Maandamano makubwa kumpongeza JK! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano makubwa kumpongeza JK!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIM KARDASH, Apr 28, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Maandamano makubwa yanatarajiwa kufanyika nchi nzima kumpongeza rais kikwete na kamati kuu ya ccm kiujumla kwa kufanya kuchukua maamuzi magumu ya kulifanyia mabadiliko makubwa baraza la mawaziri.

  Rais kikwete ameamua kufanya maamuzi magumu hayo licha ya kwamba kuna jukumu zito la maandalizi ya bajeti za wizara na kwa hiyo ni changamoto kubwa kuingiza watu wapya kwa maana ya nafasi za mawaziri, lakini hata hivyo, hao wapya itabidi wategemee zaidi mihtasari ya watendaji watakaokuwapo katika kila wizara husika itakayoguswa na mabadiliko.

  Wananchi mbalimbali nchini wamepongeza hatua hiyo ibnayotarajiwa kuchuliwa na rais kikwete huku wakisema kwamba hatua hiyo itaifanya ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iwe na nguvu kubwa ya kuisaidia serikali kupambana na ubadhirifu unaofanywa na mawaziri kwa kushirikiana na watendaji wa serikali wasio waaminifu.

  Naye mbunge zitto kabwe ambae alishikia bango hoja ya kutaka bunge lipige kura ya kutokua na imani na waziri mkuu,akizungumza bungeni wiki juzi aliwapasha mawaziri kwa kuwaambia ''Mawaziri msimsingizie Raisi na kumchafua kwa uzembe wenu na ubaridhifu wenu wa kushindwa kusimamia mali na pesa za walipa kodi kwa manufaa yenu binafsi i lazima muwajibike na mchukuliwe hatua stahiki''
   
 2. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Labda kwa kulaani kwa kuchelewa kwake kuchukua hatua hadi hali ikawa hivi.
   
 3. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Yanaanzia wapi hapa Dar? Na ni lini? I cant wait i'm so excited...
  NOOOT! bwa ha ha ha.
   
 4. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayo maandamano yakifanyika yatahusisha "wazee wa Dsm" na vijana wa bagamoyo!
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,216
  Trophy Points: 280
  Yaani kuvunja baraza la mawaziri ni uamuzi mgumu??
  Labda kwa kuwa naye JK ni mchafu
   
 6. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  mbona mbowe hajawahi kuvunja hata kamati ya harusi,we unadhani kuvunja baraza la mawaziri mwezi mmoja na nusu kabla ya bajeti ni jambo jepesi..?
   
 7. s

  simon james JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angeamua kujiuzulu yeye na serikali yake yote ndo ningesema maamuz magumu
   
 8. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hata mlevi ambae pia ni taahira asingeweza kujitukanisha mwenyewe kwa namna hii uliofanya hapa! Siamini kuwa una mental capacity ya kuliona tusi ulilojitukana hapa, so I'll try to explain: umeonyesha kuwa taahira mlevi ana mental capacity kubwa kuliko yako!
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sioni la kumpongeza apo zaidi ya kumlaumu tuu bse aliweka viwavi jeshi kwenye baraza lake uku akitegemea mazao kuchipua thubutuuu
   
 10. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kuna mikoa mingine haina wanachama nawapenzi wa sisiem,ssa itakuwaje na makusudio yenu ni nchi nzima?
   
 11. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Hapo mtaharibu kila kitu mkimpa kichwa Vasco Da Gama. Vipi mumpongezewakati hata baraza jipya hamlijui? Akirudisha wale wale mtarudi barabarani kulaani? Mbona hata hajawawajibisha watendaji wabovu kwenye hayo mawizara? Mtaharibu kila kitu TAKE MY WORD MKUU!
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa sijui kwamba kumbe Serikali tuliyonayo imejaa wabadhirifu na wazembe, Asante sana kwa taarifa Kim.
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,216
  Trophy Points: 280
  Umeambiwa mbowe ni mwenyekiti wa kamati ya harusi?
  Acha upoyoyo
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Peleka ujinga wako huko kwenu zenji tokea asubuhi naona unarusha vithread vyako ambavyo vina expire baada ya nususaa kwa kukosa wachangiaji kwi ! Kwi! Kwi kwi kwi kwi!!!!!!!!
   
 15. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  umesahau kilichowapata madiwani wa kata tano Arusha??halafu umesikia kiongozi gani wa cdm mzembe mbadhirifu akacha kuwajibishwa haraka??mawaziri kwa taarifa yako hawana mchango wowote kwenye kuandaa bajeti, wapo matibu wakuu wa wizara na wataalamu wengine ndio wanasuka bajeti waziri kazi ni kusoma tuundio maana wakati bajeti inasomwa katibu mkuu lazima awepo kuwasidia hawa vilaza kujibu!!
   
 16. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwa lipi lililofanyika mpaka watu wapoteze muda wao kufanya maandamano!!!!
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,216
  Trophy Points: 280
  Umenena mkuu
   
 18. M

  MISILEE MGOGO Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mnachekesha sana yhamna kazio za kufanya? Simwokote makopo muuze? Eti maandamano ya kumpongeza nani? Kwanini? Kwa lipi? Acheni siasa ebu fanyeni kazi jengeni uchumi kama ni kulaani wezi na kuwafikisha mahakamnaii siku wanapanda karandinga tutaandamana kama idadi yao wote watapelekwa kisutu mahakamani
   
 19. Y

  YUSTO ANDREW New Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi pia naungana na watanzania wote, kumpongeza Rahisi wa Tanzania kwa atua hii nzuri ya mabadiliko, "Hakika sas Tanzania itapiga hatua ya Maendeleo. Wabunge Hongereni kwa uwamuzi mzuri mlio uchukua wakutaka mabadiliko kwa mawaziri.
   
 20. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Angebaliki kipindi kile cha bunge atleast ningesema maamuzi magumu
  mpaka aangalie upepo; ungeseme tuandamane kwa kuwapongeza wale waliendelea kushinikiza PM hajihuzuru baada ya bunge kuhairishwa ningekuspoti
   
Loading...