Nipo hapa mwanga naona gari linapita likitangaza Maandamano ya kupinga ujio wa Dk Slaa mjini kigoma, Maandamano hayo yataanzia mwandiga hadi viwanja vya community center ambapo ndipo Dk Slaa anategemea kufanya mkutano wa hadhara kesho, Maandamano yatafanyika tarehe 8.12.2013 kesho jumapili. Maandamano yataanza saa 2 asubuhi. Gari kwa sasa limeelekea maaneo ya ujiji.
CCM inaingia vipi kwenye matatizo ya kujitakia ya Chadema?
Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Kigoma alishamshauri Dr. Slaa aahirishe safari yake, lakini Slaa amebisha. Hapo msitafute mchawi...
Chadema mmefukuzana nyie wenyewe kwenye chama chenu CCM wanahusika vipi.Ccm beana hivi mlishawahi kusikia CDM inafanya maandamano ya kupinga ujio wa Kinana na yakaruhusiwa na Polisi?
Bila shaka uwezo wenu wa kushirikisha akili zenu umegota. Hakika Babu Slaa kajishushia heshima yake na anajiporomosha mwenyewe kwa kuendekeza vita na shabab Zitto Kabwe
Domy,
hayo majani ya bangi unayapeleka wapi au unawapelekea bavicha wenzako.
Nasikia Kigoma Lema na Nassari wanakubalika sana kuzidi Zitto ni kweli?
CCM mnakazi ya ziada acheni ujinga,fanyeni maendeleo
Nasikia Kigoma Lema na Nassari wanakubalika sana kuzidi Zitto ni kweli?
Nimekwambia Hawakubali Uovu na Ikibahinika pasipo Shaka kama kwa KABURU kuwa ni Msaliti watamkataa kubali kataa.WAKIGOMA wanaangalia Mema na kuyafuhata na kukataa Uovu na Maovu.Mkuu, kwanza utambue kuwa Kigoma hawaipendi CHADEMA bali wanampenda Zitto Kawe kwa kuwa ni home boy wao. Kama huamini aubiri Zitto aachane na siasa uone kama CDM mtakuwa na jimbo kule
Ambacho sijakielewa.Kama maandamano hayo yamepewa kibali na polisi.Nilifikiri ni busara kwa polisi kutokutoa kibali cha maandamano hayo, kwenda sehemu ambayo Dr. atahutubia,kwani yanaweza kutokea maafa.Hakuna anayejua waandamanaji wana ajenda gani.Kimsingi ni kwamba wanaenda kufanya fujo ili mkutano uharibike.Ingekua wanaandamana kwenda kwenye ofisi za chama ,hiyo ingekua sio tabu.
Nachelea kusema, kama kweli waandamanaji wa taruhusiwa kwenda eneo analohutubia Dr.kuna uwezekano wa vurugu kutokea,na ikiwa hivyo, basi hili litakua limepangwa,ili kukuza mgogoro wa CDM na ZZK.
Slaa bora ampigie magoti zitto atakuja kufa kwa presha zitto siyo saizi yake atamtoa nyongo halafu atoke duniani bure.
CCM inaingia vipi kwenye matatizo ya kujitakia ya Chadema?
Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Kigoma alishamshauri Dr. Slaa aahirishe safari yake, lakini Slaa amebisha. Hapo msitafute mchawi...
Ukweli upo wazi ni pale zitto atakapoacha kubaguliwa kunyanyaswa na kuonewa hatimaye kupewa haki yake ya kugombea na kuwa mwenyekiti wa chadema kwa njia ya demokrasia.