kieleweke! Hilo nalo wanaharakati wetu waliangalie kwa makini.
 
Back
Top Bottom