Maandamano makubwa MWANDIGA kumpinga Dr.Slaa yafanyika mbele ya RPC

MAGANDA YATAHARISHA HADI UTUMBO!! Eti kuandamana mbele ya RPC!! Wamguse Rais wangu kama sijasafiri kwa mguu kuja chigoma!! nione Lumumba yao iko wapi halafuuuuuuu!! eti waniondolee ndoto ya ukombozi kwa kumuua rais wangu!! weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee patanuka!!
teh teh, mbavu zangu mie!
 
Mkuu unakosea kusema wanakigoms sema wanaccm mbona Slaa amepokelewa vems Kasulu na Kibondo ambszo ni sehemu ya Kigoma kwahiyo kusema wans kigoma mnatukosea. Binafsi nashauri Zitto afukuzwe tu ili huu ujinga uishe
nimekuelewa mkuu!
 
Alipoondoka obama nilimwona kova akijisifia kuwa palikuwepo amani hata bango halikuonyeshwa! obama alipoenda south africa alikutana na mabango tofauti yakiwemo kupinga uharibifu wa mazingira.
Kwanini sisi hatukuonyesha hata bango moja linalopinga ndoa za jinsia moja ambayo ni sera ya chama chake?
tuache woga, maandamano ni sehemu ya demokrasia.
 
Yaani una maanisha ktk nch hii yenye amani. Ndo tumefikia hatua ya kutoa matamko tena mbele ya vyombo vya ulinzi na usalama wa raia, kwamba tutatoa uhai wa mtu.
Au ndo porojo manake hili jukwaa siku hizi mmmmh!
Sidhani kama tumefika huko wala sishabikii kufika huko.
 
Ni siasa za ccm za maji taka.Kama zzk ana faa kwanini wasimchukue tu awasaidie?Mnang'ang'ania abaki chadema kwa nini?Mnatumia hela zote hizo kuandaa vijana waandamane na polisi wanaruhusu.What a heal of this!Nadhani hata shetani ata jikatalia kuwa sikuwatuma
 
Siku zote ukweli uta simama.Mtafanya hila zote hizo lakini ukweli utabaki kama ukweli tu.shida yenu Zito abaki Chadema kwa gharama yoyote kuna nini hapo.Naha baki huyo ndiyo imetoka hivyo!
 
Yani nimescroll 8 pages naishia kukuta picha moja!!!
Nadhani hawa maccm hawa amini katika Mungu.Wasinge chezea hela za walipa kodi kucheza mchezo mchafu kama huo.Kosa moja wanalo fanya ni kufikiri watanzania ni wajinga hawa wezi kujua uchafu wao.Tusijue kwanini wakati mnalipa bodaboda waziwazi hivyo ili waandamane?time will tell
 
Haya sasa kimenuka hicho.
Ubishi utawaponza.
Kime nuka kipi wakati mnalipa tu vijana wa ccm waandamane.Nawenyewe wajinga 5000 hela gani hiyo?Mngewambia mshiko wa kutosha.Kujaza mafuta bodaboda ndiyo nini watoe pesa nyingi siyo 5000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom