Maandamano makubwa Marekani yaumbua nchi zenye Lockdown

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
Tulitemegemea watu wangekufa barabarani wakati wakiandamani. Tulitemegema tungeona Ambulance ikiokota maiti mitaani

Ni Rais Magufuli pekee Africa ndiye aliyeshtukia kuwa ugonjwa ulikuwa unasambazwa vifaa feki. Viongozi wenye vichwa AUTOMATIC wanakopi na kupest kutoka kwa Mabeberu.

Unajifunza nini
 
Nionanvyo mimi, katika hali ya dharura kila nchi ina uhuru wa kuchukua hatua kulingana na uzito wa janga lenyewe na pia njia ambazo ukubwa huo wa janga unaweza kumalizwa bila ya kuathiri kwa kiwango kikubwa maisha ya watu wa nchi husika! Tumshukuru Mungu kwamba maambuzi kwetu hayakuja kwa kasi sana kama ilivyotokea China, Italia na nchi nyingine ambazo zimerikodi visa vingi vya maambukizi na idadi kubwa ya vifo. Kama na sisi tungebanwa mbavu hivyo naamini hata sisi tungeweza kuchukua hatua kali zaidi. Kudhani kama kuwa na 'lockdown' ni ku'copy' na ku'paste' ni kuwa off track. Kila nchi ina uhuru wa kuamua kutumia 'approach' au methodolojia fulani.
 
Jamaa yangu corona imefeli Afrika kwa sababu nyingi tu. Watu ilifaa wazijue na kutumia hiyo advantage badala ya kuingiza nchi ktk madeni makubwa

1. Ukanda wa Joto wa Kitropic

Afrika yenye especially ktk eneo la Tropic joto ni Jingi hivo hata mtu akipiga chafya virus hataweza kukaa ktk anga kwa muda mrefu. Anakufa

2. Africa yenye joto haina majengo Vertical

Wenzetu ambao wanaishi flats za ghorofa 20 au 40 hivo wanategemea ngazi na lift chache zilizopo. Kwa upande mmoja inaonekana ni utajiri lakini umaskini wetu wa kuishi hapa na pale umetufanya tuwe na social distancing bila kujua hivo kuishinda corona mapema

Fikiria ni kiasi muambukizano upo kwenye mazingira ya nyumba za ghorofa.

Fikiria lockdown inaleta challenge ktk maisha hayo

3. Chanjo za utotoni na mazingira hafifu

Waafrika wengi washatumia dozi za maralia hizo chloroquine, chanzo za polio, pepopunda nk zimeifanya miili yetu iwe tayari na kinga na pia sugu kwa baadhi ya vimelea

Bado tu niendelee....
 
Inawezekana na inawezekana sivyo. Tulihitaji kushirikiana ili kwa baadaye tuweze kwa pamoja ku'evaluate' nchi gani iliathirika au haikuathirika sana na kwa namna gani ili tuweze kupata suluhisho la pamoja na kujiweka tayari kwa majanga mengine yanayoweza kutokea kwa sababu ya mabadiliko ya tabia nchi. Hapa Afrika tunaweza kuwa washindi katika janga hili (at least kwa sasa), lakini janga lingine linaweza kuja na kutuumiza zaidi na ndiyo maana majanga yanahitaji tuwe pamoja. Ni fursa kwa wataalamu wetu wa afya kufanya utafiti na kuona kitu gani kimetusaidia sana na kitu gani hakijatusaidia sana.
 
Back
Top Bottom