Maandamano makubwa kupinga ujio wa Dk Slaa Kigoma Mjini


manning

manning

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,527
Likes
116
Points
160
manning

manning

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,527 116 160
hakuna muda unaopumzika kula ile chakula wanayouza watoto wa vigogo wa CCM !!!? hebu angalia picha ndo uanze kubwabwaja. hata hapo Kigoma mjini ZZK NA KABURU watakula wa chuya. nyomi itakuwa kama kawaida .
 
Nchaby

Nchaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Messages
802
Likes
17
Points
35
Nchaby

Nchaby

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2013
802 17 35
Nipo hapa mwanga naona gari linapita likitangaza Maandamano ya kupinga ujio wa Dk Slaa mjini kigoma, Maandamano hayo yataanzia mwandiga hadi viwanja vya community center ambapo ndipo Dk Slaa anategemea kufanya mkutano wa hadhara kesho, Maandamano yatafanyika tarehe 8.12.2013 kesho jumapili. Maandamano yataanza saa 2 asubuhi. Gari kwa sasa limeelekea maaneo ya ujiji.
Hakika. Fanyeni hivo makamanda. Habari ya kuburuzwa ndani ya chama ilishapitwa na wakati.

Kila la kheri wana Kigoma, Ujiji, Mwandiga na maeneo yate ndani ya Kigoma.
 
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
5,102
Likes
35
Points
135
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
5,102 35 135
CCM Amjui kama sasa mnatangaza watu waandamane kwakutumia gari namba T410 ARW sasa uoni kama mnaingilia, sawa endeleni tuu kwakua ndani yenu kuna wanaCCM majina na sura lakin mihoyo na akili zao chadema watatuambia tu na tutashinda mkuu
CCM inaingia vipi kwenye matatizo ya kujitakia ya Chadema?

Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Kigoma alishamshauri Dr. Slaa aahirishe safari yake, lakini Slaa amebisha. Hapo msitafute mchawi...
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,691
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,691 280
Dr.Slaa atajuta kumfahamu Zitto.
 
Last edited by a moderator:
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
5,102
Likes
35
Points
135
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
5,102 35 135
wee nae umeandika nini sasa, hoja hapa ma sisiemu hawafanyi hii kitu sasa kwa gari namba T410 ARW. ukibisha nipishe bhana
Bila shaka uwezo wenu wa kushirikisha akili zenu umegota. Hakika Babu Slaa kajishushia heshima yake na anajiporomosha mwenyewe kwa kuendekeza vita na shabab Zitto Kabwe
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,691
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,691 280
Nasikia Kigoma Lema na Nassari wanakubalika sana kuzidi Zitto ni kweli?
 
K

Kohelethi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Messages
1,242
Likes
551
Points
280
K

Kohelethi

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2013
1,242 551 280
Domy,
hayo majani ya bangi unayapeleka wapi au unawapelekea bavicha wenzako.
Humeshindwa kutoa ushahidi duniana utaweza Mbinguni?acha Ujinga wako.Jicho la MUNGU linakuona kwa kila ufanyacho iwe kwa siri au peupe maana Imeandikwa kila neno na kila tendo litafunuliwa kwa hiyo hata siku ya hukumu MUNGU hatokuambia lete ushahidi bali matendo yako yatafunuliwa na wewe mwenyewe utasema kwa hiari yako bila shuruti kuwa kwa haya niliyoyatenda wapi unastahili kwenda Uzimani au Jehanamu. unaongoza mwenyewe bila shuruti.upo hapo Mwigulu Nchemba.Hii itakusaidia sana maana unaisi hata Mbinguni utatetewa na CCM.
 
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Messages
4,225
Likes
8
Points
135
Age
40
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2011
4,225 8 135
CCM mnakazi ya ziada acheni ujinga,fanyeni maendeleo
Wewe ccm ilishakuvuruga mpaka umebakiza kujambajamba tu,ujinga muufanye wenyewe halafu msingizie mume wenu ccm,tatizo la kuzoea kupakatwa hili!!
 
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Messages
4,225
Likes
8
Points
135
Age
40
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2011
4,225 8 135
Nasikia Kigoma Lema na Nassari wanakubalika sana kuzidi Zitto ni kweli?
Mkuu kwa nini unapenda kuwataja hao wala NJEMU ambao wanatoa harufu kila wanapopita kutokana na kuvurugwa kwenye ukuta?!angalia na wewe utakuja kujidhalilisha!!
 
K

Kohelethi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Messages
1,242
Likes
551
Points
280
K

Kohelethi

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2013
1,242 551 280
Mkuu, kwanza utambue kuwa Kigoma hawaipendi CHADEMA bali wanampenda Zitto Kawe kwa kuwa ni home boy wao. Kama huamini aubiri Zitto aachane na siasa uone kama CDM mtakuwa na jimbo kule
Nimekwambia Hawakubali Uovu na Ikibahinika pasipo Shaka kama kwa KABURU kuwa ni Msaliti watamkataa kubali kataa.WAKIGOMA wanaangalia Mema na kuyafuhata na kukataa Uovu na Maovu.
 
LILENDI

LILENDI

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Messages
1,404
Likes
15
Points
0
LILENDI

LILENDI

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2013
1,404 15 0
Ambacho sijakielewa.Kama maandamano hayo yamepewa kibali na polisi.Nilifikiri ni busara kwa polisi kutokutoa kibali cha maandamano hayo, kwenda sehemu ambayo Dr. atahutubia,kwani yanaweza kutokea maafa.Hakuna anayejua waandamanaji wana ajenda gani.Kimsingi ni kwamba wanaenda kufanya fujo ili mkutano uharibike.Ingekua wanaandamana kwenda kwenye ofisi za chama ,hiyo ingekua sio tabu.
Nachelea kusema, kama kweli waandamanaji wa taruhusiwa kwenda eneo analohutubia Dr.kuna uwezekano wa vurugu kutokea,na ikiwa hivyo, basi hili litakua limepangwa,ili kukuza mgogoro wa CDM na ZZK.
bold: huo ndio mpango mzima wa chama na serikali. matamko ya Wasira et al kuhusu kifo cha CDM yalikuwa na mpango nyuma yake. sitashangaa kibali kikitolewa kwa sababu baya lolote litalotokea kwenye mkutano wa CDM, wajinga watasema CDM ndiyo iliyosababisha, ili kuendeleza slogan yao ya "CDM ni chama cha vurugu" ( rejelea mauaji ya Songea, Morogro, Arusha, nk. na kauli ya jeshi la polisi)
 
swagazetu

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Messages
3,987
Likes
343
Points
180
swagazetu

swagazetu

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2013
3,987 343 180
nafurahi kwa kuwa kila mtu anaandika kuhusu chadema inonesha ilivyotishio kwa ccm.kuandamana ni haki yao lakini kuizuia cdm ni uhaini.
 
kibogo

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
9,699
Likes
1,217
Points
280
Age
28
kibogo

kibogo

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
9,699 1,217 280
CCM inaingia vipi kwenye matatizo ya kujitakia ya Chadema?

Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Kigoma alishamshauri Dr. Slaa aahirishe safari yake, lakini Slaa amebisha. Hapo msitafute mchawi...
Inatakiwa akili zako uzipanue kidogo hivi maandamano ya wanaCDM kuipinga CDM polisi wanaona ni Halari lakini pale CDM inapotaka kufanya maandamano kupinga baadhi ya mambo ya kijinga ya Serikali inayoongozwa na CCM huwa ni batili na Intellegencia hukataa.Tambua polisi kuruhusu maandamano hayo ni kutaka kuleta vurugu ambayo si ya lazima. kumbuka Ujio wa OBAMA kuna watu walitaka kuonyesha hisia zao kwa kiongozi huyo kwa kuandaa mabango na kutaka kuandamana lakini serikali ilipiga marufuku inakuwaje haya ya Kigoma yapewe baraka?
 
J

jigoku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
2,397
Likes
127
Points
160
J

jigoku

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2011
2,397 127 160
Ukweli upo wazi ni pale zitto atakapoacha kubaguliwa kunyanyaswa na kuonewa hatimaye kupewa haki yake ya kugombea na kuwa mwenyekiti wa chadema kwa njia ya demokrasia.
CDM hatakiwi,mchukueni CCM.ninaekuambia hapa ni kiongozi wa jimbo,mwambie huyo ZZK wako aje ajaribu jimbo la Segerea kama ataambulia kitu na usaliti wake.
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
496
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 496 180
Maandamano yameanzia Mwandiga, idadi ya watu ni ndogo kuliko ilivyotarajiwa, kuna watu takriban 25/30 wanatembea kwa miguu, wanaongozwa na bodaboda kama 20 hivi na vijana wamebeba mabango ya kuikashifu chadema.

Hivi sasa wamepita hapa stendi ya masanga kuna ajali imetokea baada ya bodaboda kugongana, kijana moja ameumizwa vibaya hivi sasa amebebwa na gari kupelekwa hospitali.

Kimsingi bodaboda walipewa elfu kumi kumi kushiriki maandamano.

Baada ya ajali ya pikipiki naona watu wamepungua sana, hata watoto waliokuwa wameungana kwenye maandamano wamepungua.

Maandamano yanaelekea Mwanga Centre, nadhani ndiyo mahali watakapofanyia mkutano
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
496
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 496 180
Nani atakayehutubia mkutano?
 

Forum statistics

Threads 1,262,750
Members 485,679
Posts 30,131,958