Maandamano kupinga serikali kupandisha bei ya umeme

UMUCHAMICHI

Member
Oct 20, 2012
41
13
BAADA YA WANAKIGOMA KUANDAMANA KUPINGA UJIO WA KATIBU MKUU WA CDM Dr.SLAA NA JESHI LA POLISI KUTOA USHIRIKIANO WA KUTOSHA, SASA HEBU ,TARATIBU ZIANDALIWE TUANDAMANE NCHI NZIMA KUPINGA KUSUDIO LA SERIKALI YA CCM KUPITIA TANESKO KUPANDISHA GHARAMA ZA UMEME.POLISI WATOE USHIRIKIANO KAMA WALIOUTOA LEO KUPINGA UJIO WA DR.SLAA.
 
Naunga mkono hoja
 
Yani katika nchi ambazo wananchi wengi wao sawa na vichaa ambao hata milembe hawafai basi tz tunaongoza yani umeme unapanda bei mafisadi wanaongezeka tembo kila siku wanauwawa polis wanauwa wengine wanangolewa kucha na macho hatujawahi andamana eti Leo zito kavuliwa vyeo ndani ya chama unaandamana kweli mtu mwenyeakili timamu unaweza fanya hivyo? Je unaandamana kwa faida ya nani? Hivi Umewahi jiuliza kwanini tukitaka kuandamana kuhusu vitu muhim kwanini polis wanakataza lakini suala la zito wapo kimya ni kwanini madactari wakitaka kudai haki kwa maandamano polic ambao Leo wapo kimya ni walewale wanaozuia maandamano ambayo kwa njia moja au nyingine yakawa na faida katika nchi vipi mtwara hamkuona da jitambueni msiwe kama condom kila siku Kua shujaa kwajiri ya nchi yako sio kwa jiri ya zito au slaa
 
BAADA YA WANAKIGOMA KUANDAMANA KUPINGA UJIO WA KATIBU MKUU WA CDM Dr.SLAA NA JESHI LA POLISI KUTOA USHIRIKIANO WA KUTOSHA, SASA HEBU ,TARATIBU ZIANDALIWE TUANDAMANE NCHI NZIMA KUPINGA KUSUDIO LA SERIKALI YA CCM KUPITIA TANESKO KUPANDISHA GHARAMA ZA UMEME.POLISI WATOE USHIRIKIANO KAMA WALIOUTOA LEO KUPINGA UJIO WA DR.SLAA.

Si huko tu hata sisi walezi wa watoto form four 2014 tunajiandaa kufanya maandamano ya kupanda kwa ada ya mtihani kutoka 35,000 hadi 50,000
 
Nafikiri watanzania tunalazimika kuunga mkono hoja hii ya mtoa mada. Tuungane katika kuonyesha kutoridhishwa kwetu na upandaji holela wa bei za umeme, bidhaa muhimi sana kwa maisha na maendeleo yetu na nchi yetu. Inakuwa mbaya zaidi tunapopashwa na vyombo mbali mbali vya habari kuwa upandaji huu unagharamia ufisadi ndani ya TANESCO.
Nitashangaa sana kuona watanzania tukiburuzwa kuandamana kupinga maamuzi ya CHADEMA kumfukuza Zito kabwe kwenye uongozi na tukaachia suala kama hili la kupanda umeme kwa kiasi kikubwa namna hii likapita bila kuwaonyesha watawala hasira zetu ju ya hili.
Labda tuliowengi hatujui athari za ongezeko hili la bei za umeme kwamba litaathiri maisha yetu kwani kila kitu kitapanda bei na kufanya maisha kuwa juu kutokana na kupanda kwa gharama za uzalishaji viwandani. Naliona hili ni kubwa kuliko linaloendelea ndani ya Chadema na kuwa inawezekana hili la Chadema linakuzwa ili kufisha hili la kupanda kwa bei za umeme ambalo athari zake kwa raia wa kawaida ni kubw a kuliko yanayotokea ndani ya CHADEMA.
 
Baba,baba,baba hapo utaonekana unaichokoza sirikali uliza kilicho tukuta wa2 wa 2nduma juzi chezea mapolisi wa maccm!
 
Hivi TANZANIA tumelogwa na nani? Hivi hata vyuo vikuu hawaoni haya iko wapi TAHILISO nakumbuka zamani mimi nikiwa chuo kikuu tulikuwa tunagomea vitu kama hivi sisi tulikuwa tunawaonyesha wananchi uozo wa serikali. Hawa wasomi gani tunowaandaa? Au ndio zao la shule za kata kupitia taasisi ya kunusuru wanafunzi waliofeli F 6 failures TCU.
 
BAADA YA WANAKIGOMA KUANDAMANA KUPINGA UJIO WA KATIBU MKUU WA CDM Dr.SLAA NA JESHI LA POLISI KUTOA USHIRIKIANO WA KUTOSHA, SASA HEBU ,TARATIBU ZIANDALIWE TUANDAMANE NCHI NZIMA KUPINGA KUSUDIO LA SERIKALI YA CCM KUPITIA TANESKO KUPANDISHA GHARAMA ZA UMEME.POLISI WATOE USHIRIKIANO KAMA WALIOUTOA LEO KUPINGA UJIO WA DR.SLAA.
Hapo ndipo tunapokosea....serious issues mnaleta siasa!!
 
moja ya vitu vinavyoniumiza sana ni umeme, huwezi amini yaani roho inaniuma sana na bei iliyopo halafu eti wanapandisha...
 
Nadhani kuna namna nyingi ya kuweza kuwasilisha mawazo haya bila maandamano. Mleta mada naunga mkono hoja mia kwa mia.
 
BAADA YA WANAKIGOMA KUANDAMANA KUPINGA UJIO WA KATIBU MKUU WA CDM Dr.SLAA NA JESHI LA POLISI KUTOA USHIRIKIANO WA KUTOSHA, SASA HEBU ,TARATIBU ZIANDALIWE TUANDAMANE NCHI NZIMA KUPINGA KUSUDIO LA SERIKALI YA CCM KUPITIA TANESKO KUPANDISHA GHARAMA ZA UMEME.POLISI WATOE USHIRIKIANO KAMA WALIOUTOA LEO KUPINGA UJIO WA DR.SLAA.

Mimi nafikiri kuandamana hatutafanikiwa kwa sababu akili za waliowengi zimejaa matope na idadi yao inaongezeka kwa sababu ya mfumo mbaya wa elimu.... Cha kufanya kila,,,,, kila mmoja wetu aliyejitambua kuanzia uchaguzi wa mwakani wa serikali za mitaa ahakikishe ana wapigikura 10 hadi 20 wa kupiga kura kuing'oa CCM madarakani,,, huo utakuwa mtaji wa 2015,,,, wa kuikomboa nchi hii...
 
Watanzania shida kubwa tulionayo Ni umaskini wa fikira na kukubali kununuliwa ila kwa upande wa kigoma jamani ule Ni mtaji wa wanasiasa maana Kuna umaskini wa kutosha afu wanasalitia na haya huyo zito hapendwi poa jimboni kwake Bali pale mwandiga Tu poa serikali wajanja wameona gape la kupandisha umeme baada ya mgogoro wa chadema maana wananchi wote Ni zito kumbe deal Tu.
 
Back
Top Bottom