Maandamano makubwa kupinga ujio wa Dk Slaa Kigoma Mjini

CCM inaingia vipi kwenye matatizo ya kujitakia ya Chadema?

Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Kigoma alishamshauri Dr. Slaa aahirishe safari yake, lakini Slaa amebisha. Hapo msitafute mchawi...

Acheni uoga wa kike, Kwani huko kungine amefanyaje Mikutano? Poor you.
 
Sasa ndo naanza kuwaelewa baadhi ya member humu wanaodai kuwa kigoma kwa shughuli maalum! Hivi nani anagharamikia upuuzi huu? na kwa faida gani? je, haya tunayoyasikia kwa sasa yana faida gani kwa wana kigoma? Anyway kila la kheri ktk mission yenu lakini kumbukenk jambo moja" wanakigoma siyo wajinga kiasi hicho mnachofikiri, siku.moja ukweli utajulikana na watawapiga kwa.mawe".
Ukweli upo wazi ni pale zitto atakapoacha kubaguliwa kunyanyaswa na kuonewa hatimaye kupewa haki yake ya kugombea na kuwa mwenyekiti wa chadema kwa njia ya demokrasia.
 
Mkuu u are a great thinker, hapo 100 100

Ambacho sijakielewa.Kama maandamano hayo yamepewa kibali na polisi.Nilifikiri ni busara kwa polisi kutokutoa kibali cha maandamano hayo, kwenda sehemu ambayo Dr. atahutubia,kwani yanaweza kutokea maafa.Hakuna anayejua waandamanaji wana ajenda gani.Kimsingi ni kwamba wanaenda kufanya fujo ili mkutano uharibike.Ingekua wanaandamana kwenda kwenye ofisi za chama ,hiyo ingekua sio tabu.
Nachelea kusema, kama kweli waandamanaji wa taruhusiwa kwenda eneo analohutubia Dr.kuna uwezekano wa vurugu kutokea,na ikiwa hivyo, basi hili litakua limepangwa,ili kukuza mgogoro wa CDM na ZZK.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Ahairishe ili kiwe nini? Mwache mzee wa watu akijenge chama na hao wanaompinga lazima wajue kuwa siyo lazima wawe cdm waende nccr, tlp au ccm na cuf.Ni mawazo ya kijinga kung'ang'ania chama kwa kuleta fujo.
Kwa tarifa yako ameenda kukibomoa make kila anachofanya anakosea marehemu chadema ameondoka tukiwa tunamhitaji mungu amlaze mahala pema peponi.
 
Ni sawa,Chadema tusipanic maandamano ni haki ya kila raia,tuwaache waandamane,tuwasikilize wanasema nini lakini maamuzi yafanywe na vikao halali vya Chama,sioni shida yoyote katika maandamano!
Domy,
hayo majani ya bangi unayapeleka wapi au unawapelekea bavicha wenzako.
 
Ukweli upo wazi ni pale zitto atakapoacha kubaguliwa kunyanyaswa na kuonewa hatimaye kupewa haki yake ya kugombea na kuwa mwenyekiti wa chadema kwa njia ya demokrasia.

Anayo haki pia ya kwenda kugombea kwenye vyama vingine kama anaona ameonewa.Ili uweze kugombea lazima pia uwe mtu safi.Sasa kama yeye ni mtu safi,ajibu tuhuma za kusaliti chama, na ikithibitikani msafi atagombea.Kuliko hizi jitihada za kuleta vurugu, hii inaonyesha kuwa hafai.
 
Kama umeona anabaguliwa mchukue mpeleke kwenye chama chako
 
mlisema fujo ikashndkana nadhani baada ya kukosa watu, sahvi maandamano...kweli CDM baba yao
 
Ukweli upo wazi ni pale zitto atakapoacha kubaguliwa kunyanyaswa na kuonewa hatimaye kupewa haki yake ya kugombea na kuwa mwenyekiti wa chadema kwa njia ya demokrasia.

Kwani vyama si vipo vingi tu! Kama anaona chadema si aje huko kwenu mnakompenda. Wewe kama siyo mwana chadema nini kinachokufanya ukose amani kwa ajili ya masuala yasiyo kuhusu!? Au ndo mnataka hata wqle tuliokuwa tunapuuzia uhusika wenu ktk hili sakata tu amini kuwa kuna mkoo wa ccm!? Wakati.mwingine tujaribu kutumia akili kidogo' Hata kama unamuombea adui yako mabaya, usitake kila mtu akafaham intention yako.
 
kweli CCM sasa wamechanganywa sana na ninachopenda wanaangaika lakini kigoma ni cdn na nccr waacheni wapoteze muda wao tuu kwani wakorof tayali wamekamatwa jana

Kwanini CCM mnayafuta shari kwa nguvu

Ccm beana hivi mlishawahi kusikia CDM inafanya maandamano ya kupinga ujio wa Kinana na yakaruhusiwa na Polisi?

CCM mnakazi ya ziada acheni ujinga,fanyeni maendeleo

Ccm hemu ccm hemu aaaaa hali ni mbaya kwenye hiki chama kikongwe kila mbinu ya kuuiua chadema imeshindikana

mlisema fujo ikashndkana nadhani baada ya kukosa watu, sahvi maandamano...kweli CDM baba yao
Bila shaka uwezo wenu wa kushirikisha akili zenu umegota. Hakika Babu Slaa kajishushia heshima yake na anajiporomosha mwenyewe kwa kuendekeza vita na shabab Zitto Kabwe
 
Kwani vyama si vipo vingi tu! Kama anaona chadema si aje huko kwenu mnakompenda. Wewe kama siyo mwana chadema nini kinachokufanya ukose amani kwa ajili ya masuala yasiyo kuhusu!? Au ndo mnataka hata wqle tuliokuwa tunapuuzia uhusika wenu ktk hili sakata tu amini kuwa kuna mkoo wa ccm!? Wakati.mwingine tujaribu kutumia akili kidogo' Hata kama unamuombea adui yako mabaya, usitake kila mtu akafaham intention yako.
Zitto hawezi kwenda kokote coz ametumia muda mwingi kukijenga hiki chama. Ni hasara kwake kuacha chama alichokijenga kwa zaidi ya miaka 20 kwenye mikono ya wazamiaji
 
Ambacho sijakielewa.Kama maandamano hayo yamepewa kibali na polisi.Nilifikiri ni busara kwa polisi kutokutoa kibali cha maandamano hayo, kwenda sehemu ambayo Dr. atahutubia,kwani yanaweza kutokea maafa.Hakuna anayejua waandamanaji wana ajenda gani.Kimsingi ni kwamba wanaenda kufanya fujo ili mkutano uharibike.Ingekua wanaandamana kwenda kwenye ofisi za chama ,hiyo ingekua sio tabu.
Nachelea kusema, kama kweli waandamanaji wa taruhusiwa kwenda eneo analohutubia Dr.kuna uwezekano wa vurugu kutokea,na ikiwa hivyo, basi hili litakua limepangwa,ili kukuza mgogoro wa CDM na ZZK.

Uko sahihi kabisa kiongozi
 
Anayo haki pia ya kwenda kugombea kwenye vyama vingine kama anaona ameonewa.Ili uweze kugombea lazima pia uwe mtu safi.Sasa kama yeye ni mtu safi,ajibu tuhuma za kusaliti chama, na ikithibitikani msafi atagombea.Kuliko hizi jitihada za kuleta vurugu, hii inaonyesha kuwa hafai.
Mkuu, Zitto mwenyewe tayari ameweka msimamo wake kuhusu hili
 
Ukweli upo wazi ni pale zitto atakapoacha kubaguliwa kunyanyaswa na kuonewa hatimaye kupewa haki yake ya kugombea na kuwa mwenyekiti wa chadema kwa njia ya demokrasia.

We simiyu yetu mchukueni zito awe CCM.hakuna tatizo na nakupa pole kwa sababu huwajui vizuri watu wa Kigoma maana watakapojua ukweli watafanya maamuzi ambayo yatakushangaza Maana wala hasili ya kutounga mkono waovu na maovu yao.Na kwa taharifa yako hawako tayari kuwa CCM wataunga mkono Upinzani tu.
 
Ambacho sijakielewa.Kama maandamano hayo yamepewa kibali na polisi.Nilifikiri ni busara kwa polisi kutokutoa kibali cha maandamano hayo, kwenda sehemu ambayo Dr. atahutubia,kwani yanaweza kutokea maafa.Hakuna anayejua waandamanaji wana ajenda gani.Kimsingi ni kwamba wanaenda kufanya fujo ili mkutano uharibike.Ingekua wanaandamana kwenda kwenye ofisi za chama ,hiyo ingekua sio tabu.
Nachelea kusema, kama kweli waandamanaji wa taruhusiwa kwenda eneo analohutubia Dr.kuna uwezekano wa vurugu kutokea,na ikiwa hivyo, basi hili litakua limepangwa,ili kukuza mgogoro wa CDM na ZZK.
Hahahahahaaaaa, leo CHADEMA wanahitaji huruma ya polisi!
 
We simiyu yetu mchukueni zito awe CCM.hakuna tatizo na nakupa pole kwa sababu huwajui vizuri watu wa Kigoma maana watakapojua ukweli watafanya maamuzi ambayo yatakushangaza Maana wala hasili ya kutounga mkono waovu na maovu yao.Na kwa taharifa yako hawako tayari kuwa CCM wataunga mkono Upinzani tu.
Mkuu, kwanza utambue kuwa Kigoma hawaipendi CHADEMA bali wanampenda Zitto Kawe kwa kuwa ni home boy wao. Kama huamini aubiri Zitto aachane na siasa uone kama CDM mtakuwa na jimbo kule
 
Zitto hawezi kwenda kokote coz ametumia muda mwingi kukijenga hiki chama. Ni hasara kwake kuacha chama alichokijenga kwa zaidi ya miaka 20 kwenye mikono ya wazamiaji

Umeongea kirahisi sana.angekianzisha ungesemaje?.Msingi uliwekwa imara yeye akajenga juu.Hata akionda msingi utabaki
 
Nipo hapa mwanga naona gari linapita likitangaza Maandamano ya kupinga ujio wa Dk Slaa mjini kigoma, Maandamano hayo yataanzia mwandiga hadi viwanja vya community center ambapo ndipo Dk Slaa anategemea kufanya mkutano wa hadhara kesho, Maandamano yatafanyika tarehe 8.12.2013 kesho jumapili. Maandamano yataanza saa 2 asubuhi. Gari kwa sasa limeelekea maaneo ya ujiji.
Hayo maandamano yana kibali cha polisi? Au ni kwa sababu yameandaliwa na CCM? Badala ya kuhangaikia kutekeleza ilani yenu mnahangaika kuhujumu nguvu za upinzani? Nchi hii bwana
 
Bila shaka uwezo wenu wa kushirikisha akili zenu umegota. Hakika Babu Slaa kajishushia heshima yake na anajiporomosha mwenyewe kwa kuendekeza vita na shabab Zitto Kabwe

Unateseka ukisikia Dk Slaa.uwezi kuwa sawa naye na hata unaowasapoti hawako sawa naye na wenyewe wanajua.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom