Maandamano makubwa MWANDIGA kumpinga Dr.Slaa yafanyika mbele ya RPC

Hujuma za CCM tumeishazizoea wanaanda maandamano wenyewe kwa kivuri cha CDM,
hapo ni sawa na kujitekenya na kucheka mwenyewe.
Ni jambo la kipuuzi tu na hufanywa na watu wapuuzi wenye mawazo finyu,
by the way waandamane wasiandamane CDM haitarudi nyuma habari ndio hiyo.
 
Waandamanaji wana haki ya kuandamana na naamini Dr atawasikiliza waandamanaji hao waliotumwa kuandamana kama alivyofanya kwa wale wengine walio kuwa wamelewa chakari.

Ninacho jiuliza ni kauli ya vitisho tena ya jinai ya kusema kuwa Dr akikanyaga Mwandiga atauwawa tena ikitolewa mbele ya polisi halafu hakuna zinachukuliwa?!!!!

Duh....wamelewa tena ? labda Lema kapeleka timu ile ya machalii wa ungalimi, R chuga.......
 
Kime nuka kipi wakati mnalipa tu vijana wa ccm waandamane.Nawenyewe wajinga 5000 hela gani hiyo?Mngewambia mshiko wa kutosha.Kujaza mafuta bodaboda ndiyo nini watoe pesa nyingi siyo 5000

Ukizoea kubisha kwa kila kitu ipo siku utaukataa ukweli.Twambie nani kawalipa na kwa ushahidi gani?
 
Kaka lakini huwa chadema haiwataki Polisi leo inaomba msaada polisi! Kweli kuishi kwingi kuona mengi! Mimi nashangaa Tanzania ina mikoa 26 inakuaje Dr Slaa aende Kigoma kama sio kujitakia uchuro

Anapima rueful wa maji kwa mkono...hajui hata principle za conflicts resolution kuwa unangojea munkali upoe ndio angeenda kigoma....hapa mjue zitto bado hajaenda kuongea na wananchi wake
 
Waandamanaji wana haki ya kuandamana na naamini Dr atawasikiliza waandamanaji hao waliotumwa kuandamana kama alivyofanya kwa wale wengine walio kuwa wamelewa chakari.

Ninacho jiuliza ni kauli ya vitisho tena ya jinai ya kusema kuwa Dr akikanyaga Mwandiga atauwawa tena ikitolewa mbele ya polisi halafu hakuna zinachukuliwa?!!!!
ni utamaduni mzuri saana wa kukemea tabia za kutoa maneno hatarishi na vyombo vya dola kukaa kimya. mf; nchi haitatawalika.nawajua waliolipua mabomu,damu itamwagika nk.kama inavyoaminika uongozi ni kiwanda kinazalisha.
hivyo unapotofautiana na wanachama wako ujue watatatumia lugha ile ile uliowafundisha kufikisha ujumbe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom