Maandamano makubwa kupinga ujio wa Dk Slaa Kigoma Mjini

Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,608
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,608 280
Unatetea upumbafu kwa vile hujitambui.CDM ipo na itakuwepo kwa nguvu za MAULANA.DR SLAA yupo kigoma na heri kwao waliojimbua na kuhudhuria mikutano ya cdm maana hao ukombozi wa pili utawatumikia.kama kigoma watu nyomi wanajitokeza na huku Mwanza sasa? subiri mh Mbowe j.mos ndani ya ROCK CITY UIONE NGUVU YA MAMBA KUMAJI! Hao wanaoandamana wambieni waje na huku tuzae nao! hatulei ujinga mwanza!
Hakika wewe ni mgonjwa haswa wala hujitambui kabisa.
 
Ng'wanangwa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
10,713
Likes
1,685
Points
280
Ng'wanangwa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
10,713 1,685 280
Ni mjinga Dikiteta Slaa. Haukuwa wakati muafaka wa kwenda Kigoma. Ilibidi atangulie Zitto kwanza ndio baadae apime upepo.

Huyu Padre siasa zimemshinda, bora arudi kanisani akale mkate na kuhubiri.
tehe! mwanzo mlisema asikanyage Kigoma. asa sijui mnataka kusema nini? kwamba huko Kakonko na Kibondo siyo Kigoma? afu haya mambo ya Zitto siju Zitto, why Zitto?
 
F

fmuhindo

Senior Member
Joined
Dec 8, 2013
Messages
116
Likes
0
Points
0
F

fmuhindo

Senior Member
Joined Dec 8, 2013
116 0 0
Heheheheheheheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unachekesha sana eti chadema kuna ufisadi Inaonekana wewe ni mgeni kwene siasa na huna macho bwana . Watanzania woteee wanajua kwamba Mafisadi/Majangili/wezi/majambazi/wauaji ni CCM na adui wa kwanza wa umasikini tanzania ni ccm,ngoja nikukumbushe list nzima Abdulhaman kinana(jangili la tembo na kifaru)chenge(fisadi- mwizi wa pesa BOT huyu bwana alionesha dharau kabisa kwa kuita mabilioni aloiba vijicent),Dauli balali(yupo hai ulaya huyu bwana alitumiwa na ccm kupora matrilion BOT halafu akasingiziwa kafa),Ngeleja,mkapa, yaani bila kutaja ni ccm yote ( Madini/Dhahabu/Almasi yanaibiwa kwa kisingizio cha uwekezaji,Mwenyekiti wa ccm amepora wanyama Twiga na kupiga dili falme za kiarabu, na leo Gesi inaibiwa kijanjajanja tu. CCM msizani watanzania tumeyasahau haya tunataka kuona watu hawa wanachukuliwa hatua mapema na hata mkiwachukulia hatua tayari hatutoweza kuwachagua tena Hamuaminiki tena mbele yetu watanzania lengo letu ni kufanya mabadiliko yatakayo leta disprine kwa watawala. Jamani jamani jamani watanzania tuwemacho nchi inaangamia ccm ni adui mkubwa hapa tanzania tuikatae wote kwa umoja wetu,tuwaonee huruma vizazi vyetu badae leo tutazeeka tutakufa lakini kizazi chetu kitaendelea hivyo tunapaswa kuwatengenezea Taifa lililo imara. Wenzetu wazungu wanapanga mipango ya vizazi vingine hapa tunashangaa tu majangili ya ccm yakiiangamiza nchi huku sisi tukipiga porojo nyingi za ki..pu..mbafu. humu JF utaona wanaofagilia ccm ni wale wanaofaidika na ujangili huu. wanatumia garama kubwa kuiangamiza chadema ili wapate nafasi ya kupora kilakitu
 
M

Michael_Muhazi

Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
48
Likes
0
Points
0
M

Michael_Muhazi

Member
Joined Dec 5, 2013
48 0 0
I wish watu wote wangekuwa kama wewe. Kataeni agenda za watu wa CCM. Hawa vijana wanalipwa kulitoboa taifa letu na kujaribu kuwakatisha tamaa watu wenye kiu ya mabadiriko kwa kuwawekea picha zenye bango tatu hili tuwe hopeless.
Hawa watu wanalipwa kuanzia kwa mwenye kiberiti hadi aliyeshika bendera. Malipo yao ni kidogo muno ukilinganisha na ukombozi wa taifa letu. Ukijua malipo yao utacheka sana. Hawa garama yao ni kama ya Zitto, njaa.
Kaburu alimtesa sana Mandela na kumpa hadi miaka 27 jela akidhani amemmaliza. Alishindwa kitu kimoja, kumnunua kwa sababu hakuwa na thamani.
Ndugu zangu watanzania, CCM wameliibia taifa lenu kila siku, sasa wanataka kuwatumieni nyie kupigana wenyewe tena kwa kupewa laki tatu hili uwanja wao wa kuiba uendelee kuwa mpana zaidi? Hawa watu wametuibia kuanzia kodi, madini, ziwa victoria na kila kitu chenye harufu ya pesa...hadi sasa wanaanza kuibia wanyama meno yao...wanyama wasioweza kujitetea.
Gharama za kuendesha dhambi zao ni kubwa sana ndo maana hata mikutano yao inagharimu pesa nyingi. Guess anayelipia hizo gharama ni nani? Ni wewe mlala hoi kupitia kodi za simu, asilimia 68 ya umeme n.k.
Wasitufanye tuanze kutukanana. Najua tukiamua tunaweza kuwanbia inatosha! Ila tukianza matusi au kuwajibu vibaraka kama Zitto, ni kupoteza muda. Mfano humu kuna mtu ameanfika eti Dr. Slaa ni fisadi sana. Ebu nitumie dakika chache kumtuo usingizini huyu mtu. Anajua mkuu wa nchi anakaa hewani sana au nchi za nje kuliko ofisini kwake? Anajua kila siku tembo 15 hadi 20 wanauwawa na baadhi ya wanyama wanaibiwa live? Anajua sokomoko la Richmondi, watanzania wanawalipa mafisadi mabillioni ya hela na bado umeme unapanda bei zaidi ya nusu? Anajua mpaka leo, hakuna shule ya serikali hata moja ambayo ungetaka kumpeleka mtoto wako? Anajua gharama ya kumsafirisha JK safari moja ni million 300, na hiyo ni safari ya kawaida ukiachilia zile anazokaa weeks? Bado kichwa chake kinaona Mbowe ni fisadi? Hivi huyu mtu sidhani kama amelipwa tu, atakuwa kalogwa pia. Yaani unalipwa book 7 na kulogwa hapo hapo maana haya mambo kama huyaoni, wewe sio mtanzania na umelogwa!
Wenye mapenzi mema tujenge taifa letu kwa hoja zenye maana. Tusikubaki mwizi aingie ndani, aibe na atuache tukigombana. Hii ndo motto ya CCM.
Heheheheheheheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unachekesha sana eti chadema kuna ufisadi Inaonekana wewe ni mgeni kwene siasa na huna macho bwana . Watanzania woteee wanajua kwamba Mafisadi/Majangili/wezi/majambazi/wauaji ni CCM na adui wa kwanza wa umasikini tanzania ni ccm,ngoja nikukumbushe list nzima Abdulhaman kinana(jangili la tembo na kifaru)chenge(fisadi- mwizi wa pesa BOT huyu bwana alionesha dharau kabisa kwa kuita mabilioni aloiba vijicent),Dauli balali(yupo hai ulaya huyu bwana alitumiwa na ccm kupora matrilion BOT halafu akasingiziwa kafa),Ngeleja,mkapa, yaani bila kutaja ni ccm yote ( Madini/Dhahabu/Almasi yanaibiwa kwa kisingizio cha uwekezaji,Mwenyekiti wa ccm amepora wanyama Twiga na kupiga dili falme za kiarabu, na leo Gesi inaibiwa kijanjajanja tu. CCM msizani watanzania tumeyasahau haya tunataka kuona watu hawa wanachukuliwa hatua mapema na hata mkiwachukulia hatua tayari hatutoweza kuwachagua tena Hamuaminiki tena mbele yetu watanzania lengo letu ni kufanya mabadiliko yatakayo leta disprine kwa watawala. Jamani jamani jamani watanzania tuwemacho nchi inaangamia ccm ni adui mkubwa hapa tanzania tuikatae wote kwa umoja wetu,tuwaonee huruma vizazi vyetu badae leo tutazeeka tutakufa lakini kizazi chetu kitaendelea hivyo tunapaswa kuwatengenezea Taifa lililo imara. Wenzetu wazungu wanapanga mipango ya vizazi vingine hapa tunashangaa tu majangili ya ccm yakiiangamiza nchi huku sisi tukipiga porojo nyingi za ki..pu..mbafu. humu JF utaona wanaofagilia ccm ni wale wanaofaidika na ujangili huu. wanatumia garama kubwa kuiangamiza chadema ili wapate nafasi ya kupora kilakitu
 
F

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Messages
4,807
Likes
257
Points
180
F

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2012
4,807 257 180
Tumeshuhudia Kinana, Nape, Mwigulu na MAFISADI wakigawa Bodaboda. Hao jamaa njaa zinawasumbua, wanaweza kununuliwa kwa bei yeyote kufanya ujing a kwa manufaa ya MM/CCM
 
U

Uchaguzi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
915
Likes
2
Points
33
U

Uchaguzi

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
915 2 33
Hakuna CCM anayependa nchi iingie kwenye machafuko.
Hayo yote ni mambo ya udikteta ya Chadema.
 
Forum statistics

Threads 1,272,439
Members 489,973
Posts 30,450,705