Maandamano kupinga kuwepo kwa BAR mitaani eneo lote la Kiembe Samaki, Zanzibar

bia hapana ,! alakini wanaume kupandiana kwa nyuma ruhusa,hivi nini tafsiri ya dhambi hapo? Alafu hili suala la kundi flani la watu kujiona wako karibu sana na muumba nalo sio zuri.atakae toa hukumu ni mola tu,sasa nyie mnao hukumu duniani hukumu yenu inakuja

!!!!!!!!!!!!!!!!
 
wazanzibar ni ********-natamani waende mkoa wa kilimanjaro,arusha na mikoa mingine waone bar zilivyo nyingi,
wanajifanya wasafi kumbe ni wachafu wa kutupwa-MBONA HELA ZA MISAADA YA AJALI YAO YA MELI WALIPOKEA PESA KUTOKA KWENYE KAMPUNI ZA BIA-WAZIRUDISHE ZILE HELA BASI

Mkuu heshima mbele. Tuombe radhi, usiseme Wazanzibari *******. Sema baadhi ya wazanzibari ni ********. Jee nikisema Watanganyika ni ******* utafurahi?
 
Ungeanzisha maandamano kipnd umeme hamna na kupinga ushoga hata me ningevuka maji,vp mnajichagulia zambi?kama vp kunyweni mchuz wa ktmoto cc tule nyama
 
bia hapana ,! alakini wanaume kupandiana kwa nyuma ruhusa,hivi nini tafsiri ya dhambi hapo? Alafu hili suala la kundi flani la watu kujiona wako karibu sana na muumba nalo sio zuri.atakae toa hukumu ni mola tu,sasa nyie mnao hukumu duniani hukumu yenu inakuja

Hao wapuuzi huanza kuviharibu vitoto vya kiume vikiwa na miaka saba! wanafki wakubwa!
 
Hawa watu kwa kweli ni wanafiki sijawahi kupata kuona duniani, nimeishi zanzibar; machafu yanayoendelea pale. wamebaki kuwanyooshea wabara vidole, wanasahau kuangalia mienendo yao. Machangudoa Zanzibar ndio soko lao kumbwa, tena wakitaka kutoka kimaisha wanakwenda zenji, wateja wakumbwa wazenji, kila changudoa mgeni akiingia wanashindana kung'oa mzigo kwa gharama yeyote.
 
Mkuu heshima mbele. Tuombe radhi, usiseme Wazanzibari wajinga. Sema baadhi ya wazanzibari ni wajinga. Jee nikisema Watanganyika ni wajinga utafurahi?

umesomeka mkuu
labda niseme walio wengi-hapa nazan nime-exclude wengine
 
kama rafiki/ndugu yako mpendwa anatumia usichokipenda lakini baadaye anajipumzikia bila kukubughudhi, je utakwenda kukichoma moto anachokitumia??? ni nini basi kanuni ya kuish kwa upendo na amani na rafiki/ndugu yako ?
 
Ndugu wana JF wote wale wanaochukia madhila kwa wananchi munaalikwa nyote katika maandamano ya kupinga kuwepo kwa BAR maeneo ya kiembe samaki maana imekuwa kero sana wanasumbua kwa miziki na fujo za walevi kesho alhamis tunaelekea mahakama ya mwanakwerekwe kupinga BAR kuwepo mitaa ya kiembe samaki muda na pahala pa kuanzia nitawajulisha shime tufike kwa wakati. Jambo lolote baya liondoe kwa mkono wako Ahasante

Ni kinyume na utaratibu/utamaduni wenu so watimueni tu
 
Afu Zanzibar vile ving'ora kama vya kijeshi kila siku saa 7.30,3.30 na 6.00! Maana yake nini? Au ni nchi ya kijeshi hadi watu waongozwe kwa ving'ora!
 
Uislam uko too physical...too manual!!! hauna ushawishi bali unatumia nguvu....hauna demokrasia bali ni ubabe tu!! mathalan mimi kwa hiari yangu nimeamua kwenda motoni, wewe unanilazimishaje? bila vishawishi, imani yako kwa Mungu utaipimaje? waislam mbona mna-group au mn-rank dhambi? ninachojua mimi ni kwamba hakuna dhambi ndogo wala kubwa bali zote ni DHAMBI....mfano chuki, kisirani, uongo ziko sawasawa na kuua, kuiba, uasherati na ufiraji. wekezeni kwenye elimu dini kwa raia wenu waache uasi including ulevi. hii pia ni ukosefu wa kazi, sie tuko bize huwezi kutushawishi eti jumapili baada ya ibada tuandamane kwa vile fulani kachora katuni ya kumkashifu YESU. Mungu wenu kafa kwamba hawezi kujitetea?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom